Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Huo ugonjwa ndio nauogooa kuliko ata ukimwi....yaani ata soda sinywi sasa raha ya dunia ikowapi
Tena wewe upunguze kupita Rough road[emoji1][emoji2][emoji3] maana utanasa Fasta tuh.
Nakumbuka siku ike pale Kinara barut ulichomfanyia shiga yangu
 
Antimicrobial resistance at work,watu hawamalizi dozi madhara yake ndio haya sasa.

Utelezi mtamu sijui itakuaje
Mkuu nieleweshe kidogo hapa , kwa wanaopata hiyo kisosonono sugu ni kwa hawa ambao miili imeshaweka resistance ya dawa kama ulivyosema ! Kwa hiyo kama hana hiyo resistance ya hizo dawa na ndo mara ya kwanza kupta huo ugonjwa inaweza kuwa rahisi kupona ? Au ugonjwa umebadilisha wenyewe tu formula juu kwa kwa juu ?
 
Tena wewe upunguze kupita Rough road[emoji1][emoji2][emoji3] maana utanasa Fasta tuh.
Nakumbuka siku ike pale Kinara barut ulichomfanyia shiga yangu
Lakini jamani shoga yako sii alienjoy utamu wa rafu road
 
Ugonjwa umebadilisha formula juu kwa juu
Yaan yule kisababishi wa gono "Neisseria gonorhea" amebadilika "strain"

Huyo mdudu ndiyo mwenye resistance ya dawa sio wewe binadam
Kwa hiyo ukiupata huwez kupona hata kama hujawahi ugua
 
Shukrani sana , Maelezo mazuri kabis a
 
Tutumie ndomu ovaaa
 
mbona mi nishapata siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…