holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
Kuna kusoma na kuelewa na kusoma tu. We ndugu yangu ulisoma tu principal 🤣Kuna Principal Moja kwenye Biology inasema kitu kama hakitumiki mara kwa mara kinapoteza uwezo wake.
Mfano kama umefungwa miguu yote miwili hutembei kwa Mwaka mzima basi utajikuta umekuwa mlemavu wa miguu.
Sina hakika kama principal hiyo inafanya kazi na hapo pia 😂
Mambo ya kukojoa Colgate hayo..Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
utapata tu ni suala la mudaMambo ya kukojoa Colgate hayo..
Nashukuru sana kwenye maisha yangu hadi sasa sijawahi kupata STDs.
HahaMbona simjui huo ugomvi tumeuanza lini?
GruuuuuuuHaha
Malizeni ugomvi wenu na andaziGruuuuuuu