Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Kuna Principal Moja kwenye Biology inasema kitu kama hakitumiki mara kwa mara kinapoteza uwezo wake.

Mfano kama umefungwa miguu yote miwili hutembei kwa Mwaka mzima basi utajikuta umekuwa mlemavu wa miguu.

Sina hakika kama principal hiyo inafanya kazi na hapo pia 😂
Kuna kusoma na kuelewa na kusoma tu. We ndugu yangu ulisoma tu principal 🤣
 
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
Mambo ya kukojoa Colgate hayo..
Nashukuru sana kwenye maisha yangu hadi sasa sijawahi kupata STDs.
 
Back
Top Bottom