Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Kama huo ugonjwa upo Kenya kama alivyosema mtoa mada ina maana soon utaingia Tanzania kupitia Mikoa ya pembezoni ya Arusha,Mara, Kilimanjaro, Tanga then soon DSM πŸ™†

Ukifika DSM basi Pwani, Morogoro then Dodoma.

Ukitoka Dodoma -Iringa-Njombe-Mbeya kutokea hapo Tanzania nzima.

Let's play safe guys πŸ™Œ
 

kimeuwa mbwa wangu bei baada ya kutoroka bandani kwenda nje kuchepuka
 
Hiki ndo kikubwa mkuu
 

Hepatitis b ikikupata inategemea na dna yako pamoja na immunity yako ilivyo.

Kuna watu wakipata tu inawaua fasta. Na kuna watu wakipata immunity zao zinapambana nayo mpaka hepatitis inapona kabisa.

Watu wengi hawajapata chanjo ila hepatitis haiwaui..

Wengine virusi vinakuwa inactive.. wakipima virusi vipo ila ugonjwa hauwatesi mpaka wanazeeka
 
Sawa sawa nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…