Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Huo ugonjwa upo mbona kitambo, unaitwa pangusa! Kwani umerudi tena?
Acha uje upunguze watu kujamiaana Kama wanyama ,kulana sas hv siyo kitu Cha Siri watu Muda wote wanajadili ngono tu kina haji wanaoa kila kukicha SAS kwanin panguza isije ipunguze minyanduano

Watu wamefika mbali hawaogopi Tena ukimwi SAS acah hyo panguza iwafute

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kitu Cha kushangaza wale wahaya wa vibatari (Sudan, Livingstone, Msasani, Manzese, Sudan na Buguruni walikua nadra Sana kuwakuta na gono halafu enzi zile ndomu walikua wanatumia wenye pesa tu.
Wahaya wameanza ku stock kondom miaka ya mwishoni ya tisini. How they did it, I don't know.
 
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
Yaani sasa ni kwamba kifupi watu tusigegedane tutafute starehe nyingine
 
Nikiwa muhanga nimemaliza ku do usiku , alfajiri kitu imeitika usahaa huo kama mikojo na nilikuwa natakiwa kuanza safari ya kurudi home, na mwenzangu huwa anatabia ya ku nitest nikifika, ilibidi nibadilishe route hadi nilipo pona ndio nikarudi home.. na karibia wote tuliokuwa nao kwenye kazi walipata kifurushi chao.. tofauti kabisa na Dar
Mlipiga kavu?
 
Kuna sehemu nipo naona this week mwendo wa (Cefixime 400mg stat and Azithromycin 1g stat )umeongezeka na ni mkoa wa mpakani na Kenya..

Watu tuwe makini aisee.
Kitu hicho hapo, Super!
super-goorrhea-cover-story.jpg
 
Back
Top Bottom