Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

hiyo mipicha nshakutana nayo nikiwa na umri mdogo sana, sijui walikuwa NGOs za kupambana na magonjwa ya zinaa, walkuwa wanaonyesha sinema usiku uwanjani.
Sana sana zilinitia kinyaa tu, ila abdalah kichwa wazi akiita nasahau vyote nasijawahi kupata hata upele mpaka leo hii.
Kilichonifanya nichane na kuruka ruka ni sababu za kiroho nlizopata in deep from the source different from these common religious. Ambazo kwa hiki.kizazi cha dijitali hawawezi kuzielewa hata iweje wanasubiri wasikie kutoka BBC na CNN, na sosho netiweki.
Hebu tupe somo ulilolipata la kiroho mkuu ukafanikiwa kuacha ngono holela mkuu labda litasaidia humu...
 
Oral sex ndio nn embu fafanua Kalpana ndio ina kuaje yani 😄
Mambo ya kulamba lamba huko kwa bibi.
Na ikumbukwe huko kuna bacteria wengi wale harmful na wasio harmful...sasa hao ambao sio harmful ni kwa sbb wanaishi ktk mazingira hayo na hawaleti tatizo ila wakitoka hapo wakahama sehemu ambayo sio hyo wanaleta madhara makubwa hapo uchanganye na gono labda analo ukalihamishia mdomoni...pita picha itakuwaje
Hii ina apply kwa both me na ke..ila wahanga wakubwa ni me
 
Ebhanaeeeeee maelezo yameshiba nakutunuku uDr kuanzia leo wewe ni daktareee mkareeee 🔥
 
Back
Top Bottom