Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

Messi na Ronaldo ni complete players mzee
Ni wachezaji ambao wanaweza kuibeba timu wao kama wao pale timu inapozidiwa
Uwezo wao wa skills, dribbling, shooting power
Eg rejea game ya Man u vs fc porto
Barcelona vs bayern

Haaland form yake anategemea timu yake iwe ime dominate game wakishikwa pabaya tu basi hata kugusa mpira kwake mtihani
 
Sipingi hilo ila hiyo point yake ya kutaka kuwalinganisha Messi, Ronaldo na huyo Haaland
Ni kuwavunjia heshima pakubwa sana
Ofcourse kwa Sasa huwezi mlinganisha na hao, Ila akiwa na hii consistency kwa misimu 10, basi bila shaka atalinganishwa.

Hofu yangu hawezi kukaa na hii form kwa miaka 10 kama walivyofanya Messi na Ronaldo
 
caree ya Ronaldo EPL ni ya aibu sana ukilinganisha na halland. Speed ya Halland ni ya kutisha sana na ndio mana washabiki wa Messi na Ronaldo wanamchukia sana
shabiki gani wa messi anamchukia haaland??

Haaland huwez mfananisha na messi, ni wachezaji tofauti wanaofanya mambo tofauti uwanjani.

Kwa upande watu nampenda haaland ni mfungaji mzuri, ila ukisema umfananishe na messi, that would be disrespectful.
 

hizo zote ni porojo tu, wachezaji wengi tu wameshawin games individually, ila kilichowaweka wao juu ni namba na sio indiviidual brilliance.

Unaweza nambia in which angle Cr 7 au Messi wanamzidi ronaldinho in terms of individual brilliance?
kinachowafanya wao waheshimike zaidi ni numbers ambazo kijana halland anazitafuna,
 
Haaland ni complete player. Yeye ni lone striker, Sasa iweje asiwe complete player?

Utofauti wake na kina Messi ni nafasi tu, Messi hakua lone striker, alikua false 9 na pia kama attacking midfielder
 
Yes ni numbers tu ambazo haaland akikaza anaweza zifikia.

Messi alikua na ziada kutokana na nafasi aliyocheza, ndio maana unaona kwenye assists, chances created, driblling kote huko alikua hashikiki
 
Ofcourse kwa Sasa huwezi mlinganisha na hao, Ila akiwa na hii consistency kwa misimu 10, basi bila shaka atalinganishwa.

Hofu yangu hawezi kukaa na hii form kwa miaka 10 kama walivyofanya Messi na Ronaldo
Hata kama ataweza kumaintain hatolinganishwa na Messi na Ronaldo labda level zake zitakuwa kina Lewandowski, Suarez, Ibrahimovic
Ronaldo na Messi katk peak zao walikuwa ni zaid ya huyu Haaland unaemuona leo si tu ku score goals namna za dribbling zao, speed, skills magoli ya kipekee ambayo wakishinda namna wanavyodominate game uwanjani
Ni Neymar na Salah ambao at least ndo wameweza kukaribia hizo level
 
Kama atakua anafunga magoli 70 kwa msimu/mwaka kwa nini asilinganishwe?
Kwani konachofanya pele na kina Messi walinganishwe ni nini? Ni skills au uliokua uwezo wa pele kwenye kufunga?
 
Ronaldinho alichowazidi Messi na Ronaldo ni skills tu
 
Kama atakua anafunga magoli 70 kwa msimu/mwaka kwa nini asilinganishwe?
Kwani konachofanya pele na kina Messi walinganishwe ni nini? Ni skills au uliokua uwezo wa pele kwenye kufunga?
Hana uwezo wa kufunga goli 70 kila msimu

Haaland akitengana na Guardiola tu hatokuwa ktk peak hii tena
 
Una mahaba tyu yamekujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…