Hata kusema tu lugha ni tamaduni kama tamaduni zingine ni chuki na unabeza, wakati nchi yetu tu hapa tunatumia hadi Kodi zetu kuipaisha lugha yetu ya kiswahili na kadili inavyopaa tunajivunia na kujisifu, kuandika kiingereza vile ukiwa nanjirinji na Wala sio London hujaandika kwa Babati mbaya ni nguvu za watu hizo.
Russia hawezi kuwa mbabe mwenzake na US labda hao akina UK, US Yuko kwenye nafasi yake ya peke yake,
1. Kiuchumi US rival wake ni china hapa humuoni kabisa Russia yaani Bora hata Japan
2. Kijeshi US rival wake ni Russia
3. Usafiri wa Anga US rival wake ni France (Boeing vs Airbus).
4. Kiutamaduni, umarekani umebamba katika jamii nyingi sana duniani kuliko tamaduni zingine zozote.
5. Kimichezo US hana mpinzani (fuatilia Olympic uone nchi gani Huwa inazoa medal nyingi)
6. Entertainment, US ndo mburudisha Dunia, miziki mitamu,.movie Kali, wasanii wakali na maarufu kwa wingi sana ni wamerekani yaani Chris Brown mmoja ni sawa na wasanii wote wa Russia, hapo hujagusa akina drake, lil Wayne, jay Z, will Smith,nk
7. Kwa watu maarufu duniani, US rival wake hayupo.
8. Kisiasa US rival wake kwa mbaali ni UK, hakuna ubishi kwamba uchaguzi wa marekani na siasa zao ndo vinafuatiliwa zaidi duniani.
9. Popular Brands duniani, US rival wako mbali sana akina UK, Germany, China, Japan, South Korea, lakin Russia hayupo kabisa, yaani kwenye top 100 popular brands Russia Hana hata moja wakati US anazo za kutosha baadhi ni hizo hapo chini:
Nike
Coca-cola
Master card
PayPal
Facebook
Google
Dell
Apple
YouTube
Calvin Klein
Pepsi
Microsoft
KFC
Vans
McDonald's
Jordan
Ford
Colgate
Converse Allstar
Chevrolet
Polo