Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

Kuna mtu humu JamiiForums anasema nchi zisitumie US dollar,

Huwa Nina swali, China ukiwapa hela za Tanzania au Kenya watazitumia wapi?
 
Siyo tabia ya Urusi kujisifu, nikwambie tu kwamba USA ndiye mteja namba 1 duniani kununua rocket engine aina ya Raketnyy Dvigalel-180 almaarufu RD-180 pamoja fuel yake ambayo ni RP-1/LOX Mixture na oliwahi tokea bunge la seneti kugomea ununuzi wa hizo rocket toka urusi na wakakumba na Columbian disaster mue mnasoma mambo mengine mpanue akili na siyo kukalili
 
Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude

Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine
Tuache utani, jamaa wabunifu sana
Ninapo sema jamii forum tuwe naingia kwa vyeti ndo mambo kama hayan yaani ukute la saba humu ni wengi asee admin muwa mnafanya interviews kujiunga jamii forum

Haya kijana jibu simple hivyo vyote ulivyovipost vinatengenezwa na madini fulan FULAN humo kuna nickel almium yaani vifaa umepost vingi hiyo simu kuna lithium ya congo

Sasa watu wanalalamika kuwa material ya kutengeneza vifaa hivyo yanapatika kwa biashara ya kuzurumati yaani sawa na bure kutoka kwa nchi wanakoyachimba

Mfano hapo tanzania dhahabu tukichimba tunapata faida 1% moja asimilia 99% wanafaidi wao watu wa canada huu mfano

Hapo congo hawapati kitu kabisa kwenye madini ya lithium na nickel maana wanafinance vikundi ya kiaasia vinawachimbia wanachukua almost bure

Watu wanalalamika imbalance of trade ....yaani sometimes wanaweka viongozi watakao kuwa wana support wamarekani wanaangusha serikali ambazo zitakuwa wakali juu ya malighafi mfano soma kati ya latin america na USA

NEXT JAMII FORUM WAFANYE INTERVIEWS SEBUSE ... LA SABA WENGI HUMU
 
Mbona inaonesha vitu vya kawaida sana?
Hapo hamna kipya hata kimoja. Hata simu ulizoonesha zinatengenezwa Asia.
 
Msi fall kwenye propags za failed citizens.
Mbona mamilioni ya wachina wako kwao wanajenga nchi na wananufaika?
Mbona hakuna citizens wa USA hata hao maskini wakakimbilia huko China na kukamatwa?

Kwahyo unataka kumaanisha huko China raia maskini hawapafai??
 
Mbona hakuna citizens wa USA hata hao maskini wakakimbilia huko China na kukamatwa?

Kwahyo unataka kumaanisha huko China raia maskini hawapafai??
Kuna jambo unashindwa elewa kaka sijui dada.
USA masikini wapo kama unataka ripoti naweza kukuletea.
Na pia kuna ongezeko la walala nje huko USA,USA ni nchi ya ujenzi huru huwezi fananisha na China.
Tukuchukue wewe na rafiki yako tuwatawanye wewe uende China mwenzio USA,ataeenda USA atafanikiwa haraka kwa sera za ujenzi huru zilizopo USA.
Ila masikini wa USA kutokwenda China haimaanishi kuwa USA haina masikini.
Wapo ila wanakomaa na nchi yao.
Kuna Canada na kuna Europe mmarekani aende China akafate nini nchi isiyo na sera ya ujenzi huru??
China ina raia 1.49 bilion.
Raia above poverty line kwasasa ni 840+millions,raia waliobaki ni kipato cha kati na matajiri,China ina 12% ya raia wake walio behind poverty line ndio hao nawachukulia kama failed wanahama nchi.
 
Ninapo sema jamii forum tuwe naingia kwa vyeti ndo mambo kama hayan yaani ukute la saba humu ni wengi asee admin muwa mnafanya interviews kujiunga jamii forum

Haya kijana jibu simple hivyo vyote ulivyovipost vinatengenezwa na madini fulan FULAN humo kuna nickel almium yaani vifaa umepost vingi hiyo simu kuna lithium ya congo

Sasa watu wanalalamika kuwa material ya kutengeneza vifaa hivyo yanapatika kwa biashara ya kuzurumati yaani sawa na bure kutoka kwa nchi wanakoyachimba

Mfano hapo tanzania dhahabu tukichimba tunapata faida 1% moja asimilia 99% wanafaidi wao watu wa canada huu mfano

Hapo congo hawapati kitu kabisa kwenye madini ya lithium na nickel maana wanafinance vikundi ya kiaasia vinawachimbia wanachukua almost bure

Watu wanalalamika imbalance of trade ....yaani sometimes wanaweka viongozi watakao kuwa wana support wamarekani wanaangusha serikali ambazo zitakuwa wakali juu ya malighafi mfano soma kati ya latin america na USA

NEXT JAMII FORUM WAFANYE INTERVIEWS SEBUSE ... LA SABA WENGI HUMU
Ila kaka ungekaa ukaandika kwa kutulia.
Pilau tamu ila ukilikosea viungo halinogi.
Ushatunyima ujumbe mzuri kwa kuandika haraka.
 
Sputnik ndio chombo cha kwanza ulimwenguni kufika mwezini na ndio watu wa kwanza kufika mwezini mwaka 1959 baada hapo marekani akapeleka Appolo na watu wa kwanza kutembea mwezini mmoja wapo anaitwa Amstrong
Tena iliwachukua wamarekani miaka kumi toka Urusi arushe.
Halafu Hadi Leo Marekani hawajarudi mwezini,hii inashangaza sana.na sio kawaida.Yaani walienda mara moja tu na hawajataka kwenda Tena.
 
Hatuwachukulii poa Warusi. Ila tuambie Warusi wameifanyia nini dunia mpaka sasa hivi? Tunataka matokeo siyo Kusema unawachukulia poa.
Si umeshaambiwa Warusi ndio watu wa kwanza kurusha chombo anga za juu na mbali kabisa na kurusha binadamu wa kwanza anga za mbali na juu kabisa.
Matokeo ya urushaji huo ndio Leo unaweza kuwasiliana na watu wa kitumia satellite kupitia, internet, simu,tv,redio na aina nyingine za mawasiliano.
Kumbuka mawasialano yamerahisisha biashara,uchumi,na teknolojia.
Warusi waligundua TV,ndege,treni ya umeme,mashine za kuvunia mazao n.k
 
Soviet Union
Kuna kusoma na kuelewa na kuna kukaririshwa.
Wewe upo kundi gani hapo??
Maana naona wewe ndio unakataa uhalisia na kushikilia ya kumezeshwa ama kukaririshwa .
Porojo hazibadili ukweli
 
Agree to disagree.
Usijilazimishe kuwa kipofu kisa mahaba na Imperialists.
Acha kujitia wenge kwa chuki zako na wivu wako kwa waliofanikiwa,
UK na US ni kulwa na doto, nawe umecoment kwa kiingereza na sio kirusi.
 
Acha kujitia wenge kwa chuki zako na wivu wako kwa waliofanikiwa,
UK na US ni kulwa na doto, nawe umecoment kwa kiingereza na sio kirusi.
Mie huwa sina chuki na siendeshwi na mihemko.
Lugha ni tamaduni kama tamaduni zingine zinazoweza kugezwa kama mavazi na vyakula.
Onesha ni wapi nimeendekeza chuki??
Pia acha kukataa kuwa Russia ni mbabe mwenzake na USA na UK katika nyanja mbali mbali.
 
Hata kusema tu lugha ni tamaduni kama tamaduni zingine ni chuki na unabeza, wakati nchi yetu tu hapa tunatumia hadi Kodi zetu kuipaisha lugha yetu ya kiswahili na kadili inavyopaa tunajivunia na kusifika, Sasa ingekuwa tu ni tamaduni kama tamaduni zingine kama usemavyo tungehangaika kuipromote!, Hata wewe kuandika tu kiingereza vile ukiwa nanjirinji na Wala sio London hujaandika kwa Bahati mbaya ni nguvu za watu hizo.
Russia hawezi kuwa mbabe mwenzake na US labda hao akina UK, Lakini US yuko kwenye nafasi yake ya peke yake,
1. Kiuchumi US rival wake ni china hapa humuoni kabisa Russia yaani Bora hata Japan

2. Kijeshi US rival wake ni Russia

3. Usafiri wa Anga US rival wake ni France (Boeing vs Airbus).

4. Kiutamaduni, umarekani umebamba katika jamii nyingi sana duniani kuliko tamaduni zingine zozote.

5. Kimichezo US hana mpinzani (fuatilia Olympic uone nchi gani Huwa inazoa medal nyingi)

6. Entertainment, US ndo mburudisha Dunia, miziki mitamu,.movie Kali, wasanii wakali na maarufu kwa wingi sana ni wamarekani yaani Chris Brown mmoja ni sawa na wasanii wote wa Russia, hapo hujagusa akina drake, lil Wayne, jay Z, will Smith,nk

7. Kwa watu maarufu duniani, US rival wake hayupo.

8. Kisiasa US rival wake kwa mbaali ni UK, hakuna ubishi kwamba uchaguzi wa marekani na siasa zao ndo vinafuatiliwa zaidi duniani.

9. Popular Brands duniani, US rivals wako mbali sana akina UK, Germany, China, Japan, South Korea, lakin Russia hayupo kabisa, yaani kwenye top 100 popular brands Russia Hana hata moja wakati US anazo za kutosha, baadhi ni hizo hapo chini:
Nike
Coca-cola
Master card
PayPal
Facebook
Google
Dell
Apple
YouTube
Calvin Klein
Pepsi
Microsoft
KFC
Vans
McDonald's
Jordan
Ford
Colgate
Converse Allstar
Chevrolet
Polo nk

Hapo utaona US yupo kwenye kila kitu na anapambana na nchi tofauti tofauti na bado anawatoboa, yaani ingekuwa ngumi tungesema anachangiwa. Wakati Russia anarival na US kijeshi tu kitu ambacho wewe huko nanjirinji utumii Bali unasoma na kusikia tu wakati Pepsi, coca-cola, Facebook, Nike na google mnatumia hadi huko nanjirinji na bibi zako.
 
Back
Top Bottom