Asante mkuu, naheshimu sana maoni yako, jitahidi pia kusoma sana uongeze maarifa.Ukweli kwa wanaporojo kama wewe, ukweli ni kwamba hakuna kama US
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu, naheshimu sana maoni yako, jitahidi pia kusoma sana uongeze maarifa.Ukweli kwa wanaporojo kama wewe, ukweli ni kwamba hakuna kama US
Na dawa ya ukimwi pia mwaka huu itazinduliwa guysWarusi wanakuja na chanjo za kansa
View attachment 2906177View attachment 2906180
View attachment 2906178
View attachment 2906182
View attachment 2906183
Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude
Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine
Tuache utani, jamaa wabunifu sana
Nasoma sana na kila siku naongeza maarifa, nami nakushauri achana na porojo kubari uhalisiaAsante mkuu, naheshimu sana maoni yako, jitahidi pia kusoma sana uongeze maarifa.
Itakuwa n vizuri sanaNa dawa ya ukimwi pia mwaka huu itazinduliwa guys
Sawa mkuu, nimekubali uhalisia.Nasoma sana na kila siku naongeza maarifa, nami nakushauri achana na porojo kubari uhalisia
Ila kwenye suala la kupeleka binadam mwezini hapa bado sijawaelewa wamarekani. Mbona hadi leo miaka 50 baada ya Apolo wameshindwa kurudi? Juzi wamepambana wamepeleka ka mtambo bahati mbaya kakaangukia mgongo kwahiyo huwenda kasifanye kazi iliyokusudiwa. Au dokyumaa za kwenda mwezini walizipoteza so hawana reference wafanyeje waweze kutua tena mwezini.View attachment 2906177View attachment 2906180
View attachment 2906178
View attachment 2906182
View attachment 2906183
Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude
Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine
Tuache utani, jamaa wabunifu sana
Au wewe ndio hujaelewa kiingereza kinakupiga chenga??Umeelewa kinacho zungumzwa hapo na Wikipedia?
Doh we kweli Kiingereza kinakupiga chenga.Kwenye maelezo yako ya kwenye picha yako hakuna sehemu inayo onesha Urusi kutua Mars
Watu wengi wanasema ile ilikua propaganda tu, Hollywood walitengeneza kile kideo cha jamaa mwezini na hio yote ni kwa ajili ya kuonyesha ubavu mbele ya USSR ila tokea kipindi hiko hawajawah kabisa kurudia hilo tukio walilosema lilifanyika enzi hizoIla kwenye suala la kupeleka binadam mwezini hapa bado sijawaelewa wamarekani. Mbona hadi leo miaka 50 baada ya Apolo wameshindwa kurudi? Juzi wamepambana wamepeleka ka mtambo bahati mbaya kakaangukia mgongo kwahiyo huwenda kasifanye kazi iliyokusudiwa. Au dokyumaa za kwenda mwezini walizipoteza so hawana reference wafanyeje waweze kutua tena mwezini.
Soviet UnionView attachment 2906274
Hebu nitafsirie maelezo hayo hapo juu.
Kuna kusoma na kuelewa na kuna kukaririshwa.Nasoma sana na kila siku naongeza maarifa, nami nakushauri achana na porojo kubari uhalisia
Unawaza ushoga sanaa, vipii hujikubalii na hali yako?Hata kutengeneza ushoga wao wataalam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna binadamu aliyewahi kutoka nje ya dunia kwenda kwenye mwezi au sayari nyingine. NASA ni waongo wa kutupwa. Hao tunaoona wamefika sijui mwezini siyo kweli, wanaenda chini ya bahari tu huko na kujifanya wako mwezini. Hakuna aliyewahi kufika huko.
Ndo huwa nashangaa mie hapo tyuuh.Juzi Kuna raia wa china wamekamatwa wakitaka kuzamia US ila sijawahi kusikia wamarekani wakikamatwa kutoka kuzamia China.
Achana na propaganda za failed citizens hizo.Juzi Kuna raia wa china wamekamatwa wakitaka kuzamia US ila sijawahi kusikia wamarekani wakikamatwa kutoka kuzamia China.
Msi fall kwenye propags za failed citizens.Ndo huwa nashangaa mie hapo tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naona umevutika na sekta yako........mie nafumua marinda nipokee pmUnawaza ushoga sanaa, vipii hujikubalii na hali yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona kuna mwanajeshi wa marekani alikimbilia kwa kiduku kabisa ...huyo nae anatoa picha ganiJuzi Kuna raia wa china wamekamatwa wakitaka kuzamia US ila sijawahi kusikia wamarekani wakikamatwa kutoka kuzamia China.
USA na EU wanategemea kinu Cha Urusi kiitwacho Cosmodrome kurusha Wana anga kwenda kwenye kitua Cha anga Cha kimataifa yaani International Space Station (ISS)Sasa hapo kuna jambo gani la ajabu hapo ?hayo mambo uliyoyaweka hapo hata Iran anayatengeneza sembuse Urusi na china ?
Mbona hivyo vitu vyote ulivyo viweka hapo Urusi imeanza kuvitengeneza zaidi ya miaka 50 iliyo pita?
Tena mpaka sasa Marekani anaitegemea injini za Urusi ili aweze kupeleka wanaanga wake.