Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 461
- 574
Nimesoma kwa umakini na nimeelewa. Ila hakuna sehemu ambayo wamesema Urusi amewahi kutua sayari nyekunduNdo usome vizuri kila kitu kipo wazi labda kama lugha inakupiga chenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma kwa umakini na nimeelewa. Ila hakuna sehemu ambayo wamesema Urusi amewahi kutua sayari nyekunduNdo usome vizuri kila kitu kipo wazi labda kama lugha inakupiga chenga
Rudia tena naona lugha inakupiga chengaNimesoma kwa umakini na nimeelewa. Ila hakuna sehemu ambayo wamesema Urusi amewahi kutua sayari nyekundu
Kama kawaida, Porojo zimeanza 😂😂Nakukumbusha tu warusi ndo watu wa kwanza kurusha satellite. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo mwezini. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo kwenye sayari ya mars. warusi ndo watu kwanza kurusha space station huko angani
Hapo wanasema hajawahi kupeleka binadamu ila alishapeleka chombo ambacho hakina binadamu......hizi mission kuna crewed na kuna uncrewed.......uncrewed ndo nyingi kuliko ambazo zina crew kwenye chombo,,,,hata mwezini mrusi alikua wakwanza ila chombo chake kilikua uncrewed ila marekani ndo wakwanza mwezini kwa chombo ambacho kipo crewed na alifanya hivyo baada ya mrusi kuanza kupeleka chombo kuleNimesoma kwa umakini na nimeelewa. Ila hakuna sehemu ambayo wamesema Urusi amewahi kutua sayari nyekundu
Ndo usome vizuri kila kitu kipo wazi labda kama lugha inakupiga chenga.....najua ulipokwama
Ana umri mdogo,hamjui Yuri GagarinSasa hapo kuna jambo gani la ajabu hapo ?hayo mambo uliyoyaweka hapo hata Iran anayatengeneza sembuse Urusi na china ?
Mbona hivyo vitu vyote ulivyo viweka hapo Urusi imeanza kuvitengeneza zaidi ya miaka 50 iliyo pita?
Tena mpaka sasa Marekani anaitegemea injini za Urusi ili aweze kupeleka wanaanga wake.
Hawajapeleka chombo chenye binadamu ila wameshapeleka chombo ambacho hakina binadamu, na mars hakuna nchi hadi sasa ambayo imewahi kupeleka chombo chenye binadamu huko,, ndo maana nikakwambia lugha inakupiga chengaView attachment 2906274
Hebu nitafsirie maelezo hayo hapo juu.
, Silaha nzito nzito zote nk.
Ha ha ha ha, zina msaada gani kwenye maisha ya kila siku? .
Ni suala la kuhuisha tu silaha zao. Swali nani aliye gundua silaha hizo?
Ukija kwenye silaha rudi tu hapo vita kuu ya pili ujue nani aliemuangusha Hitler,,,,,bila mrusi leo hii superpower angekua mjerumaniNi suala la kuhuisha tu silaha zao. Swali nani aliye gundua silaha hizo?
Unajifanya mbishi na mjuaji halafu kumbe huna data. Acha kujiabisha wakati uki Google tu unaletewa taarifa na bado unalazimisha kupindisha ukweli. Umeomba ushahidi umeletewa na bado unakaza fuvu.Acha uongo. Tupe ushahidi. Alirusha lini? Nakuambia watu waliotua kwenye sayari nyekundu ni Marekani, China na Elon Musk. Huyu Mrusi wako ameishia mwezini tu, napo alifika mwezini kwa kufuata nyayo za Marekani
Ww jamaa ni mpumbavu kweli yaani Urusi aliye anza kutengeneza roketi na Sataraiti, na aliye weza kwenda mwezini ya miaka miaka 70 iliyo pita ndo she kuomba utaalamu kwa Elon Musk ambaye hana hata miaka 20ameanza kufanya hayo mambo?Ingekuwa kweli Mrusi asingekuwa anamuomba Elon Musk kanuni ya kutengeneza Rocket ziwe zina ufanisi.
Urusi ndo nchi ya kwanza kutuma chombo mwezini labda kama unataka kuanzisha ubishi wa kijinga.Acha uongo. Tupe ushahidi. Alirusha lini? Nakuambia watu waliotua kwenye sayari nyekundu ni Marekani, China na Elon Musk. Huyu Mrusi wako ameishia mwezini tu, napo alifika mwezini kwa kufuata nyayo za Marekani
Kwa nini unaamini hakuna binadamu aliyewahi kufika mwezini?Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna binadamu aliyewahi kutoka nje ya dunia kwenda kwenye mwezi au sayari nyingine. NASA ni waongo wa kutupwa. Hao tunaoona wamefika sijui mwezini siyo kweli, wanaenda chini ya bahari tu huko na kujifanya wako mwezini. Hakuna aliyewahi kufika huko.
Dogo unakijua chombo Cha mars3 kutoka urusi?Acha uongo wewe. Ni lini Urusi walirusha chombo kwenye Sayari ya Mars na kikafika? Watu waliorusha vyombo kwenye sayari ya Mars ni watatu tu mpaka sasa, Marekani, China na Elon Musk. Pia mrusi angeshusha chombo mwezini lazima angejisifu sana.
Hivi ww jamaa una elimu gani kwanza maana tusije tukawa tunaongea na kilaza.Ha ha ha ha, zina msaada gani kwenye maisha ya kila siku? Tazama vitu alivyo gundua Mmarekani, Simu, Ndege, Radio na TV, Silaha nzito nzito zote nk. Hao wengine wote wanafuata nyayo za Marekani.