Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

Nakukumbusha tu warusi ndo watu wa kwanza kurusha satellite. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo mwezini. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo kwenye sayari ya mars. warusi ndo watu kwanza kurusha space station huko angani
bro hatutak historia , zungumzia leo
 
Juzi Putin alisema kwa upande wa propaganda hakuna anaeweza kuwafikia Marekani, maana vyombo vyote vya habari vikubwa ulimwenguni wanamiliki wao...

Ila kiuhalisia China na Urusi wanampita kwa Mengi sana Marekani...ila sababu tunasubiri CNN na BBC ndio waseme tutasubiri sana.
So what?.
 
Juzi Putin alisema kwa upande wa propaganda hakuna anaeweza kuwafikia Marekani, maana vyombo vyote vya habari vikubwa ulimwenguni wanamiliki wao...

Ila kiuhalisia China na Urusi wanampita kwa Mengi sana Marekani...ila sababu tunasubiri CNN na BBC ndio waseme tutasubiri sana.
Tafadhali tueleze huo uhalisia.
 
Sasa hapo kuna jambo gani la ajabu hapo ?hayo mambo uliyoyaweka hapo hata Iran anayatengeneza sembuse Urusi na china ?
Mbona hivyo vitu vyote ulivyo viweka hapo Urusi imeanza kuvitengeneza zaidi ya miaka 50 iliyo pita?
Tena mpaka sasa Marekani anaitegemea injini za Urusi ili aweze kupeleka wanaanga wake.
Walishaachana na Urusi kwenye suala la injini na kukodi vyombo vya Urusi kwenda ISS, SpaceX kamaliza kila kitu
 
Acha uongo wewe. Ni lini Urusi walirusha chombo kwenye Sayari ya Mars na kikafika? Watu waliorusha vyombo kwenye sayari ya Mars ni watatu tu mpaka sasa, Marekani, China na Elon Musk. Pia mrusi angeshusha chombo mwezini lazima angejisifu sana.
Mrusi ndiye wa kwanz akupeleka chombo cha anga kwenye sayari ya mwezi (moon)
Soma hio
In addition to launching the first artificial satellite, the first dog in space, and the first human in space, the Soviet Union achieved other space milestones ahead of the United States. These milestones included Luna 2, which became the first human-made object to hit the Moon in 1959.

Source:
 
Hivi ww jamaa una elimu gani kwanza maana tusije tukawa tunaongea na kilaza.
Sasa hivyo vitu vyote ulivyo vitaja ni kipi ambacho Urusi au China hawatengenezi?
Ww mwenyewe karibia asilimia 90 silaha zinazo ilinda nchi yako zimetengezenezwa kwa teknolojia ya kirusi alafu unaongea pumba tu.
Nani mwenye akili kati ya aliye gundua kitu na anaye kopi kitu cha mtu aliye gundua?
 


Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude

Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine
Tuache utani, jamaa wabunifu sana
Ndo maana ya yale maneno ya america and the world!!! ndo maana ya lile neno US ni land of opportunity!!
 
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna binadamu aliyewahi kutoka nje ya dunia kwenda kwenye mwezi au sayari nyingine. NASA ni waongo wa kutupwa. Hao tunaoona wamefika sijui mwezini siyo kweli, wanaenda chini ya bahari tu huko na kujifanya wako mwezini. Hakuna aliyewahi kufika huko.
wewe mwenyewe ulisha wahi kwenda chini ya bahari?
 
Mrusi anayo hayo madude pia ishu ni kwamba siyo makubwa kama hayo so technology ya kutengenezea hayo madude anayo ni uamuzi tuu wa kutengeneza makubwa kama hayo tofauti na sisi ambao hatuna kabisa technology hiyo.
Mchina pia anayo mbona. Sasa cha ajabu kipi hapo, ukubwa wa hiyo meli au ?!
 
Nakukumbusha tu warusi ndo watu wa kwanza kurusha satellite. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo mwezini. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo kwenye sayari ya mars. warusi ndo watu kwanza kurusha space station huko angani
WARUSI NI VIRUSI MAMBO YAO WANAYO FANYA UNAWEZA KUSEMA SIO WANADAMU.UJAPATA HISTORY VIZURI KUHUSU WARUSI
 
Kwetu hayana thamani
Yana thamani ila kama hayasaidii kupunguza matatizo ya watu sasa yana thamani gani. Leo hii maeneo au mikoa yenye migodi ya madini ndiyo ingepaswa kuongoza kwa kuwa na huduma nzuri za maji,elimu,afya kwa maana ya hospitali kubwa zaidi ya muhimbili na mloganzila, leo hii ingetakiwa watu wawe na miko ya kukimbilia mfano geita huko, Shinyanga na siyo kila mtu aje dar.
Ni ujinga mtupu ukienda kwenye hiyo mikoa yenye migodi ya madini umasikini wa kutisha,maji ni shida,afya mpaka waje dar kwenye hospitali kubwa za huku. Shida aisee,
 
Back
Top Bottom