Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Tatizo tunapenda kulalamika bila kuleta suluhisho.Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting?
Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la vijana waliosoma kwa taabu na kuishia kupoteza matumaini huku wengine wakijikita kwenye betting, michezo ya kubahatisha, kazi zisizo rasmi, nk.
Huku wakikata tamaa kabisa na kuamua kutupa vyeti vyao na ujuzi walio nao, huku serikali ikiwa imekosa kabisa namna ya kuwasaidia.
INASIKITISHA SANA!
View attachment 3221534
View attachment 3221544
Miaka 60 ya uhuru, una kila aina ya resource nchini, unashindwa kutengeneza ajira na kuwalipa wasomi wako?Hapo
Tatizo tunapenda kulalamika bila kuleta suluhisho.
Hapo kosa la serikali ni lipi?
Waajiri wakati hawana nafasi kwasababu tu wewe umesoma?
Waajiri wakati hawajaandaa cha kukulipa?
Lakini Kila Saa,siku,wiki,mwezi,mwaka wapo watumishi wanaacha kazi,wanafukuzwa kazi,wanafariki,wanaostafu kwa hiari na lazima,uchumi wetu unakua na sekta zinakua zinazoachwa wazi na mahitaji mapya ya watumishi yanatangaziwa wapi!au vimemoš§Hapo
Tatizo tunapenda kulalamika bila kuleta suluhisho.
Hapo kosa la serikali ni lipi?
Waajiri wakati hawana nafasi kwasababu tu wewe umesoma?
Waajiri wakati hawajaandaa cha kukulipa?
Unajua idadi ya watu waliostaafu, kufariki ama kuacha kazi kwa mwaka 2023-2024 kwa kada unayoiongelea?Lakini Kila Saa,siku,wiki,mwezi,mwaka wapo watumishi wanaacha kazi,wanafukuzwa kazi,wanafariki,wanaostafu kwa hiari na lazima,uchumi wetu unakua na sekta zinakua zinazoachwa wazi na mahitaji mapya ya watumishi yanatangaziwa wapi!au vimemoš§
Duh ww jamaa em tumia hata akili za kuzaliwa bc mana dah umeandika upumbavuLakini Kila Saa,siku,wiki,mwezi,mwaka wapo watumishi wanaacha kazi,wanafukuzwa kazi,wanafariki,wanaostafu kwa hiari na lazima,uchumi wetu unakua na sekta zinakua zinazoachwa wazi na mahitaji mapya ya watumishi yanatangaziwa wapi!au vimemoš§
Usengeusenge mwingi umejaa tu kule Utumishi PSRSHakuna kama mama!
HahahahKatika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting?
Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la vijana waliosoma kwa taabu na kuishia kupoteza matumaini huku wengine wakijikita kwenye betting, michezo ya kubahatisha, kazi zisizo rasmi, nk.
Huku wakikata tamaa kabisa na kuamua kutupa vyeti vyao na ujuzi walio nao, huku serikali ikiwa imekosa kabisa namna ya kuwasaidia.
INASIKITISHA SANA!
View attachment 3221534
View attachment 3221544
PunguzausengeLakini Kila Saa,siku,wiki,mwezi,mwaka wapo watumishi wanaacha kazi,wanafukuzwa kazi,wanafariki,wanaostafu kwa hiari na lazima,uchumi wetu unakua na sekta zinakua zinazoachwa wazi na mahitaji mapya ya watumishi yanatangaziwa wapi!au vimemoš§
Wewe na wewe acha ujinga kapikeIla tuongee ukweli serikali haiwezi kuajili watu wote muhimu tafuta connection acha kukaa ndani kuchungulia portal toka njee uize taaluma yako