Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Na wewe kizibo vilevile huna akiliHapo
Tatizo tunapenda kulalamika bila kuleta suluhisho.
Hapo kosa la serikali ni lipi?
Waajiri wakati hawana nafasi kwasababu tu wewe umesoma?
Waajiri wakati hawajaandaa cha kukulipa?
Wanawapachika watoto wao kwanza watoto wa masikini wataendelea kusaga lamiMiaka hii mapka upate ajira watu watatapeliwa mpaka akili iwakae saw
Bora wewe umesema neno Serikali haina mpango na Vijana wasio na kadi ya chama cha VegetablesKazi iendelee broo na dada zangu trust me jiajirin hii serikal haina mpango na nyie anza na kidogo hicho hicho trust me....
Naishauri hivi serikali;
Iongeze kima cha chini cha mshahara mpaka milioni 1
Umri wa kustaafu kwa hiari upunguzwe mpaka miaka 45 na wa lazima uwe 50
Upo sahihiDuniani kote serikali siyo mwajiri mkuu. Kazi ya serikali inayojitambua ni kuwapa vijana elimu nzuri inayowawezesha kujiajiri pamoja na kuandaa mazingira mazuri katika sekta binafsi ili vijana wake waweze kuajiriwa huko. Serikali inayoshindwa kuwapa vijana wake elimu bora (ikiwemo ya vitendo) na kuimarisha sekta binafsi ambayo ndiye mwajiri mkuu basi serikali hiyo inastahili lawama kwa kuwatelekeza vijana wake.
Ajira nyingi with respect to what? Unasema umetoa ajira 11,000 wakati mahitaji halisi ni 400,000 ma unajisifia kwamba umetoa ajira nyingi?Kwa kipindi cha kuanzia July 2023 hadi December 2024 serikali imetoa ajira nyingi sana, Tatizo lililopo wahitimu ni wengi sana na sio rahisi serikali iwaajiri wote.
Alafu Kwenye Hiyo 11000 Elfu Baada Ya Usaili Unaajiri 45Ajira nyingi with respect to what? Unasema umetoa ajira 11,000 wakati mahitaji halisi ni 400,000 ma unajisifia kwamba umetoa ajira nyingi?
Huna hoja ww unajua interview wanafanya wangapi? Nyie tu uchaguzi wa baraza la vjana mlikesha nao siku 3 ndo uwe na audacity ya kudisi interview!!! Tafuta hoja ww ulichoandika hapo ni trashHakuna la maana zaidi ya utapeli tapeli tupu, sahivi kuna interview ya walimu zaidi ya siku 40 itafanyika ni namna ya kupiga pesa, kumbe zoezi lingeweza kufanyika hata ndani ya siku 2 au 3
Sawa bhnaWewe na wewe acha ujinga kapike
Naelewa mkuu..lengo ni kuondoa haraka waliopo kwenye ajira ili wengine wengi waingie.
Kuondoa haraka?Naelewa mkuu..lengo ni kuondoa haraka waliopo kwenye ajira ili wengine wengi waingie.
Inasikitisha Kwa kweliKatika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting?
Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la vijana waliosoma kwa taabu na kuishia kupoteza matumaini huku wengine wakijikita kwenye betting, michezo ya kubahatisha, kazi zisizo rasmi, nk.
Huku wakikata tamaa kabisa na kuamua kutupa vyeti vyao na ujuzi walio nao, huku serikali ikiwa imekosa kabisa namna ya kuwasaidia.
INASIKITISHA SANA!
View attachment 3221534
View attachment 3221544
Mkuu endelea kubaki CHADEMA na wajinga wenzakoKatika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting?
Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la vijana waliosoma kwa taabu na kuishia kupoteza matumaini huku wengine wakijikita kwenye betting, michezo ya kubahatisha, kazi zisizo rasmi, nk.
Huku wakikata tamaa kabisa na kuamua kutupa vyeti vyao na ujuzi walio nao, huku serikali ikiwa imekosa kabisa namna ya kuwasaidia.
INASIKITISHA SANA!
View attachment 3221534
View attachment 3221544