Hali hii ya Kimahusiano hutukuta Wavulana

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Katika kumpenda mtu huwa kuna vitu vingi sanaaa na tunatofautiana.

Kuna Wavulana wanaona mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anabamba sana na Wapo wengine hupenda wanawake modell au Wembamba..
mwengine hivo vyote haangalii unakuta anachojali ni Kukutana na mwanamke fundiiii, yani kitandani mipapaso kama yote kila eneo.. 😀😋
Na wengine ndo hivo tena yani hawataki mwanamke fundi sana, akifikiri ni Tabia za Malaya.
Wenzangu na mimi sasa Kiss 💋 tu demu akiwa fundi na mtashi kwenye denda ndio basi nakufa naoza.

Sasa dhumuni la kuleta bandiko hili ni kwamba, Binafsi nateseka sana kupata Mwanamke anayeweza kufanya vyote ninavyovitaka, yani kila mwanamke na kasolo zake, mwisho wasiku hadi inapelekea kushindwa kukaa na Manzi mmoja.

Mfano:

Mimi nina Mamanzi wawili Paulina na Irene.
Kwa hawa wawili nikiambiwa yupi unaweza kuowa nitasema Paulina, lakini na Irene sitamani kumuacha.

Ila nadhani Siku nikiowa, nikimvika pete mke wangu nitaacha kuchepuka..

Na kuna wakati nawaza au hawa wote sio.
Mke niliopangiwa kumuowa itakuwa bado sijakutana nae ndio maana sijalidhika na mmoja.

au basi acha niishie hapa, maana Pau na irene wananisumbua sana kichwa nimuache nani na nibaki na nani, sitaki nionekane na cheat mtoto wa mtu. 😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
 
Hata uzunguke dunia nzima

Kamwe hutompata mwanamke alokamilika kila idara, wote ni wazur vipande vipande.

Hapo ndo umuhimu wa ndoa za mitala ulipo, mababu zetu hawakua wapumbavu kuoa wake wengi.
 
Katika kumpenda mtu huwa kuna vitu vingi sanaaa na tunatofautiana.

Kuna Wavulana wanaona mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anabamba sana na Wapo wengine hupenda wanawake modell au Wembamba..
mwengine hivo vyote haangalii unakuta anachojali ni Kukutana na mwanamke fundiiii, yani kitandani mipapaso kama yote kila eneo.. [emoji3][emoji39]
Na wengine ndo hivo tena yani hawataki mwanamke fundi sana, akifikiri ni Tabia za Malaya.
Wenzangu na mimi sasa Kiss [emoji182] tu demu akiwa fundi na mtashi kwenye denda ndio basi nakufa naoza.

Sasa dhumuni la kuleta bandiko hili ni kwamba, Binafsi nateseka sana kupata Mwanamke anayeweza kufanya vyote ninavyovitaka, yani kila mwanamke na kasolo zake, mwisho wasiku hadi inapelekea kushindwa kukaa na Manzi mmoja.

Mfano:

Mimi nina Mamanzi wawili Paulina na Irene.
Kwa hawa wawili nikiambiwa yupi unaweza kuowa nitasema Paulina, lakini na Irene sitamani kumuacha.

Ila nadhani Siku nikiowa, nikimvika pete mke wangu nitaacha kuchepuka..

Na kuna wakati nawaza au hawa wote sio.
Mke niliopangiwa kumuowa itakuwa bado sijakutana nae ndio maana sijalidhika na mmoja.

au basi acha niishie hapa, maana Pau na irene wananisumbua sana kichwa nimuache nani na nibaki na nani, sitaki nionekane na cheat mtoto wa mtu. [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Yupo tu sehem nae wanamkanda kama unavowakanda hao iren na pau ...Mpaka unakuja kumpata nae wamemchezeea km kawa ...tuoe jamani haya maswala ya kuchezea watoto wa watu tuache
 
mwanaume ukiweza kudhibiti tamaa zako za kimwili basi mafanikio yanakua karibu sana
Huwa nakaa najiuliza, baba Yangu Daudi kwanini aliowa wake Wengi, Je mimi nimkuu sana kuliko Daudi baba yetu(in Bible)
 
Yupo tu sehem nae wanamkanda kama unavowakanda hao iren na pau ...Mpaka unakuja kumpata nae wamemchezeea km kawa ...tuoe jamani haya maswala ya kuchezea watoto wa watu tuache
Mimi nadhani shida ni kupata tu,
maana swala la kuowa sio kama kununua Nguo kwamba useme kesho naenda shop nachangua jeans moja kali na T-shirt
 
Tafuta unaeweza na anayeweza kuvumilia mapungufu yenu. Hakuna aliye kamilika ila yupo unaye weza kumfanya aonekane kakamilika
 
Siku nikapata hiki nitatulia, siku nikifanya hiki nitaacha hiki, siku nikifika umri fulani nitatulia .............n.k

Mkuu kauli hizo hapo juu☝️☝️ na nyingine kama hizo huwa ni za kujipa moyo tu kama unataka mabasiliko anza sasa kwa maana matamanio ni ya NAFSI na NAFSI huwa haizeeki unaozeeka ni mwili so hata ukifika 90 years kama ulikuwa na tabia fulani haiwezi ku change kwa ghafla hivyo .

KAMA UNATAKA MABADILIKO ANZA SASA NAFSI HAIZEEKI NA MATAMANIO YAKE HAYAISHI.
 
Katika kumpenda mtu huwa kuna vitu vingi sanaaa na tunatofautiana.

Kuna Wavulana wanaona mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anabamba sana na Wapo wengine hupenda wanawake modell au Wembamba..
mwengine hivo vyote haangalii unakuta anachojali ni Kukutana na mwanamke fundiiii, yani kitandani mipapaso kama yote kila eneo.. [emoji3][emoji39]
Na wengine ndo hivo tena yani hawataki mwanamke fundi sana, akifikiri ni Tabia za Malaya.
Wenzangu na mimi sasa Kiss [emoji182] tu demu akiwa fundi na mtashi kwenye denda ndio basi nakufa naoza.

Sasa dhumuni la kuleta bandiko hili ni kwamba, Binafsi nateseka sana kupata Mwanamke anayeweza kufanya vyote ninavyovitaka, yani kila mwanamke na kasolo zake, mwisho wasiku hadi inapelekea kushindwa kukaa na Manzi mmoja.

Mfano:

Mimi nina Mamanzi wawili Paulina na Irene.
Kwa hawa wawili nikiambiwa yupi unaweza kuowa nitasema Paulina, lakini na Irene sitamani kumuacha.

Ila nadhani Siku nikiowa, nikimvika pete mke wangu nitaacha kuchepuka..

Na kuna wakati nawaza au hawa wote sio.
Mke niliopangiwa kumuowa itakuwa bado sijakutana nae ndio maana sijalidhika na mmoja.

au basi acha niishie hapa, maana Pau na irene wananisumbua sana kichwa nimuache nani na nibaki na nani, sitaki nionekane na cheat mtoto wa mtu. [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Rudi shule basi ww mvulana acha kufanya tabia mbaya, Umri wako utakuwa mdogo na akili pia, maana hakuna mvulana anayeruhusiwa kuoa achilia mbali kuowa kama ulivyoandika ww.

Wanaume pekee ndio wanaweza kuoa na kuhudumia familia, kuoa sio kufanya tendo la ndoa pekeake.
 
Back
Top Bottom