Mkuu wewe ni genius sanaπ1) Ukiona unamchukia mtu una tatizo.
2) Ukiona unataka watu wakupende una tatizo.
3) Ukiona una furaha mwenzio akifanikiwa na kusaidia kutatua matatizo ya watu, ujuwe wewe ni kiumbe bora hapa dunia.
Pamoja na wewe mkuu zaidi ya GeniusππΎMkuu wewe ni genius sanaπ
Kwa lipi masterππPamoja na wewe mkuu zaidi ya GeniusππΎ
Mzee wangu alikuwa akinambia ukiwa ugenini jichunge sana na maneno yako, kwani maneno yako husababisha kujulikana kwa tabia yako.Kwa lipi masterππ
Sure mkuu hawezi kukwepa yule wewe hata ukitumia I'd fake , maneno yana tambulisha sna haiba ya mtu .Mzee wangu alikuwa akinambia ukiwa ugenini jichunge sana na maneno yako, kwani maneno yako husababisha kujulikana kwa tabia yako.
sijaelewa wew ni victim au ni actor katika scenario hiyo πBinafsi lazim nije niwe raisi wa Tanzania , siku nikiwa raisi nyie mnaosifia sifia lazima ipitishwe sheria ya kunyongwa kwa wanaonisifia ujinga mimi kama raisi au yoyote yule kwnye uongozi wangu .
Yani itakua kazi kazi hakuna kucheka na kima π.
Mimi ni raisi wenu ajae miaka hiyo, mimi ni nyota ya Capricorn waulize mama jusi wa mashariki , mkombozi wenu amezaliwa ,mbona wewe umekuwa wa mwisho kupeleka uvumba na manukato ya thamani ndugu mheshimiwa π ?sijaelewa wew ni victim au ni actor katika scenario hiyo π
Mkuu nipe mda nitakutafuta ili ujue naongea ninachokimaanisha.huenda ni kwasababu ya kupitisha Sheria kunyonga maofisa kwenye serikali yako π€£
Sio mbaya wanyongwe tu maana hata hivyo tupo wengi mnokwahiyo serikali yako itakua na kazi ya kunyonga maaofsa tu π€£
napenda sana vijana wenye ndoto kubwa kubwa za vitu vya maana kama Urais, coz najua ukikosa Urais basi umakamu, au uwaziri mkuu utakuhusu.....Mimi ni raisi wenu ajae miaka hiyo, mimi ni nyota ya Capricorn waulize mama juzi wa mashariki , mkombozi wenu amezaliwa ,mbona wewe umekuwa wa mwisho kupeleka uvumba na manukato ya thamani ndugu mheshimiwa π ?
Rais enzi hizo nitakuwa kibibi cha maana sana utanisaidia kuangaliapo wajukuu kwa kuwa watakuwa very very genius utawapapo kipaumbeleMimi ni raisi wenu ajae miaka hiyo, mimi ni nyota ya Capricorn waulize mama jusi wa mashariki , mkombozi wenu amezaliwa ,mbona wewe umekuwa wa mwisho kupeleka uvumba na manukato ya thamani ndugu mheshimiwa π ?
Mhm bado sana bhna , nilipo mtu ana miaka 70 ila anafanya mambo ya msingi kuzidi vijana wengi apo nyumbani.Rais enzi hizo nitakuwa kibibi cha maana sana utanisaidia kuangaliapo wajukuu kwa kuwa watakuwa very very genius utawapapo kipaumbele
Rais upo nchi ganiMhm bado sana bhna , nilipo mtu ana miaka 70 ila anafanya mambo ya msingi kuzidi vijana wengi apo nyumbani.