Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mwingine anasifiwa kwa uhodari au umahiri uliompendeza msifiaji, halafu mwingine huenda hata hahusiki, eti anachukia na kuumia moyoni kabisa mpaka anapata mihemko na ghadhabu, na wakati mwingine kwa kejeli, vijembe na mabezo kama yote na saa zingine hadi matusi...
Hivi hali hii ya chuki dhidi ya wanaosifia, mathalani wanawasifia viongozi wao wanaofanya viziri, mfano katika medani za kisiasa. hali hii huchochewa na kitu gani mpaka mtu kua na hasira namna ile?
Sasa kama huna cha maana ulichofanya ndio usifiwe, si uongeze bidii na maarifa nawe ufanye vyema halafu usifiwe. mtu akisifiwe, wewe inakuuma au unakerwa na nini sasa