Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Wewe unaiweka katika kundi gani?Hahahahaha countrywide nawewe unajiweka katika kundi la watu wenye akili? Hahahahahaha!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaiweka katika kundi gani?Hahahahaha countrywide nawewe unajiweka katika kundi la watu wenye akili? Hahahahahaha!!
We ni miongoni mwa Vijana wa hovyo sana kutokea huko CCM.Wewe unaiweka katika kundi gani?
hojaHawakua tayari kutawaliwa na mtu au chama kimoja kwa muda mrefu kama sisi tunavyoburuzwa na CCM.
CCM wenyewe wanajivunia kuwa na hii akili kubwa, na faida wanaionaWe ni miongoni mwa Vijana wa hovyo sana kutokea huko CCM.
Elimu bado inahitajika Nani anakwambia ufananishe Bei ya bidhaa za nchi ya watu kwa currency yako ??Mwezi March nilienda nchini Somalia kikazi chini ya shirika la umoja wa mataifa liitwalo Internation Organization for Migration.
Ili kufupisha maada.Nilichokishuhudia huko nchini somalia kilinishangaza sana nikilinganisha na hali ya nyumbani tanzania.Yaani somalia ukiondoa ile hofu ya alshabaab vitu vingine vyote ni rahisi kuliko nchini kwetu tanzania.
Mfano, niliuliza gunia la mchele la kilo 100 na bei ilikuwa hela za kitanzania 60000 kwa mjini mogadishu na miji ya pembezoni bei ilikuwa ya chini zaidi mafuta (petroli ilikuwa Tsh 2500), diesel ni tshiling 2000.na mafuta ya taa ni 1500.Bei hizi ni za kuanzia mwezi wa 8.2022.
Miundombinu kama barabara, hosipitali na umeme zinajengwa kwa kasi sana nchini somalia tofauti na tanzania ambapo ni mwendo wa konokono, pesa ya Somalia ina thamani kubwa dhidi ya pesa ya tz.
Watanzania wenzangu kwa nini tunazidiwa na somalia kimaendeleo? Yaani nchi inavita toka 1990 hadi leo lakini ina maendeleo zaidi kuliko tanzania.Sababu ni nini inayotufanya watz maisha yawe magumu kuliko somalia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo unahitaji elimu ili ujue kuwa somalia imeendelea kuliko tanzaniaElimu bado inahitajika Nani anakwambia ufananishe Bei ya bidhaa za nchi ya watu kwa currency yako ??
Mfano Michelle sijui elf 60
Je wajua kupata pesa baada ya kubadili iwe elf 60tzs Kuna urahisi na ugumu kulingana na sehemu
US tzs 60k unaeza pata kwa masaa pungufu ya matano. Somalia sijui ila inaweza kuwa ngumu zaidi..tz ndo kabisa week kibarua ndo unaeza pata hio hela
Kuendelea ni majengo? Ni sawa na Kenya ..30% ya vijana Nairobi no robbersWewe ndiyo unahitaji elimu ili ujue kuwa somalia imeendelea kuliko tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Somalia kila kitu rahisi.watoto wanatibiwa bure lakini tanzania kwa sasa ni pesa.wajawazito wanajifungua bure lakini tanzania ni pesa.tanzania tulichoizidi somalia ni kutokuwepo kwa alshabaab tu.Huduma zote zingine upatikanaji wake ni rahisi sanaKuendelea ni majengo? Ni sawa na Kenya ..30% ya vijana Nairobi no robbers
Fool you
UnashaurijeSomalia kila kitu rahisi.watoto wanatibiwa bure lakini tanzania kwa sasa ni pesa.wajawazito wanajifungua bure lakini tanzania ni pesa.tanzania tulichoizidi somalia ni kutokuwepo kwa alshabaab tu.Huduma zote zingine upatikanaji wake ni rahisi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukajifunze somalia namna ya kuongoza nchi.Na kama nchi imewashinda basi wajiuzulu ili sisi wazalendo tuinyooshe nchi na kuondoa hizi tozo zisizoeleweka.Unashaurije
Ndio maana wanatwambia twende Burundi huwezi kusikia wakisema Twende Somalia.Mwezi March nilienda nchini Somalia kikazi chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa liitwalo Internation Organization for Migration.
Ili kufupisha mada Nilichokishuhudia huko nchini Somalia kilinishangaza sana nikilinganisha na hali ya nyumbani Tanzania. Yaani Somalia ukiondoa ile hofu ya Al-Shabaab vitu vingine vyote ni rahisi kuliko nchini kwetu Tanzania.
Mfano, niliuliza gunia la mchele la kilo 100 na bei ilikuwa hela za kitanzania 60,000 kwa mjini mogadishu na miji ya pembezoni bei ilikuwa ya chini zaidi mafuta (petroli ilikuwa Tsh 2500), diesel ni tshiling 2000.na mafuta ya taa ni 1,500.Bei hizi ni za kuanzia mwezi wa 8.2022.
Miundombinu kama barabara, hosipitali na umeme zinajengwa kwa kasi sana nchini somalia tofauti na tanzania ambapo ni mwendo wa konokono, pesa ya Somalia ina thamani kubwa dhidi ya pesa ya Tanzania.
Watanzania wenzangu kwa nini tunazidiwa na Somalia kimaendeleo? Yaani nchi ina vita toka 1990 hadi leo lakini ina maendeleo zaidi kuliko Tanzania. Sababu ni nini inayotufanya Watanzania maisha yawe magumu kuliko Somalia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo unamuita msomali eeh?Wasomali wana uthubutu na hilo hadi kwenye nchi za watu. Mfano mzee Kinana.