Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Nadhan serikali inawajibu wa kuendeleza uwekezaji kama huu cz haisaidii kuachwa sababu ni kodi za watanzania zinateketea!!
Mi naona hapa ni wanataka kumkomesha marehemu huoni kama isingekuwa kelele Nyerere damu ingepotelea huko huoni sgr ipo wapi
 
Jpm alijitahid sana kufanya ambayo viongozi wengi wa Tanzania walishindwa kufanya,Jamaa alitaka kutuonyesha kwamba tunaweza ila wenye chuki na ubinafsi wakafanya yao....Hiyo inatosha kutupa kumbu kumbu ya huyu Mwamba.
Shujaa wako au siyo!! Ungejua hata husingeandika huu ujinga, mtu aliyetupitisha enzi za giza ila unamsifu
 
Ushawahi kufika hapo?
 
Why duniani maana mwajivunia na mabunduki, kule tuko sawa tunazichapa, na wenda unanikuta ndo mkaribisha wageni ,au nyampara au niko na kazi mahalum ndo utajua hujui
Kumbe unaogopa bunduki, huyo aliyekuambia mnakuwa sawa ni alikudanganya wewe zumbukuku!
 
Another Sukuma gang at work
 
Iko haja kwa viongozi wa wilaya kulitolea swala hili ufafanuzi. Na kama kutumika kama stand hakuna tija kwanini pasibadilishiwe matumizi, hakuna uhitaji wa majengo na eneo kwa ajili ya matumizi mengine?
Kama matumizi gani? Chato unaijua vizuri mkuu? Kile ni kijiji kikubwa. Labda pafanywe eneo la gulio/mnada. 😅
 

Mbona husemi alinunua kivuko akakikabidhi kwa jeshi
 
Hata Mbagala stendi tuu imepelekwa mwandege wabongo wanapenda toa lawama
 
Magufuli nimutoa maana baada ya kujenga Hospitali ya Kanda Chato,huku Kanda ya Ziwa namba Hospitali hata mmoja
 
Kama Nyerere angekiwa mbinafsi kama Magufuli basi leo hii Mkoa wa Mara usingeshikika kimaendeleo
 
Mwaka jana nilikwenda kikazi huko. Chumba cha 250,000 tulilala kwa 50,000. Hakuna Wateja kabisa. Zile Assets zitabadilika kuwa Magofu soon.
 
Shujaa wako au siyo!! Ungejua hata husingeandika huu ujinga, mtu aliyetupitisha enzi za giza ila unamsifu
Sasa kama mlikuwa majizi ulitaka awapitishe kwenye mwanaga kama hawamu hii?.
Na ningekuwa bwana Jera mlitakiwa mletwe Gerazani mnikute niwape kitu cha upinde wa mvua mijizi mikubwaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…