Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Kipi kikusikitishacho? Hii ni nchi ina watu, sehemu ya Tanzania. Juzi juzi tu watu 27 walikufa Bukoba Airport shauri uwanja finyu, lakini Mkoa wa Kagera na mikoa ya jirani Geita Kigoma na Shinyanga wana watu karibia milioni 10 hawana airport imara. Ambapo kwa CHADEMA kina Mbowe hawafiki watu milioni 2 wana airport 3 za kimataifa Moshi, KIA na Arusha umbali wa kilometa 48. Hawa Watanzania wa Chato Kagera Kigoma na Shinyanga ni wenzetu, kupewa stendi ya bus kuwatosha watu milioni 10 iwe nongwa? Ipi ni aghali zaidi, airport au stendi ya mabasi?
kiongozi [emoji1666][emoji1666][emoji1666]mtoe tope kichwani