Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

IMG_9191.jpg
 
Miradi mingi ililazimishwa

Kaangalieni na Soko la Ndugai, Stand ya Dodoma

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Stand ya Nane nane Dodoma, soko la Magomeni, Soko la Chato stand, Aisee ukitembelea hayo maeneo unaweza kulia! Hela zilipotea bure kabisa...Kisha malizia na mradi wa Ndege beach.
 
Ni suala la muda tu forces za demand and Supply zingepaweka hilo eneo sehemu inayostahili.
 
Tulipiga kelele kuwa kuiwezesha Chato ni sawa ila juhudi zilipaswa zianze juu (mkoani) kuja chini wilaya zilizoamka mpaka vijijini.
Magufuli alianza kijijini kabla ya mjini. Sasa amekufa na kila kitu huko Chato kimekufa .
Mabilioni ameyapoteza bure.
View attachment 2555460
Hii miundombinu wangewawekea wilaya kama moshi na mwanga sehemu zinazoweza changamka na hakuna hayo mambo upendeleo wa kijinga na wilaya imeshindwa kujiongeza Wapate kupaendeleza pawe na umuhimu
 
Wakianza kuikodisha ile Airport mnistue nstaka kutumia kuanikia mpunga
 
Humu wamejaa viongoz wengi ambao walikua wahanga wa utawala wa Magufuli. Kwa jinsi alivyokua anapambana nao usitegemee kupata comments Positive humu.Kuna madc,ded,RAS na maafisa mbalimbali wa serikali,wamejaa humu ndani.Wananchi wa kawaida au chini ambao wengi ndio waliguswa na kazi zake wako Facebook na Instagram. Mashambulizi anayopata humu huwezi yakuta Facebook au Instagram
Hujui hapa ni home of the Great thinkers, wanyonge wako huko Facebook na huko kwingine . Ni sawa na kusikiliza maoni ya wanyonge
 
Hayo majengo bado yako katika hatua za ujenzi nafikiri yanasubiri kukauka wacheni uzushi
 
Tulipiga kelele kuwa kuiwezesha Chato ni sawa ila juhudi zilipaswa zianze juu (mkoani) kuja chini wilaya zilizoamka mpaka vijijini.
Magufuli alianza kijijini kabla ya mjini. Sasa amekufa na kila kitu huko Chato kimekufa .
Mabilioni ameyapoteza bure.
View attachment 2555460
Source ya taarifa?

Hilo eneo bado mkandarasi anajenga hajakabidhi hiyo mia tano umetoa wapi,

Wachaga wenzio wamepiga pesa kwa kuuza hardware kuanzia simenti,nondo,mabati ,madirisha na milango ya magrill,kokoto nk kujenga majengo Chato ikiwemo Chato Airport na tenda za ujenxi Magufuli akiwa hai wewe mchaga uliyezubaa usiyejua kuchangamkia fursa unabaki kurusha mipicha tu lofa wewe
Wenzio walishapiga pesa ndefu wanakula kuku kwa mrija Kilimanjaro

Mbuga ya Burigi chato kuanzia tour guides hadi magari ya utalii wachaga watupu toka Arusha

Una pepo la umaskini nenda kwa mwamposya akakuombee

Huna macho ya kuona fursa una pepo la umaskini
 
Hii miundombinu wangewawekea wilaya kama moshi na mwanga sehemu zinazoweza changamka na hakuna hayo mambo upendeleo wa kijinga na wilaya imeshindwa kujiongeza Wapate kupaendeleza pawe na umuhimu
Mhhh, Mwanga na Moshi hakuna kitu. Bora Geita au Katoro
 
Hata Mobutu basi alikuwa sawa kuwekeza Gbadolite ambayo ilikufa na kubaki magofu baada ya yeye kukimbia/kukimbizwa na kufia ukimbizini, hayo ni matokeo ya kufanya projects kwa upendeleo bila kuzingatia mahitaji halisi. Watu walikimbilia kununua viwanja Chato wakijua Jiwe atatumia pesa za walipa kodi kupendelea eneo hilo sasa wanahaha kutafuta wa kuwauzia hivyo viwanja hata kwa bei za hasara lakini hawawapati, nepotism was order of the day during Jiwe era.
😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
 
As wapi mimi mwaanchi wa kawaida tu .lile pepo jini, shetwaan mwendazake bora lilienda tu
Ni asilimia ndogo sana ya wananchi wa kawaida wanamchukia Magufuli na hawa wengi ni kufuata mkumbo kutoka kundi la wahanga wa utawala wa Magufuli. Uko humu JF kila uzi ni kumdis jiwe,we mwananchi wa kawaida mwenye uwezo mdogo kufikiri kuwa watu wanatoa nyongo zao kwanini usiungane nao?Kuna viongoz kibao humu wanatumia fake ID walipelekwa mputa mputa na wengine kuliwa vichwa. HAKUNA MWANANCHI WA KAWAIDA MWENYE AKILI TIMAMU AKAPONDA UTAWALA WA MAGUFULI. Siku ikija kugundua hizi fake ID ni za akina nani, utaelewa haya.Ni JF na Twitter ndio wamejaa viongoz na watu wenye nyadhifa flani, Na hawa wengi ndio wahanga wa utawala wa Magufuli. Wengine humu ni chawa wa wahanga wa utawala wa Magufuli, wako na kazi maalum kusaidia kutema nyongo za maboss wao.Akina Nape wana chawa wao humu,Makamba nk. Unategemea jiwe asipondwe?Nenda huko Facebook utaona ni pande mbili tofaut. JF NA TWITTER Magufuli ni dikteta na mwenye roho mbaya sana ila FACEBOOK ni mkombozi wao.
 
Back
Top Bottom