Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Bariadi,singidaStendi kama hii ingejengwa Babati Mjini leo hii ingekuwa isharudisha hata robo ya pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bariadi,singidaStendi kama hii ingejengwa Babati Mjini leo hii ingekuwa isharudisha hata robo ya pesa
Point of correction:Kuna tofauti kubwa kati ya Mobutu na hayo majengo ya Chato, Mobutu alijenga majengo kwaajili ya makazi yake, lakini sio kwa hayo ya umma hapo Chato.
Kama alivyojenga miradi mikubwa kwa jeuri tuPoint of correction:
Mobutu alijenga projects nyingi(zote zimekufa) kama airports, museums, libraries, hospitals etc.
Alijenga miradi mingi na mikubwa kwamba Gbadolite ije iwe sehemu muhimu na center ya province bila ya kuangalia uhalisia, same kwa Chato ambayo iliibuka kwa kuiua Biharamulo na ikazidi kulazimishwa uwekezaji ungezingatia uhalisia basi angalau ngivu zingeelekezwa kwa Mwanza au at least Geita kwani huko miradi yote ingekuwa endelevu kutokana na uhalisia wa kiuchumi na population ya maeneo husika.
Hata Mobutu basi alikuwa sawa kuwekeza Gbadolite ambayo ilikufa na kubaki magofu baada ya yeye kukimbia/kukimbizwa na kufia ukimbizini, hayo ni matokeo ya kufanya projects kwa upendeleo bila kuzingatia mahitaji halisi. Watu walikimbilia kununua viwanja Chato wakijua Jiwe atatumia pesa za walipa kodi kupendelea eneo hilo sasa wanahaha kutafuta wa kuwauzia hivyo viwanja hata kwa bei za hasara lakini hawawapati, nepotism was order of the day during Jiwe era.Not just Necessary say "must" sema must x 10 rudia tena ikukae kichwani. Ilikuwa ni lazima kwani magapi yamefanyika mikoa mingine tena makubwa? Nakuuliza ni project ngapi jpm wetu alizifanya sehemu tofati na chato iweje hako kawe gumzo?
Niseme hivi aliye jenga alijuwa jinsi gani watu watapatumia nagekuwa hai hapo kungekuwa ni habari nyingine.?
Muacheni apumzike basi kha!
SahihiHata Mobutu basi alikuwa sawa kuwekeza Gbadolite ambayo ilikufa na kubaki magofu baada ya yeye kukimbia/kukimbizwa na kufia ukimbizini, hayo ni matokeo ya kufanya projects kwa upendeleo bila kuzingatia mahitaji halisi. Watu walikimbilia kununua viwanja Chato wakijua Jiwe atatumia pesa za walipa kodi kupendelea eneo hilo sasa wanahaha kutafuta wa kuwauzia hivyo viwanja hata kwa bei za hasara lakini hawawapati, nepotism was order of the day during Jiwe era.
Kukosoa pia ni ushauri ili upuuzi usirudiwe tena.Mwenye kazi ya kukosoa ni mchawi tu,mtu mwema hushauri jambo jema badala yake.
Hilo ni sukuma gangKukosoa pia ni ushauri ili upuuzi usirudiwe tena.
Daima watu kama hao hawanaga aibuHivi na wale wanyama aliowahamisha wao wapi? Wale twiga?
Mi nataman angeamka huko aliko a one upunafu alioufanya
Hilo ni sukuma gang
Jicho analo babako na mamakoTuliza jicho.
Jicho analo babako na mamako
AhahahahaChato is a truly white elephant 🐘
Humu wamejaa viongoz wengi ambao walikua wahanga wa utawala wa Magufuli. Kwa jinsi alivyokua anapambana nao usitegemee kupata comments Positive humu.Kuna madc,ded,RAS na maafisa mbalimbali wa serikali,wamejaa humu ndani.Wananchi wa kawaida au chini ambao wengi ndio waliguswa na kazi zake wako Facebook na Instagram. Mashambulizi anayopata humu huwezi yakuta Facebook au InstagramWatu huyo Jamaa mnamchukia Sana.