Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Mengine ni wapambe ndio walikua wanafanya ili kujipendekeza kwa boss wao. Maana ilifikia hatua eti matokeo darasa la saba, ameongoza mwanafunzi wa Chato. Then form four, ameongoza mwanafunzi wa Chato.

Ilimradi tu wamfurahishe bwana yule!
 
Mengine ni wapambe ndio walikua wanafanya ili kujipendekeza kwa boss wao. Maana ilifikia hatua eti matokeo darasa la saba, ameongoza mwanafunzi wa Chato. Then form four, ameongoza mwanafunzi wa Chato.

Ilimradi tu wamfurahishe bwana yule!
Kuhusu mitihani achana nayo,hujui utaratibu wake.tuendelee na haya mengine
 
Nimecheka sana, yaani yaliyosemwa yameanza kutimia,inamaana huko kanda ya ziwa hakuna sehemu nyingine ambayo ilibidi ipelekwe hiyo huduma?
Hujacheka umefurahi kufikiwa kwa ulichokitaka boss.
 
Magufuli bhana badala ya kureinforce Mwanza sehemu ambayo chochote ukiendeleza lazima kilipe anaenda kule chato , moja ya akili mbovu Sana hyo
Imagine zile resources za Chato Airport kama angezi consolidate kuimarisha Mwanza Airport. I hope ingekuwa uwanja mkubwa wa East Africa kwenye nchi zinazo share ziwa Victoria
 
Humu wamejaa viongoz wengi ambao walikua wahanga wa utawala wa Magufuli. Kwa jinsi alivyokua anapambana nao usitegemee kupata comments Positive humu.Kuna madc,ded,RAS na maafisa mbalimbali wa serikali,wamejaa humu ndani.Wananchi wa kawaida au chini ambao wengi ndio waliguswa na kazi zake wako Facebook na Instagram. Mashambulizi anayopata humu huwezi yakuta Facebook au Instagram
As wapi mimi mwaanchi wa kawaida tu .lile pepo jini, shetwaan mwendazake bora lilienda tu
 
Tulipiga kelele kuwa kuiwezesha Chato ni sawa ila juhudi zilipaswa zianze juu (mkoani) kuja chini wilaya zilizoamka mpaka vijijini.
Magufuli alianza kijijini kabla ya mjini. Sasa amekufa na kila kitu huko Chato kimekufa .
Mabilioni ameyapoteza bure.
View attachment 2555460
Kazi ipo ukikodi moja unapewa na nyongeza moja ngoja nikafungue kilinge
 
Back
Top Bottom