Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Sendi Ilikuwa Nado Inajengwa

Inaonekana kwamba ujenzi ulikuwa haujakamilika. Na sasa hivi haitumiki. Kwa hiyo sababu siyo watu kuwa busy katka kilimo
 
Sukuma gang wacha kulialia wewe,kutesa kwa zamu na sasa ni zamu yenu kulia na kusaga meno
 
Naona umepanic, nionyeshe tusi kwenye hiyo thread, pili hiyo miradi uliyoorodhesha hakuijenga kwa kutumia pesa zake, ni pesa za watanzania wote.
 
Kwani yule mbuzi aliyejenga machinga complex naye alikuwa dictator.

Au kuweka yard ya Mwendo Kasi kwenye mafuriko ya mto msimbazi ilikuwa akili au matope.


Acheni Chuki kama kuku vijana WA Leo mnakera kweli
Mbona mirafi inafanya kazi kama kawaida
 
Sasa mumuache mama wawatu afanye kazi hatutaki umbeya wa kisukuma mtulie.
 
Huo ni mpango wa serikali awamu hii kutaka kumkomoa marehemu tuu
Kwahiyo mkuu unataka serikali ikawafunge kamba wananchi kuwapeleka kwenye stendi mpya?🤣 hii nchi haiishi vituko
 
Hamna kupumzika!
 
Unatete Nini mkuu..basi anahewapelekea visima vya maji...huko Geita Kuna maeneo hawana maji ,ilhai ziwa Victoria lipo km chache tu !!!!
 
Mhh
 
Hiyo picha inaonesha stand ni dormant ,ungeleta utetezi mwingine ,labda ungesema mpiga picha alikuta watu wapi break😁
 
Video la zamani
Hili mkuu
 
Hapa tupo stand ya mabasi Chato,wewe unaionaje !? Huko kwingine ni mada tofauti ,vipi Mbugaya Wanyama ya Burigi aka Kitovu Cha Utalii wale Wanyama walihamishiwa huko bado wapo!?
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
enzi za utawala wamarehemu hata hiyo video usingepata ujasiri wa kuipiga.

kama vp tuletee na video ya uwanja wa ndege tuone unavyoonekana.
 
Hiv pamoja na makosa yaliyofanyika unataka kuniambia hapo wameshindwa kupafanyia kaz kweli. C wapafanye hata soko tu kuliko kukae tu
 
Stendi iko tayar na inatumika ila hiyo clip kabla haijamalizika ila kwasasa inatumika na ina watu wakutosha tu
Hiyo picha inaonesha stand ni dormant ,ungeleta utetezi mwingine ,labda ungesema mpiga picha alikuta watu wapi break😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…