Umenena vema. Ni kweli stendi ya mabasi makubwa haijaanza operation. Ila hii ya kwenye video ni stendi ndogo na inafanya kazi mpaka saa 12 jioni. Magari yanayotoka chato kwenda Mwanza kweli ni machache e.g Mkwema, & stendi ndogo inafanya kazi kila siku (Mabasi ya kwenda katoro, Muganza, Mwanza, Bukoba, Mutukura e.t.c yanapakia na kushusha abiria hapo daily!)., Wamachinga wapo, wamama wanaouza maziwa wapo, wapiga debe wapo, mama ntilie wapo, bodaboda na bajaji wapo daily kujipatia riziki kdg. Let's avoid pessimism wakuu! . Nakataa mtoa mada kupost video indicating stendi iko completely dormant. Let's be optimistic bhana..