Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Alikuwa na mazuri pia mabaya shida ilipo ni mabaya yalikuwa mengi zaidiKamwambie mama yenu mlifukie na bwawa la nyerere pia usisahau kumwambia mbowe mfanye kampen ya kumshawishi rais mlivunje daraja la wami pia linaloenda mpaka kwao moshi pumbavu nyie.
Leta na ya Kibaha mjini kabisa lakini kituo kipo tupuHii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
Sema jengo la abiria pale airport Mwanza ukiliangalia, inasikitisha sana, Mwanza ni mkoa mkongwe sana na fursa nyingi sana, sijui kwanini huwa hapazingatiwi sana na serikaliAnge renforce kwenye nn?kaacha bus stand 2 Mpya kubwa kuliko hio ya chato(Nyamhongolo na Nyegezi), au ulitaka ajenge stand ya 3 wapi?[emoji1745]
Kaacha rader pale airport, jengo la abiria lilo telekezwa km stand ya chato, soko kubwa linajengwa kwa kusuasua pale town, daraja kubwa Kuliko yote EAT...what else ulitaka afanye?huu sasa ndo tunaita uroho.
Mkuu wajuzi wanasema ukilamba asali akili zote zinapotea, huwazi sawa sawa ndio kilichopoIko haja kwa viongozi wa wilaya kulitolea swala hili ufafanuzi. Na kama kutumika kama stand hakuna tija kwanini pasibadilishiwe matumizi, hakuna uhitaji wa majengo na eneo kwa ajili ya matumizi mengine?
WATU WALISHATAHADHARISHA, TENA KWA KUTOA MFANO WA ALICHOKIFANYA MOBUTU NYUMBANI NA BAADA YA HAPO NINI KILITOKEA. Lakini wakapingwa..!! Sasa bado wale wanyama wa Burigi kurudishwa walikotokaHii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
Ila na ile yard ya Mwendokasi dah, hii nchi kuna vituko vingi sana aisee 😀Kwani yule mbuzi aliyejenga machinga complex naye alikuwa dictator.
Au kuweka yard ya Mwendo Kasi kwenye mafuriko ya mto msimbazi ilikuwa akili au matope.
Acheni Chuki kama kuku vijana WA Leo mnakera kweli
Nakuona sukuma gang kwenye ubora wakoLengo ni kumtukama Magufuli,hakuna kingine.
Jiwe aliharibu kila jema alilolikuta hapa nchini.Kamwambie mama yenu mlifukie na bwawa la nyerere pia usisahau kumwambia mbowe mfanye kampen ya kumshawishi rais mlivunje daraja la wami pia linaloenda mpaka kwao moshi pumbavu nyie.
Jiwe hakukubalika kabisa zaidi ya kutumia mabavuMuda mwingine muwe manapunguza chuki,uzuzu na uchawa,ebu niambie sababu kubwa ya stend ya nyegezi kuvunjwa na kujengwa upya tena ndani ya muda mfupi baada ya kuhamishwa kutoka tanganyika kule kwa zamani? Sababu kubwa ni watu wapumbavu kama wewe mleta mada kwa kudhania kuweka project ndogo ambayo haweizi kuwa na life span ya more than 30 years to come mkijua population ya 60m + ndo itakuwa hiyo hiyo ata kwa miaka 30 ijayo.
Hapa siyo wakereketwa wa kijani bali sema sukuma gang
Ccm itatawala bila jiwe hiyo ndiyo furaha ya watanzania.Wamejikita kumtukana Magufuli ambaye hayupo.
Na 2025 wanategemea wagombee [emoji23]
CCM itaendelea kutawala.
Mimi nipo hapa Ikungi lete uongo wako wewe sukuma ganghivi umewahi fika kwenye wilaya aliyoiongoza kama m'bunge kipindi chake sasa hapo ndio utatukana vizuri
Sukuma gang hamna tena meno mmebakia vibogoyo tuWao wamtukane ,ila 2025 sio mbali.
Sukuma gang kama umechukia Kanywe sumuMuda mwingine muwe manapunguza chuki,uzuzu na uchawa,ebu niambie sababu kubwa ya stend ya nyegezi kuvunjwa na kujengwa upya tena ndani ya muda mfupi baada ya kuhamishwa kutoka tanganyika kule kwa zamani? Sababu kubwa ni watu wapumbavu kama wewe mleta mada kwa kudhania kuweka project ndogo ambayo haweizi kuwa na life span ya more than 30 years to come mkijua population ya 60m + ndo itakuwa hiyo hiyo ata kwa miaka 30 ijayo.
Upo sahihiAlikuwa na mazuri pia mabaya shida ilipo ni mabaya yalikuwa mengi zaidi
kuwa na adabu siyo wote tuko kisiasa ukweli utabaki kuwa ukweli mimi ni mwenyeji wa nyanda za juu kusini tuna kila kitu sasa hiyo hali ya shida iliyopo hapo kwenu unaweza kujilingana na mimiMimi nipo hapa Ikungi lete uongo wako wewe sukuma gang
KabisaNakuona sukuma gang kwenye ubora wako