Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
Leta na ya Kibaha mjini kabisa lakini kituo kipo tupu
 
Ange renforce kwenye nn?kaacha bus stand 2 Mpya kubwa kuliko hio ya chato(Nyamhongolo na Nyegezi), au ulitaka ajenge stand ya 3 wapi?[emoji1745]
Kaacha rader pale airport, jengo la abiria lilo telekezwa km stand ya chato, soko kubwa linajengwa kwa kusuasua pale town, daraja kubwa Kuliko yote EAT...what else ulitaka afanye?huu sasa ndo tunaita uroho.
Sema jengo la abiria pale airport Mwanza ukiliangalia, inasikitisha sana, Mwanza ni mkoa mkongwe sana na fursa nyingi sana, sijui kwanini huwa hapazingatiwi sana na serikali
 
Iko haja kwa viongozi wa wilaya kulitolea swala hili ufafanuzi. Na kama kutumika kama stand hakuna tija kwanini pasibadilishiwe matumizi, hakuna uhitaji wa majengo na eneo kwa ajili ya matumizi mengine?
Mkuu wajuzi wanasema ukilamba asali akili zote zinapotea, huwazi sawa sawa ndio kilichopo
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
View attachment 2552469
WATU WALISHATAHADHARISHA, TENA KWA KUTOA MFANO WA ALICHOKIFANYA MOBUTU NYUMBANI NA BAADA YA HAPO NINI KILITOKEA. Lakini wakapingwa..!! Sasa bado wale wanyama wa Burigi kurudishwa walikotoka
 
Kwani yule mbuzi aliyejenga machinga complex naye alikuwa dictator.

Au kuweka yard ya Mwendo Kasi kwenye mafuriko ya mto msimbazi ilikuwa akili au matope.

Acheni Chuki kama kuku vijana WA Leo mnakera kweli
Ila na ile yard ya Mwendokasi dah, hii nchi kuna vituko vingi sana aisee 😀
 
Kamwambie mama yenu mlifukie na bwawa la nyerere pia usisahau kumwambia mbowe mfanye kampen ya kumshawishi rais mlivunje daraja la wami pia linaloenda mpaka kwao moshi pumbavu nyie.
Jiwe aliharibu kila jema alilolikuta hapa nchini.

Hilo bwawa la Nyerere alikuta hiyo plan ipo na hapaswi kujivunia hilo.
 
Muda mwingine muwe manapunguza chuki,uzuzu na uchawa,ebu niambie sababu kubwa ya stend ya nyegezi kuvunjwa na kujengwa upya tena ndani ya muda mfupi baada ya kuhamishwa kutoka tanganyika kule kwa zamani? Sababu kubwa ni watu wapumbavu kama wewe mleta mada kwa kudhania kuweka project ndogo ambayo haweizi kuwa na life span ya more than 30 years to come mkijua population ya 60m + ndo itakuwa hiyo hiyo ata kwa miaka 30 ijayo.
Jiwe hakukubalika kabisa zaidi ya kutumia mabavu
 
Wamejikita kumtukana Magufuli ambaye hayupo.
Na 2025 wanategemea wagombee [emoji23]

CCM itaendelea kutawala.
Ccm itatawala bila jiwe hiyo ndiyo furaha ya watanzania.

Hivi zile 1.5 trillion zipo wapi?
 
Muda mwingine muwe manapunguza chuki,uzuzu na uchawa,ebu niambie sababu kubwa ya stend ya nyegezi kuvunjwa na kujengwa upya tena ndani ya muda mfupi baada ya kuhamishwa kutoka tanganyika kule kwa zamani? Sababu kubwa ni watu wapumbavu kama wewe mleta mada kwa kudhania kuweka project ndogo ambayo haweizi kuwa na life span ya more than 30 years to come mkijua population ya 60m + ndo itakuwa hiyo hiyo ata kwa miaka 30 ijayo.
Sukuma gang kama umechukia Kanywe sumu
 
Mimi nipo hapa Ikungi lete uongo wako wewe sukuma gang
kuwa na adabu siyo wote tuko kisiasa ukweli utabaki kuwa ukweli mimi ni mwenyeji wa nyanda za juu kusini tuna kila kitu sasa hiyo hali ya shida iliyopo hapo kwenu unaweza kujilingana na mimi
 
Back
Top Bottom