Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

kiongozi [emoji1666][emoji1666][emoji1666]mtoe tope kichwani
 
Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?

View attachment 2552469

Eneo safi kabisa Kwa kuanikia michembe na udaga! Pia kuliko kuanika dagaa kweny e mawe wangeleta hapo tu! Tena wenzetu wamejaliwa maeneo makubwa mno hadi raha! Kuna kule eaport tena duuh hadi nawaonea wivu! πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Halafu hizo ni Kodi za watanzania wote then Kuna mfu mmoja maarufu sana alienda kuziharibia hapo! Manina zao mqjoka ya kijani
 
Admistrative building haijakamilika, kwanini? Kwahiyo watu wa huko wakisafiri wanapandia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…