Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

Dj bhana..anatoa hela mfuko wa kulia na kuiweka mfuko wa kushoto...
Hao kawatuma. Hivi kwa nini anang'ang'ania?
 
Watanzania tuna mpango pia wa kumuomba rais akae madarakani hadi 2035. Tunabadili katiba.
Na hili pia mlikubali.
 


Too low..... lost your good years in that school!

Keep well!
 
Hongera kwa nia zenu na mapenzi yenu.
Sasa nasi wana CCM tukitafuta watu million 2, waka sign , kuomba mheshimiwa Raisi abadilishe katiba na aendelee kugombania uraisi zaidi ya mihula miwili, jee mtatuona tunakosea.
Katiba ya nchi ni ya CCM? Labda kama mnataka kubadilisha katiba awe mwenyekiti wenu wa milele huko Lumumba.
 
Mbowe amiangamizaje Chadema? Unauhakika na unachosema au unaanaandi Ka ilili uonekane umechangia kitu!!?

Nia yenu ni kuona Chadema imekufa, sasa inakuuma nini Kwa mbowe kuja Chadema wakati ndichomnachotaka?

Kwaa taarifa yenu tunajua mnamoiga mbowe Vita nakujaribu kuwwaminisha watu kuwa mbowe hafai kwasababu mnamuogopa. Mnajua kuwa akitoka mtapumua. Mwembe wenye matunda daima ndo hupigwa mawe.

Mwacheni mbowe akilee chama. Mbowe anamalenzi ya Shari na Chadema. Anajitoa kuliko mtu yeyite yule kuhakikisha chama kinasimama.

Mambo ya Chadema waachieni wanachadema waamue nani awaongoze.
Ulishawahi kusikia mtu wa Chadema akiingilia mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM?
Mbowe ameiangamiza CHADEMA
 
si muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box
Mkuu CCM wanahangaika Sana kutaka Mbowe asiwe kiongozi wa CHADEMA kwa nguvu tuliyoiona ya kungaa mkono Serikali na Viongozi wa Upinzani kuhamia CCM, Ni ngumu Sana kupata mtu Aina ya Mbowe,Bado miaka 6....tuanze upya Acha Mbowe apeleke mawazo mbadala Hadi 2025!
 
Mbowe anahusikaje katika hili? Wekeni mazingira ya uchaguzi yawe sawa Kwa kila chama ndo mtajua kuwa CCM ilishakufa kitambo.

Kama ninyi mnapendwa Sana, mmefanya mambo mazuri yanayoonekana Kwa wananchi, viwanda vingi kuliko nchi ya ujerumani, shule bure, Barbara, ndege, treni ya mwendo kasi, stiglers' gorge power project .... Mention any. Hayo yote yanawatangaza. Kwanini kutumia nguvu nyingi hivi kuzuia wapinzani wasiongee?

Kwanini kumfunga mshindani wako mikono Kwa nyuma, kipa umemfunga kitamba machoni, halafu unaanzisha pambono la mpira. Refa wakwako, linesmen wako, kamisaa wa mchezo wakwako,. Na Baadae kama zuzu unajisifia ushindi wakishindooooo... Unaakili kweli wewe?
Weka mazingira ya siasa na uchaguzi neutral uone nani ni zaidi.
CHADEMA itakapobaki na mbunge mmoja mwakani, ndio mtakapoona Mbowe hafai
 
si muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box
Unataka muingize vibaraka wenu ka Lyatonga, propesa Li-pumba, nk, nk, au??
 
Kumbe Tanzania Kuna Upinzani!! Duuh poleni Sana .
 
Kumbe Tanzania Kuna Upinzani!! Duuh poleni Sana .
Upo saaaana tu ila hatutaki kuonyesha kwa sababu ya halitete anayosababisha Jiwe na genge lake la ubabe. Uitaka kulijua hili waambie waweke mazingira sawa na fursa kwa wote ndo utajua kua kile chama kilishakufa kitambo sana ila watu wanavunga tu maana hakuna namna kwa sasa.
 
si muumini wa vyama..ila nadhan kuzidi mshikilia mbowe kama mwenyekiti ni kupoteza karata ya kulaumu Magufuri kuibaka demokrasia..najaribu fikiri tu nje ya box
Ingekuwa rahisi ningeomba nijue nafasi yako darasani primary hadi secondary ulikuwa wa ngapi toka mwisho. Hakuna chama chenye democrasia nchi hii kama CHADEMA. Viongozi wake huchaguliwa hivyo ujue kuwa Mbowe hateuliwi bali anachaguliwa. Kuwa na wafuasi wanaomuunga mkono ni haki yake kama . Na katiba inamruhusu kugomemba sasa udictactor uko wapi hadi umlinganishe na madictactor? Mwenyekiti wao huwa hana mpinzani na hakuna hata uchaguzi ni kukabidhiwa tu uwenyekiti? Unahaki kuendelea kuwa nje ya box kila la kheri mkuu.
 
Hata mkijidanganya kumchukulia form nina wahakikishia uchaguzi ujao hamtapata hata viti vitatu vya ubunge, tunze haya maneno ..Magufuri ameshawamaliza kitambo mmebaki jina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…