Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Iran imeanza kuiadhibu Marekani kwanza kabla ya kuingia Israel baada ya kifo cha Ismael Haniye.
Makombora kadhaa yamerushwa kwenye kambi ya Marekani iliyoko Iraq na kusababisha maafa makubwa kwenye kambi hiyo.
Sambamba na hilo kiongozi wa mamlaka ya Palestina ambaye daima huonekana kuwa karibu na Israel dhidi ya Hamas,leo ametoa lawama kali dhidi ya Israel kutokana na kifo cha Ismael Haniye akisema mauwaji hayo yamekusudiwa kurefusha muda wa mapigano kati ya wapalestina na Israel.
Kwa upande wa Jordan mfalme wa nchi hiyo ametoa matamko makali kutokana na mauwaji yanayoendelea upande wa pili wa mipaka yake katika maeneo ya ukingo wa mashariki kuzunguka Jerusalem.