Siku ile Iran wamerusha makombora kuelekea Israel, Israel walisema watalipa kwa wakati na mahali sahihi,
Baada ya pale kila siku ni vilio kutoka Iran maana tulishudia Rais wao akipotelea mmsituni, kambi zao za kijeshi huko Syria kulipuliwa na kuuawa maafisa kadhaa wa Iran, na juzi hapa Israel imewapukutisha viongozi wa juu wa Hamas na Hezbolah kwa mpigo.
Kitendo cha Israel kwenda kumuua kiongozi wa hamas ndani ya Israel tena kwenye kambi ya jeshi la Iran, aisee ilikuwa ni bonge la fu.....ck you kwa Ayatollah. Kitendo hiki kinaonesha hakuna alie salama ndani ya Iran..
Mpaka sasa hivi Iran hana la kufanya maana hajui atakaefuta kutunguliwa au akipotelea msituni baada ya hapo.