Hali imebadilika ghafla Mashariki ya Kati. Iran yaanza na Marekani wakati Jordan na Mahmoud Abbas waanza kuiandama Israel

Kwa sababu ya mdomo au udini ulikua unamsumbua!?..kamrithisha na lukuvi
 
Kama Marekani kwenyewe hakuna usalama hata kwa viongozi wa juu aina ya Trump, sasa kwanini ushangae hilo kutokea Iran kwa mkuu wa Hamas?

Afadhali hii ya Iran inaonesha kuwa watu walitumia gharama kubwa na kuumiza vichwa kweli kweli ili kufanikisha jambo lao. Lakini ile ya Trump mtoto wa chini ya miaka 20 ambae hana mafunzo yoyote ya kijeshi aingie kwenye jengo na silaha yake, atafute kona nzuri ya kushambulia, ajipange na kufanya shambulizi bila kushtukiwa na wana usalama wote wa vyombo vyote vya ulinzi wa ndani. Tena katika nchi ambayo inasifiwa kuwa na intelejensia kubwa kuliko zote duniani.

US secret service wenyewe wameshindwa kumlinda raisi wao mstaafu ambae pengine anaweza kuja kuwa tena raisi, halafu wewe unashangaa Iran kutokumlinda mgeni tu aliekuja kuhudhuria kuapishwa kwa raisi..

Fikiria kama dogo angekuwa na shabaha au kama mshambuliaji angekuwa amepata mafunzo na kipewa mission na Iran au Urusi saa hizi tungekuwa tunaongea nini?

Lengo langu hapa ni kukuonesha kuwa kuna mambo ambayo yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wewe kama binadam hata uwe na uwezo au ujuzi vipi hautoweza kuyazuia. Dogo angekuwa ni askari ambae amejifunza shabaha basi Trump saa hizi angekuwa amenyofolewa roho yake mbele ya secret service (wanaosifiwa duniani) na walinzi wake.

Ndo pale mtu unaweza kuona Ronaldo au Mess kabaki na goli alafu anabutua juu, ukafikiri kuwa ni mzembe kumbe siku hiyo haikuwa siku yake ya kufunga. Yani hakupangiwa kufunga.
 
Mpaka sasa Dunia inasubilia kile iran ilichojigamba nacho"kisasi kwa Israel ambacho hakijawahi kushuhudiwa"lkn wiki ya pili hii inaenda Kila siku ni taarabu tu. Ninavyoona iran kashaufyata
Kapige deki handaki la netanyahu,kakojoa Sana wiki hii,si unajua tezi dume na hofu basi breki hakuna
 
Nikweli kabisa,Marekani imeshahujumu pambano, kama nayeye anauhitaji wa kupambana na Iran basi apange muda wake lakini sio kuingilia kati kama anavyofanya, huo ni uoga!
 
Wasichokijua
Usichokijua mwinjilisti,Iran Ndo ilitoa kamikaze drone iliyobadili upepo WA vita mpaka Leo pale Ukraine.israel sijui Kwa Nini haitaki jifunza Toka Ukraine ambayo ilipewa vikorokoro vyote,na Bado inapigika.
 
Ayatolah uharo Debe hamuamini hata Mkewe πŸ˜†
 
Vita ndio ilivyo
Popote kwenye mapigano baina ya pande mbili ujue kuna wahusika wengine
 
Nimesoma maoni ya wadau hapa kuhusu israel kuwa mdogo kijiografia n.K,msichokijua ni kuwa wenzako washaifanyia kazi hiyo point of weakness miaka mingi sana. La sivyo kusingekuwa na ka nchi kanakoitwa israel. Mimi navyoona israel wamewekeza sana kwenye swala la ujasusi hapo mashariki ya kati na ndio salama yake. Hayo mashambulizi ya kushtukiza kama la octoba 7 ni minor error ambazo zinajitokezaga kwenye battlefield. Anyway .R.I.p eli cohen.
 
Makubwa hayo Israel ikiwa ndogo kuliko Rwanda, Iran kubwa kuliko Tanzania plus waarabu wote kuizunguka Israel. Kweli haka kajamaa kuna bwana mkubwa anakapa kiburi kama yule ngongoti was Rwanda vs Bonge la kizaire.
Kumbuka pia Iran ni nchi kubwa kuliko Israel kijiografia,, ni rahisi kuisambararisha Israel ikiingia kwenye 18 kuliko Iran akiingia kwenye 18 zake....hao waishi kwenye bunkers ila wakitoka wanakuta magofuView attachment 3062918
 
H

Iran ana backup ya Putin na Mchina + Kiduku
 
Muda huu dakika chache zilizopita Hizbollah keshakiwakisha Israel na inasemekana kuna majeruhi wawili askari.Ila vifo havijatangazwa wala kuhakikiwa.
Hicho chuma cha Hezbullah kinapiga kwenye mshono kabisa mchana peupe taifa teule la wavuta bangi wamelala chini ya mti wenye kimvuli cha shetani bado.


View: https://youtu.be/wiMO3fUqvmM?si=EQ0vEshpjtFlIhPs
 
Nikweli kabisa,Marekani imeshahujumu pambano, kama nayeye anauhitaji wa kupambana na Iran basi apange muda wake lakini sio kuingilia kati kama anavyofanya, huo ni uoga!
Kila mtu sasa hivi anaidharau Israel kwa kupenda kusaidiwa hata ikipambana na wanamgambo wanaotumia manati, mawe na migobole kupambana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mrusi hakupeleka jeshi Iran, ila Marekani kapeleka jeshi Israel ili wanajeshi wa nchi mbili wapambane na wanajeshi wa nchi moja πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Russia imepeleka s-400 air defense system Iran.
Hiyo ni confirmed information mkuu.
 
Adults keep their ears and eyes open to find opportunities to learn. Kosugi
 
Adults keep their ears and eyes open to find opportunities to learn. Kosugi
Other battles are not worth to fight for mister.
Karibu supu ya kukuπŸ—πŸ—πŸ—ila la kuvunda halina ubani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…