Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Uwo msosi ni Adimu sana maeneo Fulani....nimeumiss sana.Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana.
Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000.
Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.View attachment 2463147
Hicho chakula hapo juu kimenivutia sana. Hata nile kila siku hakiwezi kunikinaisha.Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana.
Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000.
Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.View attachment 2463147