Hali imekuwa ngumu sana Kanda ya Ziwa, familia zinajikomboa kwa kununua debe la udaga, mahindi na dagaa

Hali imekuwa ngumu sana Kanda ya Ziwa, familia zinajikomboa kwa kununua debe la udaga, mahindi na dagaa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana.

Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000.
Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
20221230_085254.jpg
 
Kila mtu ale kwa urefu wa Kamba yake na Wasukuma wanavyozaliana hovyo na kula sana ni Kwashiorkor tu.
 
Acha dharau ugenini, umekimbia njaa kali kwenu shukuru hapo umepata chochote kitu.
 
Ugali - wanga + Dagaa(Nyanya,mavuta alizeti au mawese, au mafuta ya wanyama )+ Mboga za kondeni aaah mbona menyu Safi kabisa hiyo..

Au mapishi ndo mabovu?

Viazi vitamu vimegoma kuota ... Maziwa hakuna ...
 
Mavuno mapya ya mahindi yataanza kuingia sokoni mwezi Januari/Februari
Hiyo njaa itapungua
 
Back
Top Bottom