Mbona Juliana Shonza hajapost humu kwa muda sasa?
Huwa napenda sana swagga zake.
Yeye huja na kuanzisha sredi halafu huyo anasepa anawaacha mnararuana na kuparuana hapa.
Kale kamdada bana. Katata sana.
Kabembe hapo Red hapo ni serious concern.....!
Mkuu Saanane,
Hii sasa mnaenda mbali sana. Kijana si una elimu yako nzuri tu?
Tafuta kazi maana siasa za namna hii ni hatari mno hata kwako mwenyewe.
Ni ushauri?
Hao wawili upande wa kulia kwa Zitto ni nani?
Ha ha haa kazi ipo magaidi wako wengi mimi nilijua ni waislamu tuu ndio magaidi kumbe hata upande wa pili mpo mhhh ngoja niende zangu bububuMsaada kwenye tuta, Hivi lazima usaidie upande ndo uwe shahidi? Mawakili wa Lwakatare wanaweza kuwaita hawa kuwa mashahidi kwa kuwa wanahisi kesi imepikwa????
Ben saanane, kipindi hiki ni kigumu ukweli haujulikani bado, hali ni tete nakushauri haya mambo myajadili ndani ya chama mnawapa maadui zenu point za kuwamaliza, acha ndugu , JF haitasaidia kutafuta utatuzi wa jambo hili.

kitalekwa na @ Macho-Mdiliko,Precisely my point! I rest my case!Hii kitu imefanywa na usalama wa taifa 100%. Hakuna ubishi.
1. ' kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.
Hii inaonyesha kuna kundi la watu lilikuwa linajua kuna mtu atadhurika na watu watahusisha na serikali. Na kweli Kibanda amedhuriwa na
2. Ridhiwani akakimbilia kukenyejeli ''haya sasa semeni tena ni ikulu''. Japo alifanya japo la kitoto kabisa kudanganya account yake ilikuwa hached tena kwa kebehi akasema ni Arusha na sehemu akazitaja.
Cha kujiuliza: Wote hawa walijuaje kabla?
hiv ben hajakamatwa tu hawa polisi wanareta masihara kwenye mambo ya msingi
Siasa ndiyo kazi niliyosomea pia,niliambiwa nenda kalisaidie taifa lako.Nimechagua njia hii
Kufanya kazi kwingine nikiwa nahitajika huku ni ubinafsi wa hali ya juu ni dhambi.Kazi hii multiplier effect yake(kwa wale wajuzi wa nadharia za uchumi) ni kubwa kuliko ku-parsue narrow Interest.Nikijiondoa kwenye hatari hii,nitawaacha wengi hatarini.ni dhambi!
Na hatutakubali kamwe waendelee kujineemesha kuvuruga mfumo mzima wa ustawi wa jamii,haki kwa wote na maendeleo kwa ujumla tutapambana mpaka tone la mwisho ya damu zetutunakoelekea ni kubaya hii sasa si siasa tena bali ni vita kati ya wanaotutawala na wanaotaka kututawala
Siasa ndiyo kazi niliyosomea pia,niliambiwa nenda kalisaidie taifa lako.Nimechagua njia hii
Kufanya kazi kwingine nikiwa nahitajika huku ni ubinafsi wa hali ya juu ni dhambi.Kazi hii multiplier effect yake(kwa wale wajuzi wa nadharia za uchumi) ni kubwa kuliko ku-parsue narrow Interest.Nikijiondoa kwenye hatari hii,nitawaacha wengi hatarini.ni dhambi!
Siasa ndiyo kazi niliyosomea pia,niliambiwa nenda kalisaidie taifa lako.Nimechagua njia hii
Kufanya kazi kwingine nikiwa nahitajika huku ni ubinafsi wa hali ya juu ni dhambi.Kazi hii multiplier effect yake(kwa wale wajuzi wa nadharia za uchumi) ni kubwa kuliko ku-parsue narrow Interest.Nikijiondoa kwenye hatari hii,nitawaacha wengi hatarini.ni dhambi!
Ben,
Wewe subiri Lwakatare na Ludovick wakutaje ukathibitishe ile sumu uliyopewa kumpa Zitto. Kwa sababu ulishakiri itarahisisha kazi ya hakimu...
Mkuu, this is a million dollar quiz. Naona mhusika muhimu anaanza kutoa majibu ya quiz!!!