Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Siasa hizi za vijana wa sasa ambao ndio wanaotegemewa na watanzania wengi kuwaletea ukombozi wa pili zinakatisha tamaa sana. Naona mashambulizi yale yale kwa watu wale wale yanaendelea tena. Hali hii ikiachwa iendelee hivi,kamwe tusitegemee mazuri yoyote toka kwa watu hawa kwa mtindo huu. Vijana acheni siasa za chuki,visasi na uongo ili kujenga nchi yetu. Kwa mtindo huu wazee wetu hawawezi kutuachia madaraka au nafasi yoyote ya uongozi kwani inavyoonekana bado tunakosa hata busara za elimu yetu,tofauti na wazee wetu wenye busara tokana na elimu,uzoefu na umri wao.

Hawa ndio wasomi wetu bora hata yawale walio chora katuni kwenye mtihani wa form four kuliko huku tunako elekea shee....................t
 
Tukiwa tunalumbana JF.....DOWANS wanalipwa mabilioni ambayo yatatumika uchaguzi 2015

watanzania tuamke jamani.
 
ben saanane,wote uliwataja wakamatwe uko sahihi ila na ww lazima ukamatwe tu huna jinsi ya kulikwepa hili mshangao ulionesha tu inatosha sana kukustukia inteljensia yako imenistua pia hata slaa kuongea na waandishi pia amethibitisha hayuko makini
 
Jeshi la Polisi lilitangaza kumkamata Lwakatare tena Kova akasisitiza amekamatwa kama mshukiwa sio chama lakin kesho yake Slaa akaitisha Press conference kama katibu sio Wilbroad Peter kuzungumzia tena kukana kuhusika kwa Lwakatare badala ya kumuachia mwenyewe ajieleze halaf mnalalamika kuwa inahusishwa Chadema wakati nyie ndo mmelivaa kichama, Pia kwa kuendeleza Bifu lako la kike kwa Zitto unataka ahojiwe kwa kuwa tu alishawahi kusema alitaka kuuawa,Hivi slaa kwa mara zaid ya Tano amesikika hadharan akisema yeye ni Target ya kuuawa,Mwakyembe kaongea sana vitisho dhidi yake kwa nini huoni umuhim kwao nao kuhojiwa?, kama ukihisi kupakaziwa kashfa za mauaji dhidi ya usiowapenda kwa nn huendi mahakamni kufuangua kesi dhidi ya Defarmation? Usichochee watu kutumia style ya Umkotho we Sizwe ya Kina mandela hutaleweka Even na Kina Mbowe? Siasa hizo inamaana Kuzima mziki Billicanas,Kufunga Tanzania Daima,Kufunga hotel zao kadhaa na biashara zao,soma uelewe jinsi watu walivyofilisika South Africa kwa Mapambano ujasiri ambao Mbowe na Mapepari wenzie Chadema hawawez kuuvaa hata kwa Maigizo. Msiwaache Solemba Magaidi wenu kama mlivyowaacha solemba Wajane wa Jan 5 Arusha.
 
Mnafiki na Mzandiki Mzito Kabwela ni gugumaji ndani ya CDM hilo halina ubishi! CDM mmelea uvundo huu tangu 2007!
 
Sijaelewa nini hasa Ben unakitaka!! Manake naona kama ni marudio ya ile saga ya kipindi cha nyuma!! Acha vyombo vya usalama vifanye kazi zao/inteligensia...Kuomba Polisi wawashikilie hao watu unaowataka ni mawazo yako wewe, wao wanajua wapi pa kuanzia na pa kuishia..usiwafundishe kazi!! I like u dude!!
 
Sikujua kama Super double agent kumbe nao wakibanwa huwa wanakimbilia kutaka sympathy huku wakitoa amri kwa wengine kuwasaidia.

Kumbe kila mmoja CHADEMA ana uwezo wa kutoa AMRI, au kazi ya mkuu wa kitengo cha ulinzi na usalama ameishapewa kwa sababu paragraph hii ina amrisha RED BRIGADE na siyo kuwaomba.
RED BRIGADE ichukue center stage kulinda viongozi na wanachama wetu pamoja na interest za chama popote bila kuvunja sheria lakini sheria itekelezwe bila bias. Vijana CHADEMA hatujawahi kuwa softy,siyo historia yetu, siyo falsafa wala itifaki ya Kombati kunyamazia haya.

nyoka akiingiza tu kichwa ndani ya shimo pangoni huwa ni kazi ngumu kumtoa kwa kutumia mkia wake, lakini ukiweka kizinga cha moto, anafurumuka mmoja baada ya mwingine.

Kizinga cha moto cha Lwakatare kimeanza kuwatoa nyoka pangoni, mmoja baada ya mwingine.

Tutaona na kusikia mengi.
 
Ben wa saanane kelele zenu zoote ni kwa kuwa mmesimamia mguu mmoja tu.ndo maana mnatumiwa vibaya sana na wazee.Hizi siasa mlizoingia kupitia dirishani zitawaponza.soon or later utakuwa katika list alaf hiyo red brigade yako itakuwa center gani sijui.
 
mambo yanakwenda kama kawaida yake, ameanza Mwampambe amefuatia Benn namsubiri Julian wakati huo Mamunya anapasha bila kumsahau dogo prezo kuhitimisha hoja.!!!
 
Last edited by a moderator:
Sikujua kama Super double agent kumbe nao wakibanwa huwa wanakimbilia kutaka sympathy huku wakitoa amri kwa wengine kuwasaidia.

Kumbe kila mmoja CHADEMA ana uwezo wa kutoa AMRI, au kazi ya mkuu wa kitengo cha ulinzi na usalama ameishapewa kwa sababu paragraph hii ina amrisha RED BRIGADE na siyo kuwaomba.


nyoka akiingiza tu kichwa ndani ya shimo huwa ni kazi ngumu kumtoa kwa kutumia mkia wake, lakini ukiweka kizinga cha moto, anafurumuka moja moja.
.

Nyoka wa watu kaingia kwenye shimo wewe anakubughudhi nini? Kwa nini umuwekee kizinga cha moto, si upite zako tu na uendelee na safari yako? Dhambi nyingine za kujitakia tu!

 
Sio vibaya Ben akajibu maswali ya nayoumiza kichwa watu hapa

Unamfahamu Ludovick?
umewahi kukutana nae?
ni mwana CHADEMA mwenzio?
SURE THING.. itatusaidia wengi .. tuongezee ufahamu maana kuna giza limetanda.. kwenye hizi propaganda...
 
Mungu ata simamia haki na ukweli utajulikana
 
Mungu ata simamia haki na ukweli utajulikanaa
 
Kama umekaa chini ukasikiliza maneno ya kova bila shaka umechoka kufikiri kabisa! Target hapa ni kuichafua chadema na hata kama slaa asinge ongea lazima waandishi wangetaka kujua msimamo wa chama maana lwakatare ni kiongozi wa chama!

Kova alitaka chadema wanyamaze wasiseme chochote lakini watu wakashituka kwa nini alisema vile. Yani chadema wakae kimya kwa allegations za namna hiyo your not serious........

Na umeshindwa kumuelewa Ben anacho maanish ndio maana umekimbilia kuwa fulani ana chukiwa! Hivi unajua hao wakina mtela na juliana wanavyo andika na kutoa tuhuma kwa Ben? Sasa ndio maana Ben ameomba nao wahojiwe pengine wamtaje ili ukweli ujulikane kuliko kutoa tuhuma na zikabaki hivihiv.

Tatizo wengi mmefikir Ben anaogopa au ana jihami nooo::: sasa kama ana jihami asinge omba wanao mtuhumu wahojiwe!

Ben Saanane anachotaka ni ukweli uwekwe wazi kama kweli ili haki ipatikane si kutoa tuhuma tuuu!

Na hii hitakuwa njia nzuri kabisa.


Jeshi la Polisi lilitangaza kumkamata Lwakatare tena Kova akasisitiza amekamatwa kama mshukiwa sio chama lakin kesho yake Slaa akaitisha Press conference kama katibu sio Wilbroad Peter kuzungumzia tena kukana kuhusika kwa Lwakatare badala ya kumuachia mwenyewe ajieleze halaf mnalalamika kuwa inahusishwa Chadema wakati nyie ndo mmelivaa kichama, Pia kwa kuendeleza Bifu lako la kike kwa Zitto unataka ahojiwe kwa kuwa tu alishawahi kusema alitaka kuuawa,Hivi slaa kwa mara zaid ya Tano amesikika hadharan akisema yeye ni Target ya kuuawa,Mwakyembe kaongea sana vitisho dhidi yake kwa nini huoni umuhim kwao nao kuhojiwa?, kama ukihisi kupakaziwa kashfa za mauaji dhidi ya usiowapenda kwa nn huendi mahakamni kufuangua kesi dhidi ya Defarmation? Usichochee watu kutumia style ya Umkotho we Sizwe ya Kina mandela hutaleweka Even na Kina Mbowe? Siasa hizo inamaana Kuzima mziki Billicanas,Kufunga Tanzania Daima,Kufunga hotel zao kadhaa na biashara zao,soma uelewe jinsi watu walivyofilisika South Africa kwa Mapambano ujasiri ambao Mbowe na Mapepari wenzie Chadema hawawez kuuvaa hata kwa Maigizo. Msiwaache Solemba Magaidi wenu kama mlivyowaacha solemba Wajane wa Jan 5 Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Ben saanane, unaonekana unayajua mambo haya kwa undani sana.Maelezo yako yanatisha kwa kweli, ni mara chache sana mtu anaweza kusema yupo tayari kupigana hadi tone la mwisho--tuliwasikia watu kama Gadafi, na kweli walisimama hadi mwisho na wakauawa.Maneno hayo pia hutolewa na watu wanaojitoa muhanga kwa imani za kidini. Hii Extremism uliyoionyesha, inatia wasiwasi, nadhani unajua upo hatarini,Liwalo na Liwe! Ila chonde chonde fanyeni michezo yenu yoooote, ila msitupeleke kwenye machafuko,...umasikini tulionao unatutosha!
Hii 1% ya wenye uroho wa madaraka ....itatuzamisha wote tusipokuwa makini
 
Mkuu, this is a million dollar quiz. Naona mhusika muhimu anaanza kutoa majibu ya quiz!!!
Mkuu mie niliishasema hapa kuwa huyu kijana anajua mengi sana.
Mie ningekuwa bado afande huyu angekuwa wa kwanza kumhoji.... I miss my uniforms!
Hii kuchanganya na majina ya watu wengine ni kupoteza ushahidi tu
Kijana anajua mengi sana huyu, Polisi wanachukua muda sana kuhoji mashahidi muhimu kama hawa
 
Principle and natural justice states,
Kelele za chura hazimtishi tembo kunywa maji na maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom