Hahaha...Ming'oi....Yaani katika miaka mingi ya kusoma jamiiforums,sijacheka kama nilivyocheka baada ya kusoma hilo semo lako...unamaanisha nini lakini?Kwa hili wala halihitaji propaganda kwani ngoma ya wachawi imeshapigwa kila mchawi atacheza mwenyewe.
Siasa ndiyo kazi niliyosomea pia,niliambiwa nenda kalisaidie taifa lako.Nimechagua njia hii
Kufanya kazi kwingine nikiwa nahitajika huku ni ubinafsi wa hali ya juu ni dhambi.Kazi hii multiplier effect yake(kwa wale wajuzi wa nadharia za uchumi) ni kubwa kuliko ku-parsue narrow Interest.Nikijiondoa kwenye hatari hii,nitawaacha wengi hatarini.ni dhambi!
HahahahahahahahahahahhahahhahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahAhahHhHahahHahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahki
kicheko hiki kiwafikie wale wote waliopanga na kutekeleza mauaji ya ras chacha wangwe, mateso ya ulimboka, kibanda, kumwagia asidi igunga na kuuwa morogoro, siku zenu zinahesabika...tik tok tik tok
Ndugu zangu., mimi nikijana mdogo sana., na mimi sio mwanasiasa, ila lazima niseme wazi kwamba nina nia ya dhati yakuzilinda rasilimali za taifa langu Tanzania, nakutoa mchango wangu kwa taifa langu kwa kadri Mungu atakavyo niwezesha., lakini haya ninayo yaona yananitisha.,
Sasa ninatambua kwamba huko niliko na ndoto za kwenda sio nchi ya Asali na Maziwa, si salama sana., nimefika mahali nina hitajika kuamua hasa nikipi ninachotaka kufanya.,
Nimeamua nitapambana., kwa hoja, na kwa haki.,
nitavaa gwanda!.,
Ni bora Kufa nikiitafuta Tanzania iliyopo kwenye imaginations zangu., Tanzania yenye utajiri sio wa mali asili tu wala ule uliyopo ardhini., lakini unao onekana katika kila kaya ya Mtanzania., kuliko niishi nikiona Tanzania ikifa mbele yangu, ndoto za vijana wenzangu ziki mezwa na matokeo ya wanasiasa waliojaa hila.,
najua siwezi kuiokoa mimi mwenyewe., (kwani mimi ni nani bwana) lakini nitatoa mchango wangu- kwasababu unahitajika!
kwa vijana wenzangu.,
Woga ni dhambi Mbaya Mbaya sana!!., kwakua inakuua alafu unazikwa kwa Aibu., Taifa hili linatuhitaji sana sana sana!.,
kuikimbia siasa kwakuiita mchezo mchafu tu haitusaidii., mwanaume halisi hufikiria zaidi ya maisha yake yeye peke yake tu., lakini hufikiria ya kweke, ya mke wake na watoto wake, halafu huenda mbali zaidi na kufikiri juu ya jamii inayo mzunguka na hata mstakabali wa Taifa lake lote! huyo NDIYE MWANAUME halisi.,
wake up fellas,. tuki waachia hawa hawataondoka hadi watakapo ifyonza nchi yetu yote., kibaya zaidi hata ikifika hapo wata waachiwa wanawe., na sisi tuta baki vile vile hohehahe!.,
the time is now
nduka ole wake amtegemeaye binadamu kama kinga yake.vipi kama ulivyotumika ukiwa udsm wakati jk anasaka uraisi kwa ahadi za kupewa nafasi za ukuu wa wilaya diz time unaside na nani?jioni njema kijana wa tabora
Siasa ndiyo kazi niliyosomea pia,niliambiwa nenda kalisaidie taifa lako.Nimechagua njia hii
Kufanya kazi kwingine nikiwa nahitajika huku ni ubinafsi wa hali ya juu ni dhambi.Kazi hii multiplier effect yake(kwa wale wajuzi wa nadharia za uchumi) ni kubwa kuliko ku-parsue narrow Interest.Nikijiondoa kwenye hatari hii,nitawaacha wengi hatarini.ni dhambi!
Hamna kitu hawa,njaa ndio zinawasumbua, we jiulize mtu kama Ben,hana cheo chochote CDM kwa maana hiyo hana mshahara, hana kazi nyingine ya kumuingizia kipato, sasa anaishije humu mjini?Hizi siasa za Tanzania sasa zinatia kinyaa, hivi tunaelekea wapi..........hizi habari za kutoana roho mbona zimewakaa wanasiasa wetu midomoni namna hii?
Hizi siasa za Tanzania sasa zinatia kinyaa, hivi tunaelekea wapi..........hizi habari za kutoana roho mbona zimewakaa wanasiasa wetu midomoni namna hii?
Hamna kitu hawa,njaa ndio zinawasumbua, we jiulize mtu kama Ben,hana cheo chochote CDM kwa maana hiyo hana mshahara, hana kazi nyingine ya kumuingizia kipato, sasa anaishije humu mjini?
Unajua Ben unajipa jina kubwa wakati ni mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania. Unaenda kuanzisha ligi na kiongozi kama Zitto kweli unategemea nini? Ushauri wa bure, tafuta kazi ndugu yangu. Acha kusafiria nyota ya Zitto, huyo sio level yako.
Mkuu ni kama huyo dogo kwenye avatar yako anavowapa dole la kati.......hawa wanatusahaulisha kuhoji juu ya mabalaza ya katiba, kujadili bajeti, kushuka kwa elimu......na CDM naona wamekwamishwa rasmi katika uzinduzi wa kanda