Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Kumbe na wewe ni wa Tabora? Inafurahisha kama ni kweli.
Usiamini kila unachokiona ndugu.
Hilo lilikuwa swali. Unaona hapo kuna kuamini? Hii alama ? Maana yake ni SWALI. Anyway, isahau habazi nzima kiaina.
 
Kuna haja ya kukichunguza tena kifo cha CHACHA WANGWE.
 
Kuna haja ya kukichunguza tena kifo cha CHACHA WANGWE.
hiyo ni lazima, na watasemana tu,si unajua kipigo cha polisi wa bongo. Jamaa wanapiga huku umewekwa kwenye life support ili usife.
 
Sikujua kama Super double agent kumbe nao wakibanwa huwa wanakimbilia kutaka sympathy huku wakitoa amri kwa wengine kuwasaidia.

Kumbe kila mmoja CHADEMA ana uwezo wa kutoa AMRI, au kazi ya mkuu wa kitengo cha ulinzi na usalama ameishapewa kwa sababu paragraph hii ina amrisha RED BRIGADE na siyo kuwaomba.

nyoka akiingiza tu kichwa ndani ya shimo pangoni huwa ni kazi ngumu kumtoa kwa kutumia mkia wake, lakini ukiweka kizinga cha moto, anafurumuka mmoja baada ya mwingine.

Kizinga cha moto cha Lwakatare kimeanza kuwatoa nyoka pangoni, mmoja baada ya mwingine.

Tutaona na kusikia mengi.

...huku wezi wa mali ya umma wakiendelea kupiga.
 
HahahahahahahahahahahhahahhahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahAhahHhHahahHahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahki
kicheko hiki kiwafikie wale wote waliopanga na kutekeleza mauaji ya ras chacha wangwe, mateso ya ulimboka, kibanda, kumwagia asidi igunga na kuuwa morogoro, siku zenu zinahesabika...tik tok tik tok
Naona unajifanya umesahau waliomuua Mwangosi. Unaona aibu video ingekuumbua umeamua kuwataja wale ambao hakuna ushahidi wa picha?
 
Halafu kesho tunaanza kujiuliza eti kwanini Tanzania ni maskini kama vile hatujui! Na mkulu nae ameshawahi kusema eti HAJUI KWANINI SISI NI MASKINI! You know what! Nchi inaposimama na kuanza kushughulikia ETI WATU KUWA NI MAGAIDI na kuacha kufanya mambo ya msingi basi imekwisha. Our attention has been diverted to trivial issues, leaving pretty important ones hanging!! Ooh God, let we your son see the TOMORROW!! If your wishes decide...
 
Kamanda Saanane usihofu wala usivunjike moyo maana chama hiki kinasimamiwa na Mungu so dhuluma zote zitajitenga na ukweli na mwisho wa siku kila kitu kitakuwa wazi hadharani. Cha msingi sana ni kumuomba Mungu kwa nguvu zote na hawa wadhalimu watapuputika kama majani ya mtini. Mungu ibariki CHADEMA na viongozi wake wanaosimamia UKWELI, Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Na Mungu ninakuomba uwaaibishe viongozi wote wanafiki na wasaliti walioko ndani ya CHADEMA kumbe wanakitumikia CCM na vyombo vyake ikiwemo Usalama wa Taifa wa ccm na Ikulu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mungu yupi huyo ambaye ameamua kuwa Chadema chama upinzani.
 
Mbona Juliana Shonza hajapost humu kwa muda sasa?

Huwa napenda sana swagga zake.

Yeye huja na kuanzisha sredi halafu huyo anasepa anawaacha mnararuana na kuparuana hapa.

Kale kamdada bana. Katata sana.

Keshapata laaziz wake huko alikokimbilia,ndo maana katulia. Halafu zile fedha za kuzungukia nchi nzima kuitukana CDM zimeshakata, wenye chama wameona wanapata hasara tu.
 
Mungu yupi huyo ambaye ameamua kuwa Chadema chama upinzani.

Huyu huyu tunayemwabudu, ambaye anatugawia pumzi bure kila uchwao, ambaye anagawa mvua na jua kwa mafisadi na watakatifu bila kubagua, aliyekupatia na wewe pumzi na ka uwezo ka kufikiri japo ka kwako naona shetani amekaingilia kidogo.
 
Saa8 unahangaika hapa jf kama kina ze makopo na wenzako chemba, jf ni 0.000000000001% ya wapiga kura either wanaokubaliana na wewe au walio neutral. Mkitaka kapigeni mikutano ya hadhara nchi nzima muwaambie wananchi wawasikilize halafu muone kama mtakubalika na mambo yenu then mtajitathmini
 
Sio vibaya Ben akajibu maswali ya nayoumiza kichwa watu hapa

Unamfahamu Ludovick?
umewahi kukutana nae?
ni mwana CHADEMA mwenzio?

Ben Saanane njoo hapa ujibu maswali haya. jitokeze tukufanyie live QnA hapa hapa,tuna mengi ya kukuuliza na kutujibu hapa hapa.no time for cheap things, Gone are the days,we need to step ahead of gutter politics. come on Ben take take the stage.
 
Last edited by a moderator:
Ndio nia ya ajuza CCM na mtawala Jakaya Kikwete na usalama wa taifa kuhamisha mada za uhai wa taifa kwa mambo ya kipuuzi unaambiwa kikwete anampa mikataba 16 ya kutupwa Raisi mpya wa china
Mfalme wa oman yeye ameuziwa visiwa na mbuga na mabode jumla ya mikataba 21
mfalme wa saudi arabia ameongezewa na kuwanunua wamasai na wanyama wote ngorongoro
Barick gold wameongezwa miaka 25 sasa wanachimba chini kwa chini na kuifika Tarime nzima bila kodi yeyote
wafaransa kawapa mafuta lake tanganyika
sisi tumekazana kuongelea propaganda za akina zitto na akina msacky

Kaka kusanya data tuje na uzi wetu tujadili hata kama sisi wawili tu, achana na hawa wakuda , mimi mwenyewe nimeshangaaeti Mchina baada tu ya kuapisha anataka kuzuru Tz,
 
Kamanda Saanane usihofu wala usivunjike moyo maana chama hiki kinasimamiwa na Mungu so dhuluma zote zitajitenga na ukweli na mwisho wa siku kila kitu kitakuwa wazi hadharani. Cha msingi sana ni kumuomba Mungu kwa nguvu zote na hawa wadhalimu watapuputika kama majani ya mtini. Mungu ibariki CHADEMA na viongozi wake wanaosimamia UKWELI, Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Na Mungu ninakuomba uwaaibishe viongozi wote wanafiki na wasaliti walioko ndani ya CHADEMA kumbe wanakitumikia CCM na vyombo vyake ikiwemo Usalama wa Taifa wa ccm na Ikulu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

huyu Mungu atasingiziwa mengi mwaka huu, enhe kipi chama cha shetani? CUF,NCCR?TLP,CCM,UDP? acha hizi mambo. we need facts hapa toka kwa BEN hatutaki longo longo...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom