Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Mkuu naona unauliza maswali lakini vijana hawakujibu.

Ni ajabu mno
nimesoma gazeti la Jamhuri wanasema Ludovick alisoma Vatican
sasa humu leo naambiwa alisoma DUCE
na kumbe alikuwa kiongozi wa CHADEMA DUCE
ili mradi hujui lipi ndo lipi...

Na ukimsoma Majjid ni kama vile huyo Ludovick alikuwa na elimu ya form four tu
akibangaiza bangaiza....
 
Sio vibaya Ben akajibu maswali ya nayoumiza kichwa watu hapa

Unamfahamu Ludovick?
umewahi kukutana nae?
ni mwana CHADEMA mwenzio?

Mkuu wangu,
umesahau swali moja muhimu sana.
Kijana Deus Mallya anayesadikika kumtenda vibaya Chacha Wangwe anamuelezea Ben Saanane kuwa ni "mtu wake wa karibu sana anayemuamini kwa kiasi kikubwa".

Hakika Ben Saanane anapaswa pia kuelezea ukaribu wake na kijana huyo ambaye matendo yake ni ya vifochovificho kama ilivyo Ben.
 
Ndugu zangu., mimi nikijana mdogo sana., na mimi sio mwanasiasa, ila lazima niseme wazi kwamba nina nia ya dhati yakuzilinda rasilimali za taifa langu Tanzania, nakutoa mchango wangu kwa taifa langu kwa kadri Mungu atakavyo niwezesha., lakini haya ninayo yaona yananitisha.,

Sasa ninatambua kwamba huko niliko na ndoto za kwenda sio nchi ya Asali na Maziwa, si salama sana., nimefika mahali nina hitajika kuamua hasa nikipi ninachotaka kufanya.,

Nimeamua nitapambana., kwa hoja, na kwa haki.,

nitavaa gwanda!.,

Ni bora Kufa nikiitafuta Tanzania iliyopo kwenye imaginations zangu., Tanzania yenye utajiri sio wa mali asili tu wala ule uliyopo ardhini., lakini unao onekana katika kila kaya ya Mtanzania., kuliko niishi nikiona Tanzania ikifa mbele yangu, ndoto za vijana wenzangu ziki mezwa na matokeo ya wanasiasa waliojaa hila.,

najua siwezi kuiokoa mimi mwenyewe., (kwani mimi ni nani bwana) lakini nitatoa mchango wangu- kwasababu unahitajika!

kwa vijana wenzangu.,
Woga ni dhambi Mbaya Mbaya sana!!., kwakua inakuua alafu unazikwa kwa Aibu., Taifa hili linatuhitaji sana sana sana!.,

kuikimbia siasa kwakuiita mchezo mchafu tu haitusaidii., mwanaume halisi hufikiria zaidi ya maisha yake yeye peke yake tu., lakini hufikiria ya kweke, ya mke wake na watoto wake, halafu huenda mbali zaidi na kufikiri juu ya jamii inayo mzunguka na hata mstakabali wa Taifa lake lote! huyo NDIYE MWANAUME halisi.,

wake up fellas,. tuki waachia hawa hawataondoka hadi watakapo ifyonza nchi yetu yote., kibaya zaidi hata ikifika hapo wata waachiwa wanawe., na sisi tuta baki vile vile hohehahe!.,
the time is now
 
Sijaelewa nini hasa Ben unakitaka!!...Kuomba Polisi wawashikilie hao watu unaowataka ni mawazo yako wewe..usiwafundishe kazi!! I like u dude!!
Ofcourse haya ni maoni yaki kikatiba..na kiukweli hujaelewa Ben anamaanisha nini, maana ulichoandika kinamaanisha umejichanganya... hakuna mahali popote Ben kasema wawashikilie... pole!
 
Ninaisikitikia sana nchi yangu. Mungu tusaidie

Binamu mi nalia kabisa juu watanzania wenzangu sijui balaa gani limewakuta, badala ya kuwa kitu kimoja tujenge TZ yetu tumebaki kuwindana kunyofoana kucha, macho na uhai??

kwa hali hii hata miaka mingene 50 bado tutakuwa hapa hapa.. nahisi wajukuu zetu watahisi kizazi cha babu yao hakikuwepo kabisa
 
Jeshi la Polisi lilitangaza kumkamata Lwakatare tena Kova akasisitiza amekamatwa kama mshukiwa sio chama lakin kesho yake Slaa akaitisha Press conference kama katibu sio Wilbroad Peter kuzungumzia tena kukana kuhusika kwa Lwakatare badala ya kumuachia mwenyewe ajieleze halaf mnalalamika kuwa inahusishwa Chadema wakati nyie ndo mmelivaa kichama, Pia kwa kuendeleza Bifu lako la kike kwa Zitto unataka ahojiwe kwa kuwa tu alishawahi kusema alitaka kuuawa,Hivi slaa kwa mara zaid ya Tano amesikika hadharan akisema yeye ni Target ya kuuawa,Mwakyembe kaongea sana vitisho dhidi yake kwa nini huoni umuhim kwao nao kuhojiwa?, kama ukihisi kupakaziwa kashfa za mauaji dhidi ya usiowapenda kwa nn huendi mahakamni kufuangua kesi dhidi ya Defarmation? Usichochee watu kutumia style ya Umkotho we Sizwe ya Kina mandela hutaleweka Even na Kina Mbowe? Siasa hizo inamaana Kuzima mziki Billicanas,Kufunga Tanzania Daima,Kufunga hotel zao kadhaa na biashara zao,soma uelewe jinsi watu walivyofilisika South Africa kwa Mapambano ujasiri ambao Mbowe na Mapepari wenzie Chadema hawawez kuuvaa hata kwa Maigizo. Msiwaache Solemba Magaidi wenu kama mlivyowaacha solemba Wajane wa Jan 5 Arusha.

huo ujinga nenda kamwambie dada yako shonza.
 
Kamanda usijali wazalendo tuko nyuma we waacha waanzishe watamalizia wao kwa aina ya karne. Muda tuu utatupa majibu.
 
Umefika wakati kwa vijana na watanzania kwa ujumla wetu kuungana kwa pamoja kujikomboa. Tumedhurumiwa

imetosha, tumeonewa vyakutosha, tunaibiwa vyakutosha, tunabambikiwa kesi na polisi vyakosha, tunanyimwa haki zetu

za msingi elimu, afya na matibabu bora, mawasiliano na tunatozwa kodi nyingi kufaidisha matumbo ya akina Pinda,

kikwete, mwema nk na watoto wao ndiyo sababu Ridhiwani ametoka shule juzi sasa hivi ni Tarijiri kupindukia anafanya

biashara gani kama sio kodi zetu???Tanzania sio mali ya ccm wala ya akina Riziwan, hussen mwinyi, akina kawawa bali ni

mali ya watanzania. waziguwa, wanyamwezi, wazaramo waukuma na wengineo wote na siyo wanasiasa na familiazao

pekee kufaidi kodi na rasslimali zetu.Tunahitaji kupambana dhidi ya mfumo wa mafisadi, matapeli na wauwaji ambao ni ccm.


Tumeshuhudia wabunge wa ccm wakituabisha bungeni, wanapiga makofi kwa hoja mufilisi, wanalala bungeni na wanakwamisha hoja mahususi kwa manufaa na maendeleo ya watanzania wote, kwao ccm kubaki madaraki ni bora hatakama watanzania watakufa wote lakini wao na familia zao wabaki madarakani iwe kwa hoja za Kidi, ukabila au ukanda.

-Elimu iko taabani, ccm wanamzomea Mbatia bungeni kwa Ujinga wakizani wanamkomowa kumbe wanaliangamiza taifa.

-Afya iko mahututi, madakitari wanataka majadiliano na serikali, Kikwete na Pinda wakaingiza UCCM na kwa uzembe wa hali ya juu wagonjwa mamia kadhaa walipoteza uhai, hili sio la kufumbia macho lazima siku moja tuwafikishe mbele ya mahakama walitumia vipi madaraka tuliyowapa kuwalinda na kuwaendeleza watanzania, ccm ni wauwaji wakubwa lazima tujuwe kwanini wanatuangamiza kupitia mbinu mbalimbli, Udini, Ukabila, Ukanda na sasa gia mpya ya ugaidi imeingizwa.

-Mwigulu nchemba na usanii wa mkanda wa mauwaji, kama polisi na serikali ya ccm wanaijuwa haki na kuitenda vipi huyu mwigulu mpaka leo hajahojiwa? na huyu amekuwa mropokaji na msema ovyo wakati wote hata bungeni vipi hawajibishwi?

-Tumeshuhudia polisi wasiopungua 7 wakifanya mauwaji ya Daud mwangosi Iringa chini ya usimamizi wa mkuu wapolisi Iringa Kamuhanda, cha ajabu anashitakiwa aliyetumwa kwanini? kwanini kamanda aliyeamuru na kuchochea vurugu zile bado yupo madarakani? Jamii ya watanzania inafaa itafakali ccm wanafanya mauwaji haya wakilitumia jeshi la polisi kwa faida ya nani? Madaraka ya kiukoo baba raisi, mama sijuwi wama, Riziwani sijuwi ccm nini, shemeji said mwema mkuu wa jeshi la polisi, mwantumu mahiza sijuwi mjoba wa kikwete, zakia meghji mama mkwe wa kikwete tunaelekea wapi nk nk???

-Tumeshuhudia kwa utaratibu ule ule wa kuwakandamiza wanyonge kupitia jeshi la polisi, Mkuu wa jeshi la polisi Arusha Andengenye akipokea amri ya Said mwema na kupelekea mauwaji ya watu watatu kwa mtutu wa bunduki- Polisi wa tanzania wanataka kutuambia wao wanaruhusiwa Kuuwa? kama hapana, waliosababisha mauwaji yale wapo wapi na kwanini? Tunaenda wapi? enzi za JK nyerere na mzee mwinyi upuuzi wa namna hii haukuwepo.

-Tumeshuhudia katika hali isiyo ya kawaida kwa utaratibu uleule jeshi la polisi kutumika, Ali zona kauwawa kwa risasi morogoro na kwa sababu za kipuuzi kabisa lakini yule mkuu wapolisi morogoro aliyeamuru mauwaji yale bwana shilogile anaendelea na kazi yake hajahojiwa wala kuchukuliwa hatua yoyote.

-Tumeshudia viongozi wa vyama vya upinzani kupigwa na kudhalilishwa kwa nyakti tofauti na kufunguliwa kesi za kubambikiziwa

*Prof lipumba alisha pigwa vibaya huko nyuma, wabunge na viongozi wa Cuf tabora walishapigwa huko nyuma

*Lema, mbowe, na viongozi kadhaa wa chdema wameshakiona chamtemakuni na wengi wao wanakesi nyingi mahakamani

-Tumeshuhudia viongzi wa ccm wakipanda majukwaani na bastora, wakifanya kampeni za uchaguzi kutumia ushawishi wa vyeo vyao nk wengine kushikwa na wake za watu(mwigulu) Kukutwa na bunduki ya Kivita SMG (Malima) hawa hawaguswi na jeshi la polisi kwasababu wao ni ccm na wapo juu ya sheria.

-Tumeshuhudia meri ya mkuu wa chama ccm Kinana Ikitorosha raslimali za watanzania (meno ya tembo) huyu haguswi kwasababu yeye ni ccm huu ni ujinga wa madaraka na kushindwa kusimamia sheria. Lazima tupambane na uzulumati huu

-Tumeshuhudia gazeti la mwanahalisi kufungiwa kwa sababu tu limetoa maelezoa ya awali ambayo yangesaidia katika upelelezi ilikufanikisha kumkamata mtesi wa Dr Ulimboka. Ramadhani Ighondu wa idala ya usalama wa taifa inaeleweka wazi ndiyo Mtesaji wa dr Umboka hajakamatwa na ni wazi serikali ilimtuma ndio sababu haiko tayari kumkamata.


Kifupi taifa linaangamia na linateketea, ujinga wa baadhi yetu kushabikia upuuzi unaofanywa na watawala siku moja tutashuhudia tanzania inageuka uwanja wa vita. Hakuna atakayesalimika kwa vyovyote vile maduka, viwanda, malori na vitegauchumi vya akina Kikwete, Pinda, Riziwani, akina malima, Lukuvi, na nyinyi mnaoshabia ujinga huu vitateketezwa kwa moto. Anayedhani kwamba haiwezekani atazame misri, Libya, Syria, Tunisia, Ivory cost mali nk. Wakati umefika wa kuidai tanzania yetu kutoka makucha ya mkoloni mweusi CCM. Tunahitaji kurejesha heshima na utu wa mtanzania ambao umetoweka kabisa.

Naungana na wapigania haki wote.
 
Nyoka wa watu kaingia kwenye shimo wewe anakubughudhi nini? Kwa nini umuwekee kizinga cha moto, si upite zako tu na uendelee na safari yako? Dhambi nyingine za kujitakia tu!

Kuna uwezekano Lwakatare hakujua kama nyoka ni wengi, yeye labda alifikiri nyoka ni mmoja.

Nina wasi wasi na mwenye nyumba kama atakuwa na uwezo wa kuwa contain hawa nyoka walioanza kufurumuka mmoja baada ya mwingine.

Kama nyumba niya makuti, basi inabidi tu achukue uamuzi either wa kuichoma moto at kuikimbia. IS GETTING SERIOUS.
 
Kwa hili wala halihitaji propaganda kwani ngoma ya wachawi imeshapigwa kila mchawi atacheza mwenyewe.

Kaka haya maneno yako ni mafupi lakini yamefupisha kila kitu. Kinachoonekana hapa ni kuwa wale wote ambao kwa namna moja ma nyingine wanahusika na hili kasumba hawana amani.

Na wote watajitokeza na thread zao. Huyu si jui ni wa ngapi?

Lakini safari inakaribia mwisho.
 
Ben,
Wewe subiri Lwakatare na Ludovick wakutaje ukathibitishe ile sumu uliyopewa kumpa Zitto. Kwa sababu ulishakiri itarahisisha kazi ya hakimu...



We forward in this generation
Triumphantly.
Won't you help to sing
This songs of freedom
'Cause all I ever have:
Redemption songs;
Redemption songs.
Emancipate yourselves from mental
slavery;
None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look? Ooh!
Some say it's just a part of it:
We've got to fullfil the book.
Won't you help to sing
This songs of freedom-
'Cause all I ever have:
Redemption songs;
Redemption songs;
Redemption songs.
Emancipate yourselves from mental
slavery;
None but ourselves can free our mind.
Wo! Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them-a can-a stop-a the
time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look?
 
hiv ben hajakamatwa tu hawa polisi wanareta masihara kwenye mambo ya msingi



We forward in this generation
Triumphantly.........

Emancipate yourselves from mental
slavery;

None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.

How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look? Ooh!
Some say it's just a part of it:
We've got to fullfil the book.
Won't you help to sing
This songs of freedom-
'Cause all I ever have:
Redemption songs;
Redemption songs;
Redemption songs.
Emancipate yourselves from mental
slavery;
None but ourselves can free our mind.
Wo! Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them-a can-a stop-a the
time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look?
Yes, some say it's just a part of it:
We've got to fullfil the book.
Won't you have to sing
This songs of freedom? -
'Cause all I ever had:
Redemption songs -
All I ever had:
Redemption songs:
These songs of freedom,
Songs of freedom.
 
Kipindi wewe unataka wakina Zitto wahojiwe, mimi nashangaa kwa nini hadi sasa hivi upo uraiani wala haujaojiwa na polisi.
 
Sio huyo tuu anaye jua mengi hata hao aliyowata wanajua mengi tena sana, usijifanye kipofu kuwa haujaona bandiko la Mtela Mwampamba mwapamba! Pengine unagejiuliza kwa nini Ben Saanane anataka hao wahojiwe!

Mkuu mie niliishasema hapa kuwa huyu kijana anajua mengi sana.
Mie ningekuwa bado afande huyu angekuwa wa kwanza kumhoji.... I miss my uniforms!
Hii kuchanganya na majina ya watu wengine ni kupoteza ushahidi tu
Kijana anajua mengi sana huyu, Polisi wanachukua muda sana kuhoji mashahidi muhimu kama hawa
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa taarifa...
Ofcourse haya ni maoni yaki kikatiba..na kiukweli hujaelewa Ben anamaanisha nini, maana ulichoandika kinamaanisha umejichanganya... hakuna mahali popote Ben kasema wawashikilie... pole!

Ila naomba kujua ufafanuzi wa hii kauli ni upi hasa??


Kati ya watu wanaotakiwa kuhojiwa na jeshi la polisi kulingana na matamshi yao hadharani kwa sasa ni Mwigulu Nchemba, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Festo Richard Sanga, Habib Mchange, Nape Moses Nnauyeili watoe ushahidi walio nao pamoja na ndugu Zitto Kabwe aliyedai kwamba alisikia mipango ya Mauaji inayomhusu yeye kutoka kwa watu waleee… Ahojiwe aeleze alisikia kutoka kwa akina nani. Najua watu wa Usalama wa Taifa mnapita hapa, Take Note (kama hamko katika hila hizi)

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom