Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Unajua Ben unajipa jina kubwa wakati ni mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania. Unaenda kuanzisha ligi na kiongozi kama Zitto kweli unategemea nini? Ushauri wa bure, tafuta kazi ndugu yangu. Acha kusafiria nyota ya Zitto, huyo sio level yako.
Kumbe wasemayo mablogger ni kweli unadhirisha kwamba hii plot ya rafiki yake Zitto ameichonga yeye tunasubiri majebere game la zitto vis vi chadema, kama anajivunia kuwa rafiki wa kikwete na ridhiwani mpashe hili ataondoka nalo huu ndio ushahidi wenyewe ili mradi mahakama zetu sasa hivi wanapokea shahidi za kkwenye mitandao
 
kumbe wasemayo mablogger ni kweli unadhirisha kwamba hii plot ya rafiki yake zitto ameichonga yeye tunasubiri majebere game la zitto vis vi chadema, kama anajivunia kuwa rafiki wa kikwete na ridhiwani mpashe hili ataondoka nalo huu ndio ushahidi wenyewe ili mradi mahakama zetu sasa hivi wanapokea shahidi za kkwenye mitandao

haujitambui
 

Mkuu ni kama huyo dogo kwenye avatar yako anavowapa dole la kati.......hawa wanatusahaulisha kuhoji juu ya mabalaza ya katiba, kujadili bajeti, kushuka kwa elimu......na CDM naona wamekwamishwa rasmi katika uzinduzi wa kanda

Ndio nia ya ajuza CCM na mtawala Jakaya Kikwete na usalama wa taifa kuhamisha mada za uhai wa taifa kwa mambo ya kipuuzi unaambiwa kikwete anampa mikataba 16 ya kutupwa Raisi mpya wa china
Mfalme wa oman yeye ameuziwa visiwa na mbuga na mabode jumla ya mikataba 21
mfalme wa saudi arabia ameongezewa na kuwanunua wamasai na wanyama wote ngorongoro
Barick gold wameongezwa miaka 25 sasa wanachimba chini kwa chini na kuifika Tarime nzima bila kodi yeyote
wafaransa kawapa mafuta lake tanganyika
sisi tumekazana kuongelea propaganda za akina zitto na akina msacky
 
haujitambui
Nitakurudia baada ya muda nitakukumbusha Chaumma vipi iliiua chadema, kauze sera za chama chako baada ya msamaha ulikimbia jamvi sasa unarudi baada ya roho kusuuzika aibu imepungua
 
Jaman kwan hapa ni polisi..naona kama mbele giza! Ile kauli ya wasira inaelekea kutimia!
wamekosa muelekeo,badala ya kupeleka maswala polisi wanakuja kulia lia humu jf, cdm inauliwa na njaa za vijana.
 
Ndio nia ya ajuza CCM na mtawala Jakaya Kikwete na usalama wa taifa kuhamisha mada za uhai wa taifa kwa mambo ya kipuuzi unaambiwa kikwete anampa mikataba 16 ya kutupwa Raisi mpya wa china
Mfalme wa oman yeye ameuziwa visiwa na mbuga na mabode jumla ya mikataba 21
mfalme wa saudi arabia ameongezewa na kuwanunua wamasai na wanyama wote ngorongoro
Barick gold wameongezwa miaka 25 sasa wanachimba chini kwa chini na kuifika Tarime nzima bila kodi yeyote
wafaransa kawapa mafuta lake tanganyika
sisi tumekazana kuongelea propaganda za akina zitto na akina msacky
Naona na wewe unatuletea stori za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Mimi napenda mbambano wa Ben na Zitto.

Manji na Cobra.

Hapa ndiyo CCM inapowapiga bao Chadema wameishaingiza fitna ndani ya Chadema.
 
Nitakurudia baada ya muda nitakukumbusha Chaumma vipi iliiua chadema, kauze sera za chama chako baada ya msamaha ulikimbia jamvi sasa unarudi baada ya roho kusuuzika aibu imepungua

NAKWAMBIA TENA HAUJITAMBUI,lini nimekimbia jamvi? SIFAHAM CHAUMMA NA WALA SI MWANCHAMA WA CHAMA CHOCHOTE ndo maana nakwambia haujitambui kazi kisa Benni kaanzisha propaganda zake bila kujitambua zoa zoa tu.
 
Ben Saanane ni mhusika katika hili,huhitaji hata kujiuliza mara mbili, Ben anaonekana ni professional katika mambo haya,anajua anachokifanya ndo maana alijiandaa na "cover up story" kujiweka on safe side meanwhile kutafuta scape goat. Ila mbinu zake this time ni very cheap isipokua kwa wajinga wachache.

kuna maswali ya msingi hapa njoo ujibu Ben Saanane uliyo ulizwa na The Boss.

KUHUSU HII YA

'' kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.

Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone "


1. wewe binafsi ulikua Masalia ,na akaunti ya tuntemeke ni wewe pekee umekiri mmeitumia pamoja kama masalia. kwa kua ulijiunga na masalia ki mkakati bila shaka unajua password..i bet hii qoutation hapo juu uliandika wewe mwenyewe kupitia account ya tuntemeke, 2months ago,ili iwe cover up story kwa kua ulijua tukio hili la kibanda na mkanda vinakuja,ili kukuweka wewe on safe side,na kuwaangamiza wenzio as scape goat.

2. huenda account ya tuntemeke haimilikiwi na masalia kabisa kama unavyo dai,ili wewe ndo mliki wa acccount hiyo,na unaitumia kama kete ya kisiasa kuwa chafua wenzio na ku pre empty issue kama hizi. Ben u real know what he is doing,tatizo pro cdm wengi wameshikiwa akili,hawafikiri sawa sawa.

NB; nshasema toka desemba kwamba hakuna yeyote ndani ya cdm anae mjua ben vizuri na kazi anayo fanya huko,si slaa wala zitto ambao wote kwa nyakati tofauti wamejikuta wanafanya nae kazi kama royal agent wao. period
 
Last edited by a moderator:
Ifikie Mwisho mambo haya mumwachie Mungu maana ndio pekee atatusaidia kama nchi. Unajua kabisa kuwa CCM wako juu ya sheria inakuwaje unapendekeza wakahojiwe? Subiri baada ya chadema kushika dora 2015 watahojiwa.
 
Ben Saanane ni mhusika katika hili,huhitaji hata kujiuliza mara mbili, Ben anaonekana ni professional katika mambo haya,anajua anachokifanya ndo maana alijiandaa na "cover up story" kujiweka on safe side meanwhile kutafuta scape goat. Ila mbinu zake this time ni very cheap isipokua kwa wajinga wachache.

kuna maswali ya msingi hapa njoo ujibu Ben Saanane uliyo ulizwa na The Boss.

KUHUSU HII YA

‘’ kwa bomu linalokuja naona utakata tamaa kabisa,Kwa sbabu bomu hilo linaianika chadema na michezo yao yote michafu inayofanyika kwa usiri mkubwa na kuwaaminisha watanzania kwamba ni serikali kumbe ni wao.

Yaani,nakuombea uwe hai ushuhudie mwaka huu watu wanavyoumbuka.Asante mungu kwa kufanikisha hatua zote kilichobaki ni kuweka kwa tv muone "


1. wewe binafsi ulikua Masalia ,na akaunti ya tuntemeke ni wewe pekee umekiri mmeitumia pamoja kama masalia. kwa kua ulijiunga na masalia ki mkakati bila shaka unajua password..i bet hii qoutation hapo juu uliandika wewe mwenyewe kupitia account ya tuntemeke, 2months ago,ili iwe cover up story kwa kua ulijua tukio hili la kibanda na mkanda vinakuja,ili kukuweka wewe on safe side,na kuwaangamiza wenzio as scape goat.

2. huenda account ya tuntemeke haimilikiwi na masalia kabisa kama unavyo dai,ili wewe ndo mliki wa acccount hiyo,na unaitumia kama kete ya kisiasa kuwa chafua wenzio na ku pre empty issue kama hizi. Ben u real know what he is doing,tatizo pro cdm wengi wameshikiwa akili,hawafikiri sawa sawa.

NB; nshasema toka desemba kwamba hakuna yeyote ndani ya cdm anae mjua ben vizuri na kazi anayo fanya huko,si slaa wala zitto ambao wote kwa nyakati tofauti wamejikuta wanafanya nae kazi kama royal agent wao. period
 
Last edited by a moderator:
Pasco ..
wewe Ludovick unamfahamu vipi?
Mkuu The Boss, huyu jamaa simfahamu zaidi ya kumsoma tuu kwenye mitandao, sikuwahi kumfamu kabla ila gazeti la Jamhuri toleo la leo limeweka A-Z ya huyu jamaa, na pia wameiweka connectivity yake ya huyu Mkuu Ben, ndia maana nimesema "the guilt are afraid!", na msitegemee atasema lolote kuhusu kumjua Ludo!.

Kama Ludo ni kamanda wa kweli, aliyepikwa akaiva, atavumilia yote na kukubali kufa kizungu na tai shingoni!, lakini kama ni wa kuokotezwa, "the'll soon break him down na atasema kila kitu!, na amini msiamini, akifunguka!, hamtaamini!, kuna watu humu saa hizi wanatafuta pa kutokea!, dalili za mfa maji nimeishaanza kuziona!, nyie subirieni!.

Pasco.
 
NAKWAMBIA TENA HAUJITAMBUI,lini nimekimbia jamvi? SIFAHAM CHAUMMA NA WALA SI MWANCHAMA WA CHAMA CHOCHOTE ndo maana nakwambia haujitambui kazi kisa Benni kaanzisha propaganda zake bila kujitambua zoa zoa tu.
siku zote umekana na kujitenga na chauma ulitumika kama tambala unaendelea kutumika na utatumika lakini mababzazi wa propaganda zisizopikwa zikaivishwa vizuri wameshindwa katika nchi hii xhadema ni zaidi ya unavyodhani trend ya kimasalia unaijua kama unajua saikolojia ya binadamu
 
Pasipokumungunya neno mipango yote ya kuihujumu chadema anairatibu mwigulu nchemba,ajitokeze hapa kupinga nimwage mambo hadharani
 
Ni sala za watz wanaoisubiri Tz yenye neema chini ya CDM kuwa nguvu ya umma itashinda 2015!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom