Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,609
Na lazima waumbuke mwaka huu!
Mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za UDINI, UKABILA nk. Baada ya CHADEMA kuvuka hatua ya UDINI, UKABILA sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya UGAIDI. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya CHADEMA wataumbuka siku si nyingi.
Mungu yupo upande wa wenye haki, viva CHADEMA.