utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Thanks Kamanda!Hadi wakae wao....
we unasumbuliwa na njaa na chuki ya asili ndio mana unatumika isivyo. Hiyo shule uliyoifata india haijakukomboa umebaki mtu wa hivi hivi na majungu tu.
Thanks Kamanda!Hadi wakae wao....
CCM mnakasirika sana.Tupo makini na sitoki nje ya mstariBen sa8 ni mnafiki,msaliti na muuaji
CCM mnakasirika sana.Tupo makini na sitoki nje ya mstari
Vyote hivyo ni vyangu na siachi.Let me be tenfold
CCM mnakasirika sana.Tupo makini na sitoki nje ya mstari
Vyote hivyo ni vyangu na siachi.Let me be tenfold
kabla sijakujua vizuri nlikuwa nakuheshimu sana lakini tangu ulewe pombe na kudondosha sumu pale bar nakuona ch...oo...acheni ugaidi na umafia huo mtaishia pabaya mshajulikana
kwanini ulitaka kumuua zitto kwa sumu?
we unasumbuliwa na njaa na chuki ya asili ndio mana unatumika isivyo. Hiyo shule uliyoifata india haijakukomboa umebaki mtu wa hivi hivi na majungu tu.
Siasa ndiyo kazi niliyosomea pia,niliambiwa nenda kalisaidie taifa lako.Nimechagua njia hii
Kufanya kazi kwingine nikiwa nahitajika huku ni ubinafsi wa hali ya juu ni dhambi.Kazi hii multiplier effect yake(kwa wale wajuzi wa nadharia za uchumi) ni kubwa kuliko ku-parsue narrow Interest.Nikijiondoa kwenye hatari hii,nitawaacha wengi hatarini.ni dhambi![/QUOT
Beni usishangae wengine kubisha,kukebehi,kupuuza ni haki yao si rahisi sana haya kuingia kwenye mioyo ya watu,na wala si rahisi kuaminika hasa kwa watu wanao abudu binadamu wenzao kama miungu watu,kwamba hawakosei na wala hawawezi kuwa tofauti na matamshi ya midomo yao wala haiba zao
nachokushauri simamia ukweli kama ni ukweli,pigania ukweli na hubiri kweli kwa maslahi ya chama na taifa pia.
Mohamedi MtoiKazi na dawa! Baada ya kuhemka kwa kusoma mjadala mrefu si vibaya ukaupia jicho hapa na kumeza funda la maji.
Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya Lwakatare - YouTube
kwanini ulitaka kumuua zitto kwa sumu?
Kazi na dawa! Baada ya kuhemka kwa kusoma mjadala mrefu si vibaya ukaupia jicho hapa na kumeza funda la maji.
Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya Lwakatare - YouTube
Ben saa9 mbona hili hapa hujibu au ni makengeza ukifika hii post huioni
Zitto hamjui Ben Saanane;
Wassira alikana watoto wake.....!