Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Ameshasema haogopi lolote wewe mtumwa na kibaraka wa mafisadi inakuuma nini?
Utayakumbuka maneno yangu, mimi namuona mnafiki lakini hakuna binadamu anastahili kumwagiwa hiyo kitu. Kitu hiyo iko njiani.
 
Uko obsessed na mimi sana kwa kuwa wewe ni mhanga wa 'Timua MASALIA'

Hivi huchoki kuandika neno Masalia?. Kina mtu akikueleza ukweli unakimbilia kumuita MASALIA ili uwaaminishe hao viongozi wanaokutegemea kama super double agent, na wao wayapuuze yale unayoambiwa kwa vile yanatoka kwa masalia.

kwa kucheza na psychology, ama kweli siyo ajabu unawaokota sana hao waliokuamini kama Super double agent.

Kila asiyependezwa na maneno na matendo yako kwako ni MASALIA, Hivi masalia wako wangapi?.
 
Ungekua great thinker ungeongozwa kwa busara za nyama za Monduli?hivi si kuna siku ulileta thread hapa ukitaka chadema iwaache masalia?Mnafiki wewe.njaa itakuua kwa umri huu ulio nao kama yule kubwa jinga mwenzio Le Mutuz
Mkuu Jack Kombe, la u MC wa kitchen limeishia wapi mara sasa unarukia la masalia?!. Hiyo thread nilitaka Chadema iwaache masalia ua iwatendee haki?!. Kuhusu kufa njaa, kiukweli mimi Pasco wa jf, ni mtu mwenye njaa sana kwa maana tangu 2002 ndio ajira yangu ya mwisho, nimetafuta kazi wee, mpaka hivi leo sijabahatika kuajiriwa popote ndio maana naendelea kuganga njaa huku nikishinda jf, 24/7, kila nikiposti nalipwa!.

Nakuomba ukiamua kutukana, malizana na mimi, please usiwaingize wengine!, leave alone Le Mutuz, ni mtu poa sana kwa tunaomfahamu!.

Sasa turudi kwenye ile kitchen party yetu, aliyekuambia Pasco wa jf aliyokuwa MC wa hiyo kitchen party ni nani kati ya hawa?, najua hawezi kuwa ni mama yako, jee ni mkeo, mpenzi wako, bibi yako, rafiki yako wa kike, au dada yako?!, au ulihudhuria mwenyewe ukaniona?!, nauliza tuu maana lazima ilikuwa very interesting MCP ndani ya kitchen party?!.
Pasco.
 
Hivi wewe kibaraka wa CCM mambo ya cdm yanakuhusu nini.Unataka ben aje ajibu utumbo wa watu bogus kama wewe.Amewashika pabaya mapovu yanawatoka tu.kilaza ulisoma post ya ben vizuri?pimbi kweli wewe
Wala sikujibu kwenye hii ID yako feki. Nakufata kwenye hiyo uliyoanzisha nayo hii thread
 
Maganga Mkweli,

Hakuna mgogoro wowote.Ukweli tu ndiyo unaotakiwa kusimama

Sioni mahali alipoingia Dr.Slaa zaidi ya wale wanaojua wanachokitafuta kuingiza jina lake na viongozi wengine humu

Hapa kuna suala la jinai,haina itikadi.

Kuna huu utamaduni kwenye jinai hapa nchini,When thieves or robbers are caught, they are paraded on tv even before going to court to know whether they are guilty or not.Tutengeneze sasa taifa lenye usawa before the Law.

Wengine wakinituhumu na kutaka mimi nihojiwe tena kwa mambo ya uongo ya kutunga kabisa wakisahau 'reckless utterance' zao humu
We mburu kweli, tena ihorimaa.. Huoni kwamba we ndio unatakiwa kuhojiwa kwa ule unga mwekundu ulipewa na Mwigulu umuwekee Zito? Alafu baadae we na masalia wenzio mkapanga hapa mje kusema alikupa dr Slaa? Umbe ya mnadeni...
 
Ben,

Najua hata nikisema kitu hutaniamini kwa kuwa nimekua nikikushambulia sana huku tangu uchaguzi wa BAVICHA.Tafadhali naomba angalie pm yako unijibu please.Kwa kweli haya maneno uliyoandika hapa juu yamenigusa sana.Najua pamoja na mapungufu kidogo ya kuwa too radical,extrimist lakini ni bora kuwa na vijana tough kama wewe.Nilikushauri humu siku moja tukiwa na Matola, Mkandara, MWANAKIjiji, @TSN Sikonge na wengineo juu ya umuhimu wa wewe na Zitto kukaa na wazee wenu vizuri.Na tulitahadharisha kwamba wewe na zitto msingeweza kuja kuiva chungu kimoja kwa sababu ninakufahamu sana ben Tangu tukiwa chuo kikuu na zitto ninamfahamu .Mna hulka zinazofanana kwa kiasi fulani ila sina uhakika kama anaweza kuwa too radical .Kuna mahali umenigusa sana ukisema misukosuko nchi za mbali ukiwa kijana mdogo.Hii ni harufu ya kujitoa mhanga inanukia.Please Ben,jaribu kupunguza kuwa hardliner sana.

Hata hivyo naona future yako kisiasa iko bright sana na unajua kucheza siasa vizuri.Ila hulka yako ya visasi naona inabidi uifanyie kazi maana hilo ndilo linalosumbua taifa kwa sasa kwani tunaambiwa mkuu wa kaya Jk ni aina hiyo hiyo ya watu wanaonekana wapole lakini mna visasi na hardliners balaa
JIBRIL,

Nimeisoma message yako inbox.Nimeielewa vyema.Shukrani sana sana.Nimekujibu

Ushauri wenu niliupokea na niliufanyia kazi MWANAKIjiji, Mkandara, Suzie Josephine03, Marytina, zumbemkuu, Crashwise, Nguruvi3, Ritz(msinihukumu/msimhukumu), Waberoya, Kichuguu na wanaJF wengi wamenishauri mabo kadhaa na kila ushauri nimeufanyia kazi kulingana na nilivyouona .hata wale walionipa ushauri ambao sikukubaliana nao niliupokea lakini nilijifunza.Kweli walinijenga na wanaendelea kunijenga kupitia ushauri na construtive critiscism

Kuhusu hili la visasi sijui ni kwa nini unaandika hivyo?Hilo la Jk silijui ila nakuhakikishia tusipokua na misimamo ni hatari sana huko tuendako hasa pale ambapo siasa zetu zimeingiliwa na watu wabinafsi na waongo waongo

Hilo la Extrimism mmekua mkilirudia rudia sana.
JIBRIL,The fact that living is good for only the living, sometimes living could be equally as good as been dead.There is this saying that if you think about yourself before your children, you are not fit to be a parent. As a parent, you should be prepare to die in other for your kids to live.

The struggle of emancipation is never cheap but a precarious people can make difference in their generation. I know you do have your opinion on issues but sentiments and bilateral thinking in this capacity would not benefit the great nation of Tanzania.

I do not mean senseless death but a martyr. If you think that Wales, Republic of Ireland, Scotland got there freedom from England by becoming complacent in this manner, well they did not. South Africa did not get their freedom from been complacent.They had left with one choice 'umkhontho we sizwe.'

Lolote liwalo na liwe,i will never bow before traitors or puppets!

Sicho walichofanya akina steve biko otherwise South Africa isingekua ilipo leo hii na ANC.I urge other young politicians to follow the suit
 
Utayakumbuka maneno yangu, mimi namuona mnafiki lakini hakuna binadamu anastahili kumwagiwa hiyo kitu. Kitu hiyo iko njiani.
Coward....
Hivi huchoki kuandika neno Masalia?. Kina mtu akikueleza ukweli unakimbilia kumuita MASALIA ili uwaaminishe hao viongozi wanaokutegemea kama super double agent, na wao wayapuuze yale unayoambiwa kwa vile yanatoka kwa masalia.

kwa kucheza na psychology, ama kweli siyo ajabu unawaokota sana hao waliokuamini kama Super double agent.

Kila asiyependezwa na maneno na matendo yako kwako ni MASALIA, Hivi masalia wako wangapi?.
Frustrated.....
We mburu kweli, tena ihorimaa.. Huoni kwamba we ndio unatakiwa kuhojiwa kwa ule unga mwekundu ulipewa na Mwigulu umuwekee Zito? Alafu baadae we na masalia wenzio mkapanga hapa mje kusema alikupa dr Slaa? Umbe ya mnadeni...

Attention seeker! Ignored....

I'm out for now!
 
JIBRIL,

Nimeisoma message yako inbox.Nimeielewa vyema.Shukrani sana sana.Nimekujibu

Ushauri wenu niliupokea na niliufanyia kazi MWANAKIjiji, Mkandara, Suzie Josephine03, Marytina, zumbemkuu, Crashwise, Nguruvi3, Ritz(msinihukumu/msimhukumu), Waberoya, Kichuguu na wanaJF wengi wamenishauri mabo kadhaa na kila ushauri nimeufanyia kazi kulingana na nilivyouona .hata wale walionipa ushauri ambao sikukubaliana nao niliupokea lakini nilijifunza.Kweli walinijenga na wanaendelea kunijenga kupitia ushauri na construtive critiscism

Kuhusu hili la visasi sijui ni kwa nini unaandika hivyo?Hilo la Jk silijui ila nakuhakikishia tusipokua na misimamo ni hatari sana huko tuendako hasa pale ambapo siasa zetu zimeingiliwa na watu wabinafsi na waongo waongo

Hilo la Extrimism mmekua mkilirudia rudia sana.
JIBRIL,The fact that living is good for only the living, sometimes living could be equally as good as been dead.There is this saying that if you think about yourself before your children, you are not fit to be a parent. As a parent, you should be prepare to die in other for your kids to live.

The struggle of emancipation is never cheap but a precarious people can make difference in their generation. I know you do have your opinion on issues but sentiments and bilateral thinking in this capacity would not benefit the great nation of Tanzania.

I do not mean senseless death but a martyr. If you think that Wales, Republic of Ireland, Scotland got there freedom from England by becoming complacent in this manner, well they did not. South Africa did not get their freedom from been complacent.They had left with one choice 'umkhontho we sizwe.'

Lolote liwalo na liwe,i will never bow before traitors or puppets!

Sicho walichofanya akina steve biko otherwise South Africa isingekua ilipo leo hii na ANC.I urge other young politicians to follow the suit
Msimamo wako tunaujua kuwa ni kuhakikisha unamchonganisha Zitto na wanachadema, as long as uko kwenye payroll ya Lumumba...
 
Mi mwanachama hai kabisa wa CDM tunatumia nguvu kubwa sana kushawishi watu kujiunga na chama lakini vita hii ya bro Ben na Naibu katibu mkuu wangu wa chama ZZK haitamnufaisha yeyote zaid ya kuharibu chama,Bro Ben najua wewe ni moja ya watu tuliokua tunachukizwa sana na jinsi SHONZA NA MWAMPAMBA,walivyokuwa wanamtusi Dr Slaa hadhrani wameshafukuzwa sasa,,,ebu tujenge chama tukutofautishe NAO plz plz Ben be back,,lengo ni kuiondoa CCM madarakani we ni mchaga mwenzangu tutumie busara za nyumbani kwetu kulitatua hili,,nakuomba sna Ben achana na hii mambo kaka siyo zuri kabisaaaaaaa.
 
bora ungeongea kiluga labda angekuelewa, ameshaambiwa maneno mengi ya busara lakini wapi! kilakukicha anakuja na ushuzi mwengine,zimeshapoteza ladha sotory hizo, lakini yeye bado anafanya la maana,wenyekuona mbali wameshaona hasara itokanayo na umbeya wake.
 
Mkuu Saanane,
Hii sasa mnaenda mbali sana. Kijana si una elimu yako nzuri tu?
Tafuta kazi maana siasa za namna hii ni hatari mno hata kwako mwenyewe.

Ni ushauri?

Hao wawili upande wa kulia kwa Zitto ni nani?

Afadhali umweleze wewe, maana kwanza anajichoresha, pili anajiweka kwenye nafasi ya kuwa aonekane mzuri na anasingiziwa, wakati kinajulikana kuwa ni msaliti wa chama, kaomba msamaha na bado ana bifu na akina zito ambaye katu hamuwezi kwa lolote , iwe elimu, akili misimamo mpaka fedha na siasa!!!

Ben kosa lake ni kuwa hana upande, inawezekana kabisa tuhuma za sumu ya kumuua zito imepikwa , na kama haijapikwa basi alipewa ashike sumu akiwa amelewa......au hakuna kabisa swala la sumu...lakini je kwa nini wazushiwe, au mzushi ndie poison killer??

hili linamweka Ben katika picha ya kutoaminika, kutumika, msaliti na kutokuwa na msimamo....asa far as i know hakuna chama kisicho na makundi, isipokuwa makundi yasiue chama!!!

Ben is high time you should at least kaa kimya...........

nyota yako ya jaa iliyokuwa nzuri imezibwa na wingu, wachache watakuwa upande wako, wengi watakuwa kinyume na wewe...that meas umeanguka sehemu fulani...kaa chini na kaa kimya

pia, chagua upande strong, ww una akili, ukichagua ku side upande wa mambumbumbu akina wale utaishia kuwa mtumwa tu,

rgds
simbi
 
Kumbe kweli mbunge.hongera umerudi nccr-mageuzi

Acha unafiki wewe, yani ndo nazidi kuwafaham bendera Fuata upepo.
Mimi sio mwanasiasa na Kamwe siwezi kua mwanasiasa kumbe ndo hivi saanane anawaingiza mkenge bila kufikiria mnaanza kushadadia,Yani wewe kila unachoambiwa hata haushirikishi ubongo wako kufanya research kama kweli au lah unabeba tu acha ukilaza
 
Afadhali umweleze wewe, maana kwanza anajichoresha, pili anajiweka kwenye nafasi ya kuwa aonekane mzuri na anasingiziwa, wakati kinajulikana kuwa ni msaliti wa chama, kaomba msamaha na bado ana bifu na akina zito ambaye katu hamuwezi kwa lolote , iwe elimu, akili misimamo mpaka fedha na siasa!!!

Ben kosa lake ni kuwa hana upande, inawezekana kabisa tuhuma za sumu ya kumuua zito imepikwa , na kama haijapikwa basi alipewa ashike sumu akiwa amelewa......au hakuna kabisa swala la sumu...lakini je kwa nini wazushiwe, au mzushi ndie poison killer??

hili linamweka Ben katika picha ya kutoaminika, kutumika, msaliti na kutokuwa na msimamo....asa far as i know hakuna chama kisicho na makundi, isipokuwa makundi yasiue chama!!!

Ben is high time you should at least kaa kimya...........

nyota yako ya jaa iliyokuwa nzuri imezibwa na wingu, wachache watakuwa upande wako, wengi watakuwa kinyume na wewe...that meas umeanguka sehemu fulani...kaa chini na kaa kimya

pia, chagua upande strong, ww una akili, ukichagua ku side upande wa mambumbumbu akina wale utaishia kuwa mtumwa tu,

rgds
simbi

Another ----! Soma tena maelezo yako ulinganishe na topi iliyopo
 
JIBRIL,

Nimeisoma message yako inbox.Nimeielewa vyema.Shukrani sana sana.Nimekujibu

Ushauri wenu niliupokea na niliufanyia kazi MWANAKIjiji, Mkandara, Suzie Josephine03, Marytina, zumbemkuu, Crashwise, Nguruvi3, Ritz(msinihukumu/msimhukumu), Waberoya, Kichuguu na wanaJF wengi wamenishauri mabo kadhaa na kila ushauri nimeufanyia kazi kulingana na nilivyouona .hata wale walionipa ushauri ambao sikukubaliana nao niliupokea lakini nilijifunza.Kweli walinijenga na wanaendelea kunijenga kupitia ushauri na construtive critiscism

Kuhusu hili la visasi sijui ni kwa nini unaandika hivyo?Hilo la Jk silijui ila nakuhakikishia tusipokua na misimamo ni hatari sana huko tuendako hasa pale ambapo siasa zetu zimeingiliwa na watu wabinafsi na waongo waongo

Hilo la Extrimism mmekua mkilirudia rudia sana.
JIBRIL,The fact that living is good for only the living, sometimes living could be equally as good as been dead.There is this saying that if you think about yourself before your children, you are not fit to be a parent. As a parent, you should be prepare to die in other for your kids to live.

The struggle of emancipation is never cheap but a precarious people can make difference in their generation. I know you do have your opinion on issues but sentiments and bilateral thinking in this capacity would not benefit the great nation of Tanzania.

I do not mean senseless death but a martyr. If you think that Wales, Republic of Ireland, Scotland got there freedom from England by becoming complacent in this manner, well they did not. South Africa did not get their freedom from been complacent.They had left with one choice 'umkhontho we sizwe.'

Lolote liwalo na liwe,i will never bow before traitors or puppets!

Sicho walichofanya akina steve biko otherwise South Africa isingekua ilipo leo hii na ANC.I urge other young politicians to follow the suit
pamoja sana kamanda, hatuogopi hata panya kutosalia, wakimbize hadi watoke vigimbi.
wao wanatumia viungo vya albino sisi tunatumia NENO LA MUNGU.
 
Thanks Kamanda!Hadi wakae wao....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom