Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,075
Mkuu Pasco naomba kutofautiana na wewe. Wengine kila siku tunapigia kelele tabia za mama Salma kupokelewa kama kiongozi wa kiserikali mikoani na kupokea taarifa za serikali. Hii imetokana na udhaifu wa Adam.
On the other side, Josephine ni mwanachama wa CDM sawa na mimi na wanachama wengine. But, by virtue of being the Eve of our party secretary, hakutakiwa kabisa kujibishana humu mitandaoni kama wanachama wa kawaida walivyo huru. This woman could even be worse than Salma. Tunapoona kuwa kakosea, heshima yetu kwa mumewe isitufunge midomo. Otherwise tutakuwa tumeshindwa kumsaidia huyo tunayemheshimu.
Mkuu ni hakika unachokinena. Maneno ya Hawa ni maneno ya Adam. Hawa atulie ampe nafasi Adam kufanya kazi. Huyu Mama ikitokea akawa First Lady basi tutawakumbuka mafisrt ladies wote including Mama Salma.
CC: Ritz
Last edited by a moderator: