Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
...so you mean Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe,anahusika? ebu jifunze kuwa na busara wewe mwanamke, maana usijemgombanisha Dr Slaa na kiongozi mwenzake, shame on you...

Mkuu hata mimi nimeshangaa. Josephine ni ubavu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA sasa anaposema hivyo anmu implicate hata Katibu Mkuu Mwenyewe; yaani Katibu Mkuu anasema Naibu Katibu Mkuu wake ni msaliti?

Hivi Zitto ana nini? Kama mnamsema ni Msaliti kwa nini msimchukulie hatua mmebaki mnalalama tu, kuchukua hatua hakuna? Ni uoga ama au nini? Kama mnalalama bila kuchukua hatua basi hayo ni Majungu kama majungu mengine tu ila kwa bahati mbaya majungu hayo yanapigwa na watu ambao hawakutegemewa kuyapiga!
 
mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za udini, ukabila nk. Baada ya chadema kuvuka hatua ya udini, ukabila sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya ugaidi. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya chadema wataumbuka siku si nyingi.

Mungu yupo upande wa wenye haki, viva chadema.

viva chadema viva...................
 
Majungu yameziiiiidiiiii! Siasa za kipuuzi na ushabiki wa kijinga!
 
Mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za UDINI, UKABILA nk. Baada ya CHADEMA kuvuka hatua ya UDINI, UKABILA sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya UGAIDI. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya CHADEMA wataumbuka siku si nyingi.

Mungu yupo upande wa wenye haki, viva CHADEMA.

Na ya ugaidi itapita pia. Simamieni kile mnachoamini kiko sahihi, mtabaki salama
 
Mkuu Mingoi, kama unamheshimu Adamu, lazima umuheshimu Eva, hata kama atakuvunjia vipi heshima, kwa ajili ya Adam, utaendelea kumheshimu tuu na ndicho ninachofanya, heshima mbele!.
Pasco.

Mkuu Pasco naomba kutofautiana na wewe. Wengine kila siku tunapigia kelele tabia za mama Salma kupokelewa kama kiongozi wa kiserikali mikoani na kupokea taarifa za serikali. Hii imetokana na udhaifu wa Adam.

On the other side, Josephine ni mwanachama wa CDM sawa na mimi na wanachama wengine. But, by virtue of being the Eve of our party secretary, hakutakiwa kabisa kujibishana humu mitandaoni kama wanachama wa kawaida walivyo huru. This woman could even be worse than Salma. Tunapoona kuwa kakosea, heshima yetu kwa mumewe isitufunge midomo. Otherwise tutakuwa tumeshindwa kumsaidia huyo tunayemheshimu.
 
Siasa, hasa katika nchi za kiafrika ambazo udikteta na tamaa za madaraka zimewajenga viongozi na vyama kama CCM, ni mapambano. Wala usitegemee mteremko, hivyo kama watanzania tunataka mabadiliko, tunataka kuiondoa CCM, ni lazima kujiandaa kikamilifu kukabiliana na mbinu mbalimbali za kawaida na za kutisha kutoka CCM. CCM hawawezi kuondoka kiurahisirahisi tu, wanajua wametenda uovu mwingi wakati wa utawala wao, kuondoka katika madaraka ni kuruhusu uchafu walioufanya kwa miaka mingi, kama vile EPA, KAGODA, MEREMETA, VIFO VYA AKINA KOMBE, MATESO YA AKINA ULIMBOKA, KIBANDA, n.k., hivi vyote viawekwa wazi. Hivyo watafanya kila namna kuhakikisha wanabaki madarakani.

Watu kama akina Zito wachukue tahadhari kubwa maana hapa naona yanatengenezwa mazingira ya kuua ili Zito au mtu mwingine akiuawa ionekane kauawa na viongozi wenzie ndani ya CHADEMA. CHADEMA ichukue tahadhari kubwa, na iongeze intelijensia yake, na wasisubiri mpaka mikasa itokee ndiyo watamke waliyokuwa wakiyajua. Wakifahamu mipango mibaya dhidi ya CHADEMA, viongozi wao, wanachama wao, wanahabari, watanzania wa kawaida, waseme mapema hata kama matukio yenyewe yatakuwa bado.

Mkuu Saanane,
Hii sasa mnaenda mbali sana. Kijana si una elimu yako nzuri tu?
Tafuta kazi maana siasa za namna hii ni hatari mno hata kwako mwenyewe.

Ni ushauri?

Hao wawili upande wa kulia kwa Zitto ni nani?
 
Threads mpya za kila siku kutoka kwa ben juu ya ishu ya Lwakatare?? Niwekee link moja tu nje ya hii tuliyopo mkuu nijiridhishe. Nina hofu ya kukuita mzushi katika hili.

Mkuu usihofu mwite tu "ni mzushi mkubwa"
 
Mkuu Josephine, kama hata wewe unaamini natetea kula yangu!, then...
Kwa heshima yako, nareserve my comments.
Thanks.
Pasco.

Una heshima gani mnafiki wewe.Endelea kuwa MC wa kitchen Party

Huijui siasa wewe.Achana na CHADEMA endelea kumlamba miguu Lowassa

Mwanume mzima kuwa MC kwenye kitchen party kwa umri huo huoni tatatizo kulingana na mila za kiafrika?
 
Kuchukiwa au kupendwa na wewe kuna hasara au faida gani kama maelezo uliyotoa hapa juu ndiyo busara na weledi wenyewe?
naliona waziwazi anguko lako... labda mungu kakunyima busara za kuona hatari iliyo mbele yako.. na kwa sababu wewe ni JICHO LA KUFA..... Hakuna cha kukuokoa.
maisha yako kisiasa yamegeuka mafupi mithili ya maisha ya funza na huna akili sawia za kuona hilo.. kwa heri dogo, something terrible with vivid evidence is cooking beneath your feet..... you created it and you will face it. accumulate your tears though crying wont save you dogo and all of your supporters will deny you when the time come. huu ni mtazamo toka kwa mtu aneweza kuunganisha matukio
 
hivi we saanane unadhani wewe ukiondoka chadema na zitto akiondoka nani ataondoka na mamilioni?mnavyodhani kuhusu zitto sio kabisa,ni mhimili mkubwa na mjenga hoja muhimu bungeni na nje ya bunge.endelea kutuharibia chama chetu.mambo ya masalia yalishaisha bado unaendelea na upuuzi huu.
upuuzi ni kufanya kitu uku ukijua madhara na kuendelea kufanya

Huku ni kujidanganya kwa hali ya juu,kuwa siku ZZK akiondoka CDM ataondoka na mamilioni ya watu!!!
kutoka wapi? sisi watanzania hawahawa tulioumizwa na ufisadi wa ccm,halafu mtu aibuke kushindana
na harakati za kuwang'oa ccm,eti atapata watu ,THUBUTU!!!!!ataondoka peke yake'na panya wake'
 
naliona waziwazi anguko lako... labda mungu kakunyima busara za kuona hatari iliyo mbele yako.. na kwa sababu wewe ni JICHO LA KUFA..... Hakuna cha kukuokoa.
maisha yako kisiasa yamegeuka mafupi mithili ya maisha ya funza na huna akili sawia za kuona hilo.. kwa heri dogo, something terrible with vivid evidence is cooking beneath your feet..... you created it and you will face it. accumulate your tears though crying wont save you dogo and all of your supporters will deny you when the time come. huu ni mtazamo toka kwa mtu aneweza kuunganisha matukio

Muna hasira na ben kwa hali ya juu lakini nadhani ili mradi husaidii kuendesha maisha yake hata kwa dakika laana zitakurudia mwenyewe
 
Una heshima gani mnafiki wewe.Endelea kuwa MC wa kitchen Party

Huijui siasa wewe.Achana na CHADEMA endelea kumlamba miguu Lowassa

Mwanume mzima kuwa MC kwenye kitchen party kwa umri huo huoni tatatizo kulingana na mila za kiafrika?

He yamekuwa hayo Jack'!!!!!
 
Ignoring some malicious comments kutoka kwa wale wanaonufaika na mipango hii miovu dhidi ya CHADEMA,na kwa kupuuzia ushauri wa maadui wa mabadiliko pamoja na kuendelea kupuuzia zile primitive comments kwa wale wenye mawazo mgando :

Msimamo wangu uko pale pale kwamba wanaostahili kuhojiwa kulingana na title na contents za thread hii kutokana na maneno yao wenyewe Ni ndugu Mwigulu Nchemba,Zitto kabwe,Festo Sanga,Nape Nnauye(aliyetuma vijana wake hapa kutoa matusi na kujifanya watu wa CHADEMA),Mtela mwampamba,Juliana Shonza na Habibu Mchange.Pia yule waziri mwenye maadui 11 anastahili kuhojiwa


-Hapa ni jinai,na jinai haina itikadi.Kama watu walidai walikua na taarifa ya mipango ya mauaji na wengine kudai walikoswa koswa ni kwa nini wasihojiwe?Hata kama kuna kiongozi wangu ni bora ahojiwe ili mipango hiyo ijulikane ili kukata mzizi wa fitna.

Tunataka siasa za uwazi na ukweli.Ni jambo la ajabu sana kwa wanasiasa vijana ambao ni wasomi kutumia mbinu chafu za kutunga tu story kwa maslahi yao.Siasa za kizandiki ni lazima tuachane nazo kama tunataka mabadiliko ya kweli.

Kwa wale waliochangia na wanaoendelea kuchangia thread hii objectively na kwa staha,I admire the fact that you didn't let' these guys deter you... They were bent on frustrating this thread, and like some have said, doing due and thorough investigation is highly essential not to call innocent people names the thread had much more advantages... Keep it up...

Tusonge mbele,Msimamo wangu ndiyo huo huo na majina hayo hayo.hayapungui labda yaongezeke otherwise sipunguzi jina la mtu hapo even at gun point!Maelezo ya thread na reference yanatosha kuelezea ni kwa nini wahojiwe!
 
naliona waziwazi anguko lako... labda mungu kakunyima busara za kuona hatari iliyo mbele yako.. na kwa sababu wewe ni JICHO LA KUFA..... Hakuna cha kukuokoa.
maisha yako kisiasa yamegeuka mafupi mithili ya maisha ya funza na huna akili sawia za kuona hilo.. kwa heri dogo, something terrible with vivid evidence is cooking beneath your feet..... you created it and you will face it. accumulate your tears though crying wont save you dogo and all of your supporters will deny you when the time come. huu ni mtazamo toka kwa mtu aneweza kuunganisha matukio

-Usinitishe,maisha yangu kisiasa yakiwa mafupi basi nitafurahi kwa kuwa mapenzi ya mungu yatakua yametimia katika ile farewell 'nenda kalisaidie taifa lako'.Basi nitakua tayari nimelisaidia.Natafuta maisha marefu kisiasa bila mipango ya Mungu ili iweje.

-Anguko langu ni nini.walianguka manabii na wafalme tangu enzi za uyunani wa Kale na hata madola makuu yalianguka kama Roma.

-If my supporters will deny me let it be.Hata mitume na manabii walikua denied.

-For your information siyo mara yangu ya kwanza kupita katika misuko suko and always nimeibuka victorious,namtanguliza Mungu tofauti na wale wanaotanguliza 'chale'.Nimepita katika turmoil nikiwa nchi za watu tena nikiwa na umri mdogo kuliko unavyofikiri.Sikuwahi kulia kwa kiwango unachonitisha nacho hapa


-See let me tell you something,as a citizen of Tanzania i have the right to freedom of thought and the right to freedom of expression..You can't stop me from saying my mind Mr. notradamme.If you can read from the beginning of this thread,i said police should interrogate them to get their facts right.All i'm saying is that you should get enough proof to label someone or organization (such as CHADEMA) a 'terrorist' or a 'killer'..Asap.

You can never deprive me of my right,if u think my post is disturbing you,then go and channel your hatred and frustrations somewhere else.And as for those posting trash calling me or others names(as a way of intimidation),i know my right incase if you don't,so nothing any of you (CCM and your puppets) can do to me,i'm only expressing myself,posting my own thought on this with reference from their own words.
 
Ignoring some malicious comments kutoka kwa wale wanaonufaika na mipango hii miovu dhidi ya CHADEMA,na kwa kupuuzia ushauri wa maadui wa mabadiliko pamoja na kuendelea kupuuzia zile primitive comments kwa wale wenye mawazo mgando :

Msimamo wangu uko pale pale kwamba wanaostahili kuhojiwa kulingana na title na contents za thread hii kutokana na maneno yao wenyewe Ni ndugu Mwigulu Nchemba,Zitto kabwe,Festo Sanga,Nape Nnauye(aliyetuma vijana wake hapa kutoa matusi na kujifanya watu wa CHADEMA),Mtela mwampamba,Juliana Shonza na Habibu Mchange.Pia yule waziri mwenye maadui 11 anastahili kuhojiwa


-Hapa ni jinai,na jinai haina itikadi.Kama watu walidai walikua na taarifa ya mipango ya mauaji na wengine kudai walikoswa koswa ni kwa nini wasihojiwe?Hata kama kuna kiongozi wangu ni bora ahojiwe ili mipango hiyo ijulikane ili kukata mzizi wa fitna.

Tunataka siasa za uwazi na ukweli.Ni jambo la ajabu sana kwa wanasiasa vijana ambao ni wasomi kutumia mbinu chafu za kutunga tu story kwa maslahi yao.Siasa za kizandiki ni lazima tuachane nazo kama tunataka mabadiliko ya kweli.

Kwa wale waliochangia na wanaoendelea kuchangia thread hii objectively na kwa staha,I admire the fact that you didn't let' these guys deter you... They were bent on frustrating this thread, and like some have said, doing due and thorough investigation is highly essential not to call innocent people names the thread had much more advantages... Keep it up...

Tusonge mbele,Msimamo wangu ndiyo huo huo na majina hayo hayo.hayapungui labda yaongezeke otherwise sipunguzi jina la mtu hapo even at gun point!Maelezo ya thread na reference yanatosha kuelezea ni kwa nini wahojiwe!

Ukweli uko wazi sana kwenye maelezo ya Ben,nashindwa kuelewa kwa nini watu wanapotosha ukweli
na kwa maslahi ya nani?! Wanaozusha Ben amemtukana Zito wapi? Ben ameeleza ukweli juu ya tuhuma
au maneno yaliyowahi kutolewa na hawa watu,wanapaswa kuhojiwa,au tunasubiri madhara yatokee kwanza!!
 
Mkuu hata mimi nimeshangaa. Josephine ni ubavu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA sasa anaposema hivyo anmu implicate hata Katibu Mkuu Mwenyewe; yaani Katibu Mkuu anasema Naibu Katibu Mkuu wake ni msaliti?

Hivi Zitto ana nini? Kama mnamsema ni Msaliti kwa nini msimchukulie hatua mmebaki mnalalama tu, kuchukua hatua hakuna? Ni uoga ama au nini? Kama mnalalama bila kuchukua hatua basi hayo ni Majungu kama majungu mengine tu ila kwa bahati mbaya majungu hayo yanapigwa na watu ambao hawakutegemewa kuyapiga!
kwa afya ya chama cha demokrasia na maendeleo ni bora ukweli ukajulikana ... kwa style hii sidhani kama kuna neema
mie naomba viongozi wa chadema kwa nia njema mliresolve hii issue mapema ...
kwa jinsi inavyoonekana kuna ukweli ufuatao.. hii kwa kuunganisha matukio yanayojiri sasa ndani ya CDM
1. kuna kutoelewana kati ya zitto na dr slaa..
2.kuna makundi yameeshanza kujitokeza CDM( and this is not healthly kwa chama)
BINAFSI ...
1.naamini CDM ndiye mkombozi pekee ambaye anaweza ni toa kutoka hii point A (matopeni) kuelekea point B( afueni)..
2.huwa sikubaliani na ZITTO kimtazamo(misimamo yake na ile ego aliyonayo, kusimama kama jeshi la mtu mmoja na si kichama zaidi) (hii haitokani na mgogoro/sintofahamu ya sasa) ...na huu ni mtazamo wangu sababu huwa naona si afya kwa chama ...
3.nimechoshwa kabisa na CCM...
SIJUI HAYA NDIO MATUNDA YA DEMOKRASIA...
 
Swali vipi kwenye hii Picha Zitto Kabwe na Juliana Shonza wana chemistry au hawana halafu tabiri was it after the confession to be the gret members of the Masalia group ha ha undercovers bwana hawaachi kitu Naibu Katibu wa Chama anafurahia kwa raha na Kukumbatia Binti na kaka yake wanaotukana usiku na mchana viongozi wake mnafiki na unafiki haujitengi
attachment.php


Who are the other two apart from the Famous Dar es Salaam Masalia The Great
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom