Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Niwe kimya kwa mangapi,nipe sheria inayozuia kusema hasa pale napokuwa na imani naninacho kisema.

wewe ni muhusika?

Tukicheka watatumaliza lazima Chadema tulipuke kisawasawa sasa!!

Hujuma zimepitiliza lazima tupambane kuliko wakati wowote!!!
 
Hakuna anayezaliwa huku akijua atakuwa nani,look here,nitasimamia nachokiamini nasisitiza.
maneno yenu hayatazuia mpango wa Mungu kwenye maisha yangu,what do i mean,what you spoke are the results.

hapa issue nani muhusika,umenisoma umenielewa,huu si wakati wa kumungunya maneno.
lastly,time is over the bell is ringing,everything ,i mean everything shall be out.

OOh Josephine coming of age, cheers n celebrations are no longer there to common citizens When dr.slaa appears. Nenda mtaani ukafanye tathimini utalia,utaumia sana,...slaa wa 2010 is no longer the same,not revered any more. kuna sehemu mlikosea sana kuendekeza majungu,na mitandao ya kutenga watu. Tizama Josephine wewe unamchango mkubwa sana kumporomosha SLaa na kujenga chama chenye makundi...hii dhambi itakuandama mpaka kaburini usipo tubu mapema.

jioni ya leo i give u rule no.16 of power:
USE ABSENCE TO INCREASE RESPECT AND HONOR

too much circulation makes the price go down: The more you are seen and heard from,the more common you appear.If you are already established in a group,temporary withdrawal from it will make you more talked about,even more admired.You must learn when to leave.create value through scarcity

hii sheria wewe na BABU slaa hamuifahamu/mnaipuuza ila ndo imewashusha sana,babu doesnt worth the post anymore..poor u couples.

chama kina msemaji ndugu john mnyika,yupo kijana kama makene na msaidizi wenu msiempenda Zitto..ila BABU kila issue yeye kwenye camera na matamko,kujibu shutuma etc..hata issue trivial yeye yupo tu as if msemaji wa chama hayupo...sasa Babu hana mvuto tena! ni wakawaida sana,hana jipya.

Mtizame Mbowe,ni mara chache sana kuonekana kwenye kamera kujibu hoja/matamko yasiyo na mashiko,amejijengea heshima,ameepuka aibu za kujichanganya kama BABU,amekijenga chama mpaka kilipo na bado anaheshimika sana.

Gone are the days,best way is to retire mlinde heshima hata kidogo mliobaki nayo....oooh poor Josephine n Her Babu.

sasa tape hiyo youtube,kijana wenu undercover Ludo,mmemkana Mara3. tizama Ben Saanane kawauza kwa bei chee,vipande vyenu vya fedha havikumtosha,fighting with ur own shadow...its too late.
 
Hakuna anayezaliwa huku akijua atakuwa nani,look here,nitasimamia nachokiamini nasisitiza.
maneno yenu hayatazuia mpango wa Mungu kwenye maisha yangu,what do i mean,what you spoke are the results.

hapa issue nani muhusika,umenisoma umenielewa,huu si wakati wa kumungunya maneno.
lastly,time is over the bell is ringing,everything ,i mean everything shall be out.

OOh Josephine In this ages, cheers n celebrations are no longer there to common citizens When dr.slaa appears. Nenda mtaani ukafanye tathimini utalia,utaumia sana,...slaa wa 2010 is no longer the same,not revered any more. kuna sehemu mlikosea sana kuendekeza majungu,na mitandao ya kutenga watu. Tizama Josephine wewe unamchango mkubwa sana kumporomosha SLaa na kujenga chama chenye makundi...hii dhambi itakuandama mpaka kaburini usipo tubu mapema.

jioni ya leo i give u rule no.16 of power:
USE ABSENCE TO INCREASE RESPECT AND HONOR

too much circulation makes th price go down: The more you are seen and heard from,the more common you appear.If you are already established in a group,temporary withdrawal from it will make you more talked about,even more admired.You must learn when to leave.create value through scarcity

hii sheria wewe na BABU slaa hamuifahamu/mnaipuuza ila ndo imewashusha sana,babu doesnt worth the post anymore..poor u couples.

chama kina msemaji ndugu john mnyika,yupo kijana kama makene na msaidizi wenu msiempenda Zitto..ila BABU kila issue yeye kwenye camera na matamko,kujibu shutuma etc..hata issue trivial yeye yupo tu as if msemaji wa chama hayupo...sasa Babu hana mvuto tena! ni wakawaida sana,hana jipya.

Mtizame Mbowe,ni mara chache sana kuonekana kwenye kamera kujibu hoja/matamko yasiyo na mashiko,amejijengea heshima,ameepuka aibu za kujichanganya kama BABU,amekijenga chama mpaka kilipo na bado anaheshimika sana.

Gone are the days,best way is to retire mlinde heshima hata kidogo mliobaki nayo....oooh poor Josephine n His Babu.

sasa tape hiyo youtube,kijana wenu undercover Ludo,mmemkana Mara3 Ben Saanane kawauza kwa bei chee,vipande vyenu vya fedha havikumtosha,fighting with ur own shadow...its too late.
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza Maandalizi ya moyo ni ya mwanadamu,lakini jawabu la ulimi ni la Mungu.
 
Nimeipenda hii maana unazidi kudhihirisha ulivyo bingwa wa kukana maneno yako.

duh huyu Ben Saanane si ndo alikua anakuita masalia mkuu uliye enda jkt? web ana refers to mchange na kix to kafulila baba clara to nani sijui yule wa nccr mageuzi...daha jamaa anakana? anataka ushaidi? duh..mfa maji..
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza Maandalizi ya moyo ni ya mwanadamu,lakini jawabu la ulimi ni la Mungu.

duh,kumbe na Mungu wamjua? basi funga ndoa na Babu mjiepushe na zinaa,maana imenenwa...

“IKIMBIENI ZINAA. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
” (1 Wakorintho 6:18)

na kisha

"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomangamiza nafsi yake.” (Mithali 6:32)
Josephine fanya hima kuyaepuka haya mpendwa
 
Last edited by a moderator:
we ndo mteja nini?
Mkuu hata ukimtetea huyu dada tayari alishaharibu.. Yaani alichemka sana move aliyofanya..bora hata angazugia pale TLP au NCCR kabla ya kwenda CCM. Ndio maana sijawahi kushabikia mwanasiasa yoyote wa Tanzania. Maana wengi ni wachumia tumbo na wala hawana Uchungu na Taifa letu..
 
we ndo mteja nini?
Mkuu hata ukimtetea huyu dada tayari alishaharibu.. Yaani alichemka sana move aliyofanya..bora hata angezugia pale TLP au NCCR kabla ya kwenda CCM. Ndio maana sijawahi kushabikia mwanasiasa yoyote wa Tanzania. Maana wengi ni wachumia tumbo na wala hawana Uchungu na Taifa letu..
 
Huyu mchawi aliyewaloga viongozi wa CHADEMA hadi wakamwamini Ben Sanane ni mbaya sana. Huyu kijana anaua chama wao wanaendelea kumchekea madamu anamtukana Zitto. Yaani kumtukana Zitto imekuwa deal zaidi na kusahau kabisa athari za huyu kijana kwa chama. Huyu Josephine naye anaonekana ni mtu hatari kabisa asiyejua hata chembe ABC za siasa. Lakini vijana hapa wamembana amebaki kumtaja Mungu.

Nyie viongozi wetu wa CDM amkeni-huyu kijana anayeitwa Ben Sanane ni hatari, anakiua kichama kwa mikono yenu ehee. CDM ikifa mtalaaniwa. Msije sema hatukuwaambia.
 
Mchawi?Hivi ni.lini mtaachana na mambo ya kuchanjwa chale.Naona unawaza haya tu.huku.ukijua taifa liko vitani dhidi ya watu wanaonyofoa viungo vya binadamu wenzao kwa imani za kishirikina.Achana na fikra hizi primitive

Kuibomoa Chadema?Yaani wewe CCM na Masalia ndiyo mnaijenga CHADEMA?

Well,Leta ushahidi ni wapi.nimemtukana Zitto?

Leta ushahidi mahali.nilikokiuka katiba ya CHADEMA kuhusu maswala yanayohusu Jinai
 
jaman ben ni mnafiki nakushauri acha siasa za maji taka zitto si size yako kashakutakungulia sana mnaharibu chama chenu kwa kuharibu image za viongozi wenu
 
Yaani wewe CCM ndiyo unaijenga CHADEMA?

Well,Leta ushahidi ni wapi.nimemtukana Zitto?

Leta ushahidi mahali.nilikokiuka katiba ya CHADEMA kuhusu maswala yanayohusu Jinai

Wewe ni mtu hatari sana kwa CDM. Bahati nzuri viongozi hawakujui, na siku wakikujua tayari utakuwa umeshamaliza kazi yako na CDM itakuwa imeshakwenda the NCCR way. Unawezaje kubadilisha JF kuwa vikao vya CDM kama kweli wewe una nia njema na CDM? Sikushangai sana wewe kwa sababu sijui una post gani ndani ya CDM. Kinachonistabaisha ni hao viongozi wa CDM na wake zao wanavyokuamini wakati mambo unayoyaandika hapa JF ni ya kuiua CDM halafu wao wanakuchekea na kukushangilia!!
 
Uko obsessed na mimi sana kwa kuwa wewe ni mhanga wa 'Timua MASALIA'
 
Uko obsessed na mimi sana kwa kuwa wewe ni mhanga wa 'Timua MASALIA'

Ndio shida hiyo, mkishauriwa mnaanza kuzushia watu. Timua masalia ndio kitu sasa hapa? Wewe endelea na kazi yako ya kuwamaliza, najua utapata mgao wako vizuri tu, ndio siasa za bongo hizo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom