Josephine ndo ulitakiwa uwe first lady? mmh Kheri Mungu ametuepusha mengi,Mungu ni mwema,Asante mungu kwa kila kitu. Haitokaa itimie tena ndoto ya Babu kukaa magogoni!!! tizama tamaa ya pesa na madaraka ilivyo mfuta kigori huyu kuwekwa uchumba na yule padri,mwenye umri mkubwa na mzee kama babae mzazi. Oooh
Josephine naona sasa umekata tamaa,naona sasa ukweli umeanza kuujua,naona sasa ikulu haifikiki,naona sasa depression limekukaa.Mungu ulieumba kwa nyakati sita,na kupumzika siku ya saba,hakika tumefika siku hii,Waonaje ukitumpuzisha dhidi ya wanachumba hawa?