Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Huyo ndio muongozaji wa series hii, hao kina saanane njaa ndio inawaweka mbele, siku akishiba wala hutaona post za kifitna kama hizi.

Nimejiunga JF since 2007.Msimamo wangu upo clear.Naomba ufanye research.Siku zote naita spade kwa jina lake.Post niliyoandika ndiyo msimamo wangu.Nothing More,Nothing Less!
 
Kuna thread moja Mwampamba ameandika hivi: ''Safari ya RUSSIA ambapo DEUS alinieleza kuwa alienda kwa mafunzo maalum.Lakini Mnamo mwezi wa tisa (9) mwaka 2008, baada ya kutokea kwa kifo cha kutetanisha cha Mheshimiwa CHACHA WANGWE ambapo DEUS alikuwa ni Dereva na mshukiwa wa kwanza katika ajali ile''
Je mtu mwongo kama huyu unaweza kumwamini kwa lolote
 
Labda kwa vile Ben anakuja kwa verified ID je anayekuja kwa ID 100 unverified na akimsakama Ben in many forms ,utajuaje kama ndiye mwenye personal vendetta na Ben
 
katika kitabu cha robert greene "48 laws of power" sheria yake ya kwanza "never outshine the master" kama Ben Saanane hujakisoma naomba ukitafute ukisome kitakusaidia mbeleni.
Zitto is your master,ni bosi wako,and will remain so, ulijifanya kum outsmart ilikupata cheap popularity na power zaidi yake. bahati mbaya sana the 1st law ya power uliisahau..haya ndo matokeo yake. mrudi bosi wako,kamwombe msamaha.
anyways.... by the way sina uhakika kama mmeachana au ndo new strategy ya kuvuruga chama.
 
Ben,

Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.

Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.

Duh, kweli kazi ipo, hii sentensi haikupaswa kutoka kwa mtu kama wewe, sometimes ni bora kukaa kinya kuliko kutoa statements kama hizi kwa mtu wa calibre yako!
 
Kuna baa moja nilikaa jana mtu akauliza Lwakatre ni dini gani. Jamaa akawa anapiga simu confirm. Hakika naomba Mungu uweledi utamalike kwenye hili jambo.

Sina tatizo na ulichoandika na tatizo na unachowaza kuhusu Zitto
 
Hacha ukuda we deal na Josephina au na babu (kama ulivyozoea kumuita) ila mtoto mtoe kabisa kumbuka mtoto hana hatia na hakuchagua kuzaliwa na babu. Jaribu kuwa na heshima walau kwa Jr kwani wewe ni mzazi pia.

Mbona unapanick? Read between the line utaelewa maana ya. "Baby" acha kutoa povu
 
katika kitabu cha robert greene "48 laws of power" sheria yake ya kwanza "never outshine the master" kama Ben Saanane hujakisoma naomba ukitafute ukisome kitakusaidia mbeleni.
Zitto is your master,ni bosi wako,and will remain so, ulijifanya kum outsmart ilikupata cheap popularity na power zaidi yake. bahati mbaya sana the 1st law ya power uliisahau..haya ndo matokeo yake. mrudi bosi wako,kamwombe msamaha.
anyways.... by the way sina uhakika kama mmeachana au ndo new strategy ya kuvuruga chama.

Umesoma shallow.Kuna kanuni inasema conceal your intentions
 
Hivi kuna siri gani CHAUMMA chama ambacho kimekufa?Kuna baadhi yenu hapa mlijifanya wanachama waaminifu wa CCM kabisa lakini mkawa mnataka kadi za CHAUMMA na kuomba uongozi kupitia PM.Mwingine ni muandishi anayejipambanu kuwa mwanasheria humu na bingwa wa mtandao wa mgombea mmoja mtarajiwa wa CCM.Sitamtaja jina .Ha ha ha(Unafiki Mbaya)

Ben, unapita katika wakaiti mgumu sana kuwa makini na majibu yako. Ni ushauri tu kaka kwani busara utoweka ukiwa umekasirika! Take time to respond to some of the issues they are very intelligently provocative. Just an advice
 
katika kitabu cha robert greene "48 laws of power" sheria yake ya kwanza "never outshine the master" kama Ben Saanane hujakisoma naomba ukitafute ukisome kitakusaidia mbeleni.
Zitto is your master,ni bosi wako,and will remain so, ulijifanya kum outsmart ilikupata cheap popularity na power zaidi yake. bahati mbaya sana the 1st law ya power uliisahau..haya ndo matokeo yake. mrudi bosi wako,kamwombe msamaha.
anyways.... by the way sina uhakika kama mmeachana au ndo new strategy ya kuvuruga chama.

kamuobe wewe, siamini kama ben yuko tayari kumuomba msamaha kiongozi mnafiki, mzandiki, mshirikina na mtafuta sifa kama zitto.
 
Zitto hawezi kupoteza muda wake na mtu kama Ben, na ndio sababu ya kumyamazia,ameshajua kua dogo anatafuta umaarufu. Tatizo linakuja ni pale Ben anafikiri huko mtaaani ni kama humu JF, ajaribu kuropoka huko aone kama hakula makofi ya chapchap.
 
Umesoma shallow.Kuna kanuni inasema conceal your intentions

safi mjuvi wa kila kitu endelea kuzi conceal intentions zako, mpaka cdm,na Josephine wakija gundua itakua too late. hivi Ben si hua unacheka sana ukiwa pekee yako chumbani unavyo ona unamwingiza mjini mtu ambae tume ingemtangaza 2010 leo angekua Rais? how do u feel actually. that's down courageous to u,but sick upstairs to Babu na Josephine.kudos
 
Last edited by a moderator:
Duh, kweli kazi ipo, hii sentensi haikupaswa kutoka kwa mtu kama wewe, sometimes ni bora kukaa kinya kuliko kutoa statements kama hizi kwa mtu wa calibre yako!
Huyu mama sijui huwa ana matatizo gani!
 
Siasa ndiyo kazi niliyosomea pia,niliambiwa nenda kalisaidie taifa lako.Nimechagua njia hii

Kufanya kazi kwingine nikiwa nahitajika huku ni ubinafsi wa hali ya juu ni dhambi.Kazi hii multiplier effect yake(kwa wale wajuzi wa nadharia za uchumi) ni kubwa kuliko ku-parsue narrow Interest.Nikijiondoa kwenye hatari hii,nitawaacha wengi hatarini.ni dhambi!

ingekuwa Face Book ningegonga like. Dah! Akili na hekima yako ni sawa na ya vibaraka 10000 wanaokushambulia hapa JF.
Keep it!
 
Nina uhakika Zitto anapaswa kukamatwa anayo mengi kuanzia kwa Othman,Zoka,Denis Msaky,Masalia ni item ha ha nitamuonaje mahakamani atakavyotumbua macho manake anapenda kupaniki

Dua la kuku hilo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom