REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
haki ya nani, hii sasa balaa, waweza kumtuhumu naibu Katibu Mkuu wa chama chako kiasi hiki? je, una ushahidi wa kuthibitisha tuhuma dhidi yake?
wewe ukiwa mke wa Dr Slaa, hufahamu ni kiasi gani hii sentensi yaweza kukuathiri wewe, kumuathiri Dtr Slaa na kuiathiri CHADEMA kwa ujumla? hii sasa sio siasa bali ni chukii na uhasama wa muda mrefu
Unapokosa busara ya kuzungumza mbele ya hadhara ndio unataka uwe first lady wetu? kwa busara ndogo hii si utakuwa ukiropoka visivyotakiwa kuzungumzwa public? shame on you!!!!!
Akili fupi nazo zina shida!!hivi kusema ukweli ni kuropoka???? tatizo la mitanzania mmeshazoea kuongopewa na
viongozi wenu,hivyo mnataka kila mtu aongope au afiche ukweli.SHAME ON U'