Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Is this the answer?. Kweli akili mkichwa.

Unapoulizwa swali specifically halafu una generalize an answer, hii ni kuonyesha dhahili kama kuna jambo nyuma ya pazia. Mbona katika issue yako na Mh. Zitto ulikuwa specific kuelezea jinsi unavyomfahamu na jinsi anavyokufahamu. Hili la kuhusu Ludovick kumfahamu/kukutana naye limekuwa ni kizungumti.

Kwani nani kakwambia kukutana/kumjua/kumfahamu Mtanzania yeyote ni dhambi?. Majibu yako ndiyo yanapenda kutupa ujumbe kama kukutana na Ludovick ni dhambi kwa sababu haujatoa spefic answer kwa spefic question uliloulizwa. Is he a damaged goods?.

Tabia ya ukweli kila mara ni kujichomoza hata penye tonnes za uwongo. Kama kuna ukweli, it's a matter of time, ukweli utachomoza.
Yetu ni macho na masikio.

[TD="class: l pd w"][/TD]
Haki ya kusikilizwa haina ulazima wa kuchukuliwa serious kuhusu uyasemayo au unayoulizwa.Usitake nikujibu unavyotaka!
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_l cms_table_pd cms_table_w"]Why do you like jumping lines. I'd expected to you understand my last post, but then i realize i overtly over estimated your ability in doing such. Your problem with me is mocking the death?[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Your lack of points and empty drivel push you up against my convictions, which should be normal, not for you going ahead to quote me out context to justify your lust in branding me as an insensitive fellow. That was well noted!!

Natoka kidogo,Now on my way to kisutu.....!I'll be back!
 
Hapa lazima kuna kitu nyuma ya pazia, uonapo mtu anaulizwa huku akimumunya maneno...anatafakari jinsi ya ku-overcome hali/swali aliloulizwa.
Iwaje Ben usijibu specific questions ya msingi uliyoulizwa? Badala yake maswali ya viroja ndio unayajibu haraka sana.
Precisely....
 
Duh,ujasiri wa Ben wakati mwingine nimejikuta namu admire.uwa wakati mwingine najiuliza huyu bwana mdogo anajiamini nini ? Kwa mfano suara ra Ludovick na deus Mallya nimependa aliyojibu na kuwaacha watu wakihangaika humu ila kitu nimenote ni kuwa kumbe Zitto inawezekana yupo nyuma ya huu mchezo akishirikana na akina mwigulu na kundi la Masalia?Ben ameamua kuwavaa tena kwa maneno yao wenyewe.Cdm jipangeni kukabiliana na hiri na kama kuna vijana jasiri sampuli ya akina Ben basi roho yangu imeturia
 
ben Saanane
Hivi vyama ni institutions na vipo kisheria na wengi tunasimama nyuma ya vyama kwa sababu vinawakilisha misimamo kama tuliyonayo au vinatoa fikra mmbadala nje ya chama tawala. SO hizi tasisi they are there to stay until we no longer need them. Wewe unamsimamo wako kama mwanachama lakini si lazima msimamo wako ni wa chama au wa nchi. HATA KWENYE DINI KUNA WATU WANA MISIMAMO MIKALI, ITS GOOD BUT FOR SOMETIMES BUT IS NOT GOOD ALL THE TIME.
Its said ''measure of courage is to survive and not to die''. Jifunze kusamehe mwanaume mwenzako anapoamua kukubali yaishe na kuwa mpole mind u sio mpumbavu. Zitto ameamua kukaa kimya na humsikii tena akiongelea haya na alitumia ustaarabu mkubwa sanaa kwa kauli yake ya kufunga mwaka mpya hapa JF.
Kwa akina mwampamba, shozya and the like..... nashangaa hata ukijibishana nao, they have already choose they path na bahati mbaya wako CCM lakini hawalali wakifikiria CDM, they say ''u cannot hate a person u dont love".

Be strategic matamko na publicity za kwenye JF zitakupoteza.
Kuendesha chama cha upinzani ni kazi kubwa na ina challange nyingi na kwa hili CDM lazima ipitie mapito ya aina hii, na viongozi tunaowataka ni wale ambao wako tayari kuanguka wao na kubeba mzigo wa makosa yao bila kukiangusha chama. Vilevile kuna haja ya CDM kutafakari na ikiwezekana ijivue kabisa na ikae pembeni kwa viongozi wanaopatikana na sakata kama la Lwakatare. Inaweza kusaidia but it should not get itself caught in unless is political game that cdm will benefit. Lwakatare alikuwa ni mkuu wa usalama na mahali alipojiingiza inabidi aubebe msalaba huo, simhukumu na siamini kama ana makosa lakini chama kama taasisi kikae pembeni.
Ugomvi wowote kati yako na Zito au na mwanachama yeyote lazima utueleweshe una faida gani kwa chama na siasa za vyama vingi Tz kabla ya kuhamasisha yeyote ajiunge nao.

Mimi ni mtanzania na nipo tayari kuipigania Tanzania kwa sababu za msingi na zenye kutuletea mafanikio ya baadaye. Huwa sipendi kutishia au kutishiwa na mtu yeyote na by the way huwa sitishii(natenda).

Haya masifa ya humu JF hayana faida yoyote kwa ustawi wa siasa za upinzani na mwisho wa siku yatabomoa na si kujenga.
Zitto amekaa kimya huku nyuma akicheza michezo hii.ameshtukiwa na maneno yake yameletwa ila kweli matamshi ya TUNTEMEKE na akina julaiana hapo juu walikosea strateggy.Ben hakuwachelewesha

Nina uhakika zitto yupo huku kwa id nyingine au huko JKT amebanwa la sivyo ungekuta amebwatuka na kukurupuka kwake tena.ngoma inogile
 
Unajaribu sana kupindisha ukweli.Sijawahi kuitumia ID ya TUNTEMEKE.Sikua interested.nilitumia ID yangu hii na ndiyo maana hata michango yangu humu ilikua ikiniweka matatni sometimes.I'm not a coward

ID ambayo nina Pasword yake ni CHAUMMA ambayo tuliifungua mimi na Kafulila na Mawazo aliyekua katibu Mwenezi na Itikadi wa CHAUMMA pale makao makuu ya CHAUMMA.

Baada ya kuweka wazi walichokua wakipanga CHAUMMA dhidi ya CHadEMa na upinzani nilibadili ile pasword haraka.Mind you baadhi yenu hadi juzi juzi mmekua mkiwasiliana na kutuma pm mkidhani mnaendelea kuwasiliana na viongozi wa CHAUMMA

kile nilichoahidi ndicho kilichotokea.Ndugu David amerudi kuomba Msamaha NCCR-Mageuzi(Vyombo vya habari vya leo jumanne vimeripoti).Acha upotoshaji huu

Teh teh teh.nawaonea huruma chaumma kumbe cobra ulikua na pasword yao.nikiri tu mimi ni miongoni mwa waliotuma pm.sasa na wewe ni kwa nini ulienda kuwaulia watu chama chao?kafulila amerudi kwa mbatia.siasa za bongo.endeleza ujasiri huu kaka
 
The one man show.................Ben ama Kweli weeh ni James Bond wa JF
 
Duh,ujasiri wa Ben wakati mwingine nimejikuta namu admire.uwa wakati mwingine najiuliza huyu bwana mdogo anajiamini nini ? Kwa mfano suara ra Ludovick na deus Mallya nimependa aliyojibu na kuwaacha watu wakihangaika humu ila kitu nimenote ni kuwa kumbe Zitto inawezekana yupo nyuma ya huu mchezo akishirikana na akina mwigulu na kundi la Masalia?Ben ameamua kuwavaa tena kwa maneno yao wenyewe.Cdm jipangeni kukabiliana na hiri na kama kuna vijana jasiri sampuli ya akina Ben basi roho yangu imeturia

Ben sanane ni hatari wakuu.
 
Last edited by a moderator:
Competent actor!

Umeipata hiyo we mwana wa shetani?
Nimegundua dogo ben anatumia akili nyingi sana.Ataumiza watu vichwa sana mwaka huu coz naona anaibukia sehemu ambazo hawatarajii.kinachonitisha ni hii extrimism yake.Mimi naona siasa za misimamo mikali ni hatari sana.bado naona huko mbele kuna vita kali kati ya zitto na Ben hebu tusubiria mnyukano wa uchaguzi ndani ya chama pale ben atakaposema stop Zitto ngazi ya taifa na zitto atakaposema stop Ben kwenye uchaguzi wa vijana.
 
Nimegundua dogo ben anatumia akili nyingi sana.Ataumiza watu vichwa sana mwaka huu coz naona anaibukia sehemu ambazo hawatarajii.kinachonitisha ni hii extrimism yake.Mimi naona siasa za misimamo mikali ni hatari sana.bado naona huko mbele kuna vita kali kati ya zitto na Ben hebu tusubiria mnyukano wa uchaguzi ndani ya chama pale ben atakaposema stop Zitto ngazi ya taifa na zitto atakaposema stop Ben kwenye uchaguzi wa vijana.
Level ya Ben ni kina Shonza, kama ni ligi basi muweke Zitto na Slaa.
 
Ccm wepesi mno hawana hata hadhi ya kulinganishwa na makaburu washajifia hawa ccm hitma itafanyika 2015.
 
Wewe ndio MOJA kati ya vijana ambao CCM inajivunia kuwapata toka upinzani, achana na masiasa ya kuchafuana jenga cariier yako as young politician. Kiukweli naboreka na mapambano ya kuchafuana ya wanasiasa haswaaaa vijanaa... inaboaaaaa mbayaaa... upo CCM jenga CCM aliyepo CDM ajenge CDM. Mimi kama mtanzania kijan ni kuwa na Tanzania yenye mfumo mzuri wenye uwajibikaji so naturally siwezi kuwa mshabiki wa chama Tawala ila sikichukii chama tawala na sio mshabiki wa upinzani.... i need to see Tz inakuwa kama UK au USA na sio business as usual, mwenzetuu, cham kimeshika hatamuuuu..
I believe u have every chance to be a good politician for the coming generation hii mambo ya siasa chafuu tuwaachie wakina wasira na kizazi chao tujenge Tanzania ya kuwajibika na kufanya kazi kujenga nchi...
Bila kuwa na mfumo wenye check and balance Tanzania itabakia maskini hata wajukuuu zetu watakuja kutuchapa viboko kwa upumbavuu huuu... So kwangu mimi kuuu ya Tanzania nitapigana na mtu ambaye anataka kuua mfumo wenye uhuru wa kusoana na kuwa mbadala wa mawazo ya upande wa pili. We all need upinzini kwa ustawi wa nchii usjidanganye.. CCM bila upinzani imara ni jangaa la Taifa
sasa hao akina juliana ,ben etc wakinyamaza tutajua nini kinaendelea?siasa ni mchezo mchafu,kwenye siasa kama huwezi kujua namna ya kuplaydirty then unakua haufai kua mwanasiasa.
 
Kuna siku tuliambiwa haka kajama ni kajeuri sana.Tulishaletewa hapa stori zake za usumbufu akiwa chuo kikuu India.Ukikaangalia usoni ni kapole kama Osama anavyoonekana ila akianza kuongea hutaamini.Nikiri kwamba huyu dogo ana akili nyingi ila hadi muda huu amejitengenezea maadui wa kufa mtu.Naona hapo ameweka maadui zake Zitto na kundi la masalia.Nape walikua na ugomvi India na kumbukeni alipomvaa mkutano wa hadhara huko goba.nape hapa kuna siku alimuita ben msaliti na aben alipojibu makombora nape akapotea.Ila ameweza kuwahusisha kwa matamshi yao kwa umakini.Hata kama nampinga ben humu mara nyingi ila kwa hili ni noma

Inaonekana kweli zitto anaujua mchezo huu kwani msacky ni swahiba wake,Kibanda alitoka kwa mbowe na inawezekana hiyo link ya makala ya kibanda hapo juu Zitto akawa na kisasi naye akaamua amtumie kama sample ya kuwashinda maadui zake na ndiyo maana aliibuka na kusema nakulilia kibanda.
ili aonekane sympathiser wa kibanda.wachawi kulia msibani

Masalia wako karibu na zitto,masalia wako karibu na Mwigulu na nape.Masaalia walishasema hapa kuna kitu kitatokea mwezi march.Mwigulu alisema ana video ya mauaji ambayo hadi muda huu polisi hawajaiweka hadharani.

Ben hapo nimekukubali
 
Hili suala nashangaa polisi kwanini wamechukua mda mrefu sana kulishghulikia, kama wangekuwa wanafanya kazi kwa weredi wangekuwa walishaanza kulifanyia kazi tangua tarehe 2 January 2013 hawa waliotajwa wote wangesaidia polisi basi yeyeto anayehusika angekuwa ameshakamatwa whether Ben Saanane,ztt,mwigulu, Ludovick or lwakatale na wengineo.

sasa naona Polisi ipo bize kufanya sihasa
 
Mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za UDINI, UKABILA nk. Baada ya CHADEMA kuvuka hatua ya UDINI, UKABILA sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya UGAIDI. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya CHADEMA wataumbuka siku si nyingi.

Mungu yupo upande wa wenye haki, viva CHADEMA.
..mkuu unastahili kuweka hiyo avatar...
 
Leta uthibitisho,nina haki ya kufahamina na mtu yeyote.Hakuna wa kunichagulia marafiki au maadui

Mbona hauko consistent? Unataka ushahidi au unakubali kuwa Deus Mallya ni rafiki yako wa karibu? Kama unamkana sema nikuletee ushahidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom